Uchaguzi 2020 Tundu Lissu na Dkt. Magufuli wajiandae kisaikolojia, lolote linaweza kutokea

Magufuli huwa tunamshauri sisi kama chama tatizo much know
 
Bado hoja ni zile zile nyepesi!

Kwanini uchguzi huu ni mgumu?

Jibu: Lisu ni jasiri sana!

. Vituko Vya chadema hivi
 
Tatizo la mgombea wetu in dharau na kujiona yeye ndio anayejua kila kitu.
Kiongozi yoyote kitu cha kwanza ni kuboresha maisha ya watu-waweze kupata mahitaji yao ya msingi.

Kuongezeka kwa pato la Taifa na LA mtu moja moja halina maana yyte kwa nchi kama Tz sababu mapato hayo yanapatikana kwenye sectors ambazo haziajiri hata 5% ya watanzania.
 
Ni uchambuzi wenye hazi ya degree
 
Itoshe Kusema "Kuna Mgombea Urais anaongea na wananchi, kuna Mgombea Urais anawafokea wananchi" .

Andiko bora kabisa la kumalizia wiki.
Kumpigia Kura ya NDIYO huyu mtu aliye tuambia kuwa akiingia madarakani tutalimia Meno,aliyesema atakaye baki Dar hadi mwezi wa 7 ni Mwanamme kwa maana ya kwamba atakuwa amebana fedha kiasi kwamba watu wa mjini hawataweza kumudu kukaa mjini,mtu aliyesema akimsikia mtu analalamoka vyuma vimekaza akamatwe akaozee jela ilhali ni kweli maisha ni magumu na yeye ndiye aliye sababisha.Ukimpa kura mtu wa hivyo wewe si mjonga bali wewe ndiyo ujinga wenyewe.
 
Professor Magufuli promised the opposition will die out by 2020 (and worked so hard to achieve it).

Result? It doubled.

I now understand why he says these large crowds are "fake". You can't spend 5 yrs repressing people's basic freedoms and still expect to win their hearts and minds or else you are so dumb
 
Uchambuzi nzuri tena wa kiukomavu. Mi niseme tu kwamva "KUNA MTU ATAOKOTA MAKOPO MWAKA HUU"
 
Tangu uchambuzi wa uchaguzi huu zianze, hii ndio andiko BORA LA MUDA WOTE mpaka sasa
 
Aww Andiko Bora kabisa.My Vote goes to Tundu Lisu.Yaani Lisu ni mpinzani wa kweli Akili kubwa.Yaani CCM walivyo wezi Kama nawaona wanavyojiandaa kuiba masanduku ya kura uckuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji117]Huu uchambuz uko very bias kwa sabab uliyechambua haujachambua Kama MTU wa Kati Bali Kama mpinzani.
[emoji117]Kwa mtu ambaye haegemei upande wowote akisoma huu uchambuzi anaweza kujua hisia ulizokuwa nazo WAKATI unaandika.
[emoji117]labda sasa twende kwenye data inaonyesha MAGUFUL atashinda kwa zaidi ya 80%,
[emoji117]Inavyodhihirika CHADEMA hawana Ilan wanayoiamin ndio maana LISSU akiwa jukwaan haelez yaliyopo kwenye ilani zaidi ya kumzungumzia JPM.
[emoji117] Vilevile Mara kadhaa analenga kupewa kura za huruma kutoka na tukio la kupigwa risasi na kuenguliwa ubunge
[emoji117]Tukubaliane kwamba tukio la kupigwa risasi sio zur lakin halimpi mtu sifa ya kuwa rais. Ingekuwa hivyo hata 50CENT angeshakuwa rais.
[emoji117]Wengi wanaohudhuria kampen za LISSU ni vijana ambao hawana kadi za mpiga kura ama wanao lakin siku ya kupiga kura wasijitokeze. Wengi NI WALEVI nawavuta bangi.
[emoji117]Vijana hao wanaongozwa na mihemko pale wanapomwona lissu lakin wakiwa hawamwon katika maeneo yao wanapoa Kama wamechomwa nusu kaputi.
[emoji117]LISSU tayar alishaonyesha usaliti wa nchi yake na anajidhihirisha kuwa ametumwa kwa yale anayoyaongea. Mfano, kuleta utawala wa majimbo ambo NI mfumo wa mabeberu ili kurahisisha kutawala na kuiba rasilimali angalia kongo ilivyogawanywa, cheki Sudan, na somalia.

[emoji117]Vita vinavyoendelea huko vilitokana na divide and rule aka regionalization aka majimbo, angalia Kenya wanavyouana bila kusahau Mauaji ya kimbari Rwanda.
[emoji117]Kutokana na hayo Lissu hawez kumzidi MAGUFUL ambaye amekwisha onyesha UZALENDO kwa KUFANYA mengi yaliyoinua uchumi WETU hadi uchumi wa Kati.
[emoji117]Hofu ya wananchi LISSU na chama chake wataibia nchi Kama wanavyofanya kwenye chama Chao nimekuwekea ushahid kidogo Sana usaidike
HITIMISHO
Lissu hawez kushinda kwa huruma ya wananchi kwa sabab sicho wananchi tuna hokitaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…