TUNDU Lissu, nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA na ugombea Urais haviendi pamoja, utaachia ipi?

TUNDU Lissu, nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA na ugombea Urais haviendi pamoja, utaachia ipi?

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
21,625
Reaction score
33,688
Habari!

Ule Utaratibu wa CDM wa kutorudia mgombea Urais ni kama jadi vile inayoendelea,

Ndugu Lissu kuutangazia umma kuwa anataka uenyekiti wa CHADEMA, ajue Moja kuwa nafasi mojawapo ni LAZIMA aachie,

Sasa ni ipi atakubali kuiachia kati ya

1. Ugombea Urais 2025.

2. Uenyekiti wa chama Taifa CHADEMA.

Mungu ibariki CHADEMA.

Karibuni 🙏
 
Apewe uwenyekiti na aache kugombea urais!
 
Najibu kulingana na kichwa cha uzi.

MWaka 2005 nani aligombea Urais na nani alikuwa Mwenyekiti Taifa?
Uko sawa,

Ingawa mazingira kiongozi, ukubwa wa chama, viongozi wenye ushawishiya 2005 kisiasa na 2025 Si sawa.
 
Matokeo hoja kwa hoja awamu ya pili hoja kwa risasi
Kuna kana makundi ndani ya CDM yananyukana kugombea madaraka kiuongozi.

Sasa mwisho wa haya Si Mwema.
 
Lile bango la Mh Mbowe uwanja wa Taifa unaleta maana sasa kuwa Mbowe amedhamiria kugombea Urais.
 
Kwa taarifa yenu kule Madagascar DJ maarufu aliwahi kuwa raisi na si msomi kama Kamanda Mbowe !!!
Kamanda Mbowe anastahili hata hata wajihi wake anafanana sana na marehemu Julius Nyerere !
 
Habari!

Ule Utaratibu wa CDM wa kutorudia mgombea Urais ni kama jadi vile inayoendelea,

Ndugu Lissu kuutangazia umma kuwa anataka uenyekiti wa CHADEMA, ajue Moja kuwa nafasi mojawapo ni LAZIMA aachie,

Sasa ni ipi atakubali kuiachia kati ya

1. Ugombea Urais 2025.

2. Uenyekiti wa chama Taifa CHADEMA.

Mungu ibariki CHADEMA.

Karibuni 🙏

Halima Mdee asingejichanganya ndio ulikuwa muda wake wa kugombea Urais. Apambana na mwanamke mwenzake
 
Arudi tu kuliko kuiyumbisha CHADEMA. CHADEMA inahitaji mwenyekiti mwenye kauli moja.
Yaani amekubali Yale mapungufu ya Uchaguzi mitaa yapite hivyo hivyo Eti tugange yajayo 🤔
 
Back
Top Bottom