Pre GE2025 Tundu Lissu na John Heche watangaza kuipeleka ajenda yao ya "No Reform No Election" nje ya nchi

Pre GE2025 Tundu Lissu na John Heche watangaza kuipeleka ajenda yao ya "No Reform No Election" nje ya nchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hapa ndani hamna anaeweza kuzuia Uchaguzi, sio wanachadema wala nani na ndio maana Lissu anaenda NJE kuomba msaada.

Wahisani wakikataa kutoa hela za kuendeshea Uchaguzi, huo Uchaguzi utafanyikaje?
Lissu anakwenda NJE kuomba fedha ya kuendeshea CHAMA CHAKE....

Kwa kweli mwenyekiti Lissu anaujua UKATA aliokuta ofisini mwake....

Ni ujanjajanja wake wa kuwahadaa WAJINGA...bali bakuli la CHADEMA linakwenda kutembezwa ULAYA.....
 
Kaa usali sana EU na Marekani wasibadilishe maamuzi yao kuhusu misaada.

Nahisi unahisi watakaokuwa affected mostly ni CCM sio CHADEMA maana serikali ya CCM inategemea sana misaada ya wahisani kuendesha nchi.

Siku wahisani wakitoa mikopo na misaada ndo itakuwa mwisho wa CCM
Jidanganye....
 
Lissu anakwenda NJE kuomba fedha ya kuendeshea CHAMA CHAKE....

Kwa kweli mwenyekiti Lissu anaujua UKATA aliokuta ofisini mwake....

Ni ujanjajanja wake wa kuwahadaa WAJINGA...bali bakuli la CHADEMA linakwenda kutembezwa ULAYA.....

..serikali inasaidiwa.

..Ccm inasaidiwa.

..kuna tatizo gani Chadema ikisaidiwa?
 
Wakuu,

Kumbe Heche na Lissu walikuwa na mpango wa kando kuendeleza kampeni yao ya No Reforms No Election ukiachana na kuwaambia watu walale barabarani

Erythrocyte nimeanza kukuelewa sasa

===================================================

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche amesema yeye na Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu wanatarajia kupeleka ajenda ya no reform, no election hadi nje ya nchi.

Akizungumza na wanachama wa chama hicho wa Kanda ya Kaskazini, mkoani Arusha leo Heche amesema tayari chama hicho kimewashirikisha wadau mbalimbali kuhusu ajenda hiyo na kwamba wataipeleka mbali zaidi.

“Ajenda yetu no reform, no election inazungumzika hata kama wanaizungumzia negatively (kwa mtazamo hasi) lakini wanazungumza ajenda ya CHADEMA, tumetoka na ajenda hiyo ndiyo kila siku Wasira anaimba na leo ndio Makala alikuwa anaizungumza” amesema Heche.

“Sisi ni watu tunatumia brain (akili) tume engage (kushirikisha) tumeandika mapungufu 16 ya uchaguzi ambayo hayamuwezeshi mpinzani yoyote kushinda uchaguzi, nani miongoni mwenu anaweza kusema kwamba anaweza kushinda uchaguzi kwa utaratibu huu tulionao?” amehoji Heche

Source: Nipashe
Huko ndio kuna pesa

Bongo mmeshindwa kabisa kuwapa pesa
 
Kuanzia February 27 kila mwananchi atafikiwa, ondoa shaka, tumeanza na Taasisi za Dini, ambako tumewaambia hakuna kuombea wanaoiba uchaguzi, kimsingi wamekubali ila wanaangalia namna ya kufanya, Bado wawili tu ambao nao tumeshatuma timu kuwaelimisha, wawili wenyewe ni BAKWATA na Mwamposa
Nilitaka kusema, hawa watu matapeli kama akina Mwamposa siyo wa kupotezea muda mwingi kwao kwa vile wao ni bidhaa tu inayonunuliwa na CCM wenye hela, lakini nimesita kusema hivyo kwa kuelewa maana yako ya "kila mwananchi" kufikiwa bila kujali yeye ni bidhaa au la!
La muhimu, pasiwepo na kisingizio chochote wote watakapozolewa na nguvu ya wenye nchi hii.
 
Hahaha nipo paleeee! Kawaida ya mjusi kafiri huwa anapiga push up akionekanana kwa mtu, lkn mtu huyo akimsogelea mjusi, basi mjusi kafiri lazima atakimbia! Anyway naliona Kuna kundi frani linahadaika likiwa kitandani, ikumbukwe kwamba big fish mwenyewe ni raia wa 🇳🇴,, sasa ni swala la muda tu!
 
Inabidi ni
Hapa ndani hamna anaeweza kuzuia Uchaguzi, sio wanachadema wala nani na ndio maana Lissu anaenda NJE kuomba msaada.

Wahisani wakikataa kutoa hela za kuendeshea Uchaguzi, huo Uchaguzi utafanyikaje?
Inabidi nikushangae tu wewe kwa uelewa hafifu kama huu.
Unasubiri wahisani waje wakukomboe!
 
Siasa haiendi bila mazungumzo....

Tunachokikataa ni watu wajinga kuja na maamuzi na misimamo yao isiyo "partisan" na iliyo kinyume na UANZWISHWAJI WA TAIFA HILI....hapa si Kenya wala huko EU....tuna historia yetu ,mienendo yetu na malengo yetu kama taifa "as a secondary of independent goals".....

Uchaguzi wa nchi si MALI ya wanasiasa wa CCM na upinzani tu....ni matakwa ya KIDOLA na wale wasio na vyama na wasioshiriki siasa ya vyama ya aina yoyote.........

#Tanzania is a sovereign nation !!
#Nje HATUNA wajomba !!
Kwahiyo unavyoona wewe mfumo wa chaguzi zetu upo sawa? Hauna upendeleo wowote kwa CCM?
 
No reform no election . Niliwahi kusema hapa kuwa hii ni Ngoma ya chadema ambayo ccm wanaicheza pasipokujua beat na wimbo unamaanisha Nini.
Mkuu tutunze posts zetu hizi halafu baada ya Disemba, 2025 tuone kama hiyo No Reform, No Election imefanya kazi ama la.
 
Hata za UKUTA tuliwatunzia wakaziruka kuwa sio zao! Ahahahahaha!!
...hawaaminiki hao ,ha ha ha
Tabia ,hulka na mienendo yao ni kama mtu anayependa kupata furaha kupitia kunywa KILEVI....sasa hao waache wajifurahishe kwa makelele.....

Ulizitunza za UKUTA na uendeleze WEMA wako wa kuwatunzia.....
 
Back
Top Bottom