Tundu Lissu: Namuunga mkono Dk Nshala Urais TLS

Haya mahaba too much maana wanaokomenti inaonyesha wameamua kutumia akili ya TL tu yao imefika kikomo.......
 
Hongera Meya wetu wa Arusha hongera sana tunakuaminia wananchi wa Arusha hakika maendeleo tumeyaona
 
Pallamagamba Kabudi need to come back to interprete what his fellow Lawyer has written for the purpose to make CCM allumn understand the content.
 
Ni upumbavu na ulimbukeni wa hali ya juu kudhani ukitumia Kiingereza ndio utaeleweka na watanzania wengi. Ni dalili tosha ya kutokujiamini.
Hata TL alitaka watu kama nyie msielewe. Maana hamchelewi kutia Maguu kwenye lile jengo la uchaguzi. Sasa hakuna mwenye uwezo ccm wa ku-comprehend unjumbe huo. Baki hivyo hivyo na porojo zako.
 
Ruge tutampitisha kwa kura nyingi kuwahi kutokea.Hata hivyo tutamtaka apunguze ADA na kuondoa kabisa michango isiyo na maana TLS.
 
Hili yai la Lissu ni kama la ukoo wa malkia pale Uingereza.. Hakika Mungu amenibariki kuishi katika Era za Tundu Lissu

Asante Mungu kwa ajili ya Tundu Lissu[emoji1431]


Sent from my iPhone using JamiiForums
Mungu katunyima vyote akatupa Kiumbe wake Mpendwa mwenye Hekima itokaya Juu.
 
Mkuu. Kwamba jamaa wa magogoni kapiga kamba kusema kaongea na Markel, labda walitumia mkalimani je? .tehetehee
Kama tundu lissu amemkubali mimi ni nani nipingane nae!

Halafu hicho kingereza cha Lissu hata akiniambia ameongea na Angela Merkel kwenye simu naamini bila shaka yoyote!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni upumbavu na ulimbukeni wa hali ya juu kudhani ukitumia Kiingereza ndio utaeleweka na watanzania wengi. Ni dalili tosha ya kutokujiamini.
Certified idiot at work
Wewe mpumbavu kweli, Waziri gani anaemsomesha mtoto wake shule za Kata

Moja ya watu waliozaliwa kwa bahati mbaya ni wewe, Hivi au walikuwa wamelewa

Kila wakati unaandika Kama una hangover ya kuzaliwa nayo

Ebu ondoa taka taka zako hapa Jf
Ni vigumu mtu uliyezaliwa watu wakiwa pombe kuweza kuelewa hii lugha iliyoandikwa hapa Jf

Cetified idiot of March 2019,ukiwashwa tu unataka kukunwa
 
Hata upuuzi ukiandikwa kwa Kiingereza basi unageuka kuwa na mantiki, ha ha ha.
Jitu zima lenye familia kichwani unafikiri Kama mtoto wa chekechea

Huna unaloamini zaidi ya kutetea chama cha siasa
Wenye chama wanakula maisha na wengine wamerudi nyumbani kula bata

Ulishinda humu kumuita mtu hafai Leo amekuwa mfalme na ndio wafanyabiashara wanaoleta maendeleo

Wewe unatumika Kama Toilet paper kusafisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…