Alikua DJ Mbowe.Najibu kulingana na kichwa cha uzi.
MWaka 2005 nani aligombea Urais na nani alikuwa Mwenyekiti Taifa?
Apewe uwenyekiti na aache kugombea urais!Habari!
Ule Utaratibu wa CDM wa kutorudia mgombea Urais ni kama jadi vile inayoendelea,
Ndugu Lissu kuutangazia umma kuwa anataka uenyekiti wa CHADEMA, ajue Moja kuwa nafasi mojawapo ni LAZIMA aachie,
Sasa ni ipi atakubali kuiachia kati ya
1. Ugombea Urais 2025.
2. Uenyekiti wa chama Taifa CHADEMA.
Mungu ibariki CHADEMA.
Karibuni π
Uko sawa,Najibu kulingana na kichwa cha uzi.
MWaka 2005 nani aligombea Urais na nani alikuwa Mwenyekiti Taifa?
Kuna kana makundi ndani ya CDM yananyukana kugombea madaraka kiuongozi.Matokeo hoja kwa hoja awamu ya pili hoja kwa risasi
Alikuwa Chekechea πNajibu kulingana na kichwa cha uzi.
MWaka 2005 nani aligombea Urais na nani alikuwa Mwenyekiti Taifa?
Alikuwa kwenye korodani za mzee wake.Najibu kulingana na kichwa cha uzi.
MWaka 2005 nani aligombea Urais na nani alikuwa Mwenyekiti Taifa?
Ccm mmechanganyikiwaApewe uwenyekiti na aache kugombea urais!
Mbowe anampango wa kugombea Urais Kwa GIA hiyo.Alikuwa Chekechea π
Mbowe anarudi CCMMbowe anampango wa kugombea Urais Kwa GIA hiyo.
Alitoka lini Hadi arudi ndugu John?Mbowe anarudi CCM
Habari!
Ule Utaratibu wa CDM wa kutorudia mgombea Urais ni kama jadi vile inayoendelea,
Ndugu Lissu kuutangazia umma kuwa anataka uenyekiti wa CHADEMA, ajue Moja kuwa nafasi mojawapo ni LAZIMA aachie,
Sasa ni ipi atakubali kuiachia kati ya
1. Ugombea Urais 2025.
2. Uenyekiti wa chama Taifa CHADEMA.
Mungu ibariki CHADEMA.
Karibuni π
Alitoka 1991Alitoka lini Hadi arudi ndugu John?
Mbowe anarudi CCM
Yaani amekubali Yale mapungufu ya Uchaguzi mitaa yapite hivyo hivyo Eti tugange yajayo π€Arudi tu kuliko kuiyumbisha CHADEMA. CHADEMA inahitaji mwenyekiti mwenye kauli moja.