Uchaguzi 2020 Tundu Lissu na Dkt. Magufuli wajiandae kisaikolojia, lolote linaweza kutokea

Kama ulikuwa na cheti feki nikupe pole.

Hautokaa ulipwe mpaka ukamilfu wa dahari. Na sioni mantiki ya kumtetea mtu aliekuwa na cheti feki wakati aliziba nafasi kwa walio na vyeti halali.

Ni upuuzi huu.
We kama hunaunacho kijuwa lisu kasema anawalipa eboo
 
Leo nilikuwa Mza nimeshuhudia msafara wa Lissu. Kiukweli watu wamehamasika mno ni kama kamfunika Magu alipopita mabatini.
Tumesimamishwa dakika 25 nzima ni msafara wa pikipiki na magari na watu wakitoka kwenye mkutano
[emoji817]
 
Tatizo kubwa ni tume tu
 
Naunga mkono hoja. Palikuwa na uzi huu pia:

Kwetu sote: "Asiyekubali kushindwa si mshindani"
 
Watanzania wenye akili timamu ni wengi sana. Watanzania wasio na akili timamu ni wachache sana. Sioni kama kama kuna mtanzania mwenye akili timamu atakayempigia kura Magufuli.
Kuna wa ccm walisema mshamba hilo hufutika mdomoni na si moyoni.

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Kama ulikuwa na cheti feki nikupe pole.

Hautokaa ulipwe mpaka ukamilfu wa dahari. Na sioni mantiki ya kumtetea mtu aliekuwa na cheti feki wakati aliziba nafasi kwa walio na vyeti halali.

Ni upuuzi huu.
Sasa kama aliziba hizo nafasi za wenye vyeti halisi haya hilo pengo limezibwa?
 
Watanzania wenye akili timamu ni wengi sana. Watanzania wasio na akili timamu ni wachache sana. Sioni kama kama kuna mtanzania mwenye akili timamu atakayempigia kura Magufuli.
Haswa sisi wavuvi katutesa sana timu yake ilitufikia ohooo jamani tumekuja tunaomba tukague nyavu zenu tukasema sawa zikowapi hizi hapa walipo ziona hatukuwa yaliomoyoni mwao jamani nyavutumeziona zipo sawa lakini tunatakapesa kamahuna pesa tunachoma baada yakukosa pesa wakachoma kweli kilichofuata wakateka mashine mpaka leo wanazo engeine zetu wanatuambia tukazinunue kila moja m1
Wito wangu wavuvi nasisi nizamu yetu
 
Jf bado ina watu makini, kongole kwa uchambuzi huu mkuu.
 
Lisu hawezi kushinda uchaguzi huu.ccm Na kiongozi wetu tukubali kubadilika baada ya uchaguzi Na tuache propaganda za kitoto.watanzania sio wajinga kama tunavyofikiria
 
Watanzania wenye akili timamu ni wengi sana. Watanzania wasio na akili timamu ni wachache sana. Sioni kama kama kuna mtanzania mwenye akili timamu atakayempigia kura Magufuli.
Yupo jamaa mmoja umu jamii forum anaitwa pasikali mayala huyo piga ua kura yake kwa jiwe.
 
Lakini tujiulize yule mzee mnavyomuona roho yake akishindwa awamu hii nchi itakalika?
 
Leo nilikuwa Mza nimeshuhudia msafara wa Lissu. Kiukweli watu wamehamasika mno ni kama kamfunika Magu alipopita mabatini.
Tumesimamishwa dakika 25 nzima ni msafara wa pikipiki na magari na watu wakitoka kwenye mkutano

Ungeweka hiyo picha wangesema umechakata picha za Lowassa za 2015.
 
Siku nimekwenda kuboresha taarifa za daftari LA wapiga kura.. Vijana ni wengi Sana kuliko watu wazima... Mwaka huu ni wapekee Sana....tegemeeni surprise.. Wafuasi wengi wa lissu wako kimya.. Wangojea siku ya kupiga kura.... Ccm wanajiaminisha watashinda kwa kishindo lakini ground haiko ivo kabisa.. Tegemeeni lolote aisee
 
George Kabadi una akili sana. Andiko lako ni un-biased.
 
*UTULIVU WA TANZANIA UNALINDWA KAMA WANAVYOLINDWA WAANDISHI WA HABARI*

Mh. Rais Dkt. John Pombe Magufuli ana vipaumbele viwili kwenye tasnia ya habari. Navyo ni:

1. Kuhakikisha kuwa wanahabari wanakua salama na wanalindwa.

2. Kuhakikisha kuwa vyombo vya habari vinawajibika katika kuleta maendeleo ya kiuchumi na kijamii nchini.

Ili kuhakikisha kwamba ndoto zake zinatimia, Sheria ya Huduma za Habari ya 2016 ikapitishwa.

Ili kuhakikisha ndoto zake za kwanza zinatimia:

(a) Sheria imetambua kuwa uandishi wa habari ni taaluma kama zilivyo taaluma nyinginezo.

(b) Sheria inawataka wanahabari walipwe mishahara ili wawe na usalama wa kifedha.

(c) Sheria inataka wanahabari wakatiwe bima za afya ili wawe na usalama wa afya zao.

(d) Sheria inataka wanahabari waingizwe kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii kama NSSF ili wanapostaafu wapate mafao yao.

Ili kutimiza ndoto ya pili ya Rais Magufuli, sheria imeagiza:

(i) Wanahabari kuongeza elimu ili wawe na uweledi wa kutosha wa kuripoti mambo mbalimbali katika jamii.

(ii) Wanahabari walinde haki za mtu mmojammoja na haki za watanzania kwa ujumla, maadili, ubinadamu, amani, afya ya umma, n.k ili tu maendeleo yaweze kufikiwa.

(iii) Wanahabari wahakikishe kuwa hawachangii kwenye kuiharibu nchi, bali kuijenga.

*_Tangu Rais Magufuli alipoingia madarakani Novemba 5, 2015 amekua akiwaheshimu wanahabari na kushirikiana nao katika kazi zote huku akiwahimiza maafisa wote wa serikali kuwapa ushirikiano wanahabari kama sheria zinavyoagiza._*

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itoshe Kusema "Kuna Mgombea Urais anaongea na wananchi, kuna Mgombea Urais anawafokea wananchi" .

Andiko bora kabisa la kumalizia wiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…