Pre GE2025 Tundu Lissu na John Heche watangaza kuipeleka ajenda yao ya "No Reform No Election" nje ya nchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hapa ndani hamna anaeweza kuzuia Uchaguzi, sio wanachadema wala nani na ndio maana Lissu anaenda NJE kuomba msaada.

Wahisani wakikataa kutoa hela za kuendeshea Uchaguzi, huo Uchaguzi utafanyikaje?
Lissu anakwenda NJE kuomba fedha ya kuendeshea CHAMA CHAKE....

Kwa kweli mwenyekiti Lissu anaujua UKATA aliokuta ofisini mwake....

Ni ujanjajanja wake wa kuwahadaa WAJINGA...bali bakuli la CHADEMA linakwenda kutembezwa ULAYA.....
 
Jidanganye....
 
..serikali inasaidiwa.

..Ccm inasaidiwa.

..kuna tatizo gani Chadema ikisaidiwa?
 
Huko ndio kuna pesa

Bongo mmeshindwa kabisa kuwapa pesa
 
Nilitaka kusema, hawa watu matapeli kama akina Mwamposa siyo wa kupotezea muda mwingi kwao kwa vile wao ni bidhaa tu inayonunuliwa na CCM wenye hela, lakini nimesita kusema hivyo kwa kuelewa maana yako ya "kila mwananchi" kufikiwa bila kujali yeye ni bidhaa au la!
La muhimu, pasiwepo na kisingizio chochote wote watakapozolewa na nguvu ya wenye nchi hii.
 
Hahaha nipo paleeee! Kawaida ya mjusi kafiri huwa anapiga push up akionekanana kwa mtu, lkn mtu huyo akimsogelea mjusi, basi mjusi kafiri lazima atakimbia! Anyway naliona Kuna kundi frani linahadaika likiwa kitandani, ikumbukwe kwamba big fish mwenyewe ni raia wa 🇳🇴,, sasa ni swala la muda tu!
 
Inabidi ni
Hapa ndani hamna anaeweza kuzuia Uchaguzi, sio wanachadema wala nani na ndio maana Lissu anaenda NJE kuomba msaada.

Wahisani wakikataa kutoa hela za kuendeshea Uchaguzi, huo Uchaguzi utafanyikaje?
Inabidi nikushangae tu wewe kwa uelewa hafifu kama huu.
Unasubiri wahisani waje wakukomboe!
 
Kwahiyo unavyoona wewe mfumo wa chaguzi zetu upo sawa? Hauna upendeleo wowote kwa CCM?
 
No reform no election . Niliwahi kusema hapa kuwa hii ni Ngoma ya chadema ambayo ccm wanaicheza pasipokujua beat na wimbo unamaanisha Nini.
Mkuu tutunze posts zetu hizi halafu baada ya Disemba, 2025 tuone kama hiyo No Reform, No Election imefanya kazi ama la.
 
Hata za UKUTA tuliwatunzia wakaziruka kuwa sio zao! Ahahahahaha!!
...hawaaminiki hao ,ha ha ha
Tabia ,hulka na mienendo yao ni kama mtu anayependa kupata furaha kupitia kunywa KILEVI....sasa hao waache wajifurahishe kwa makelele.....

Ulizitunza za UKUTA na uendeleze WEMA wako wa kuwatunzia.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…