Tundu Lissu: Namuunga mkono Dk Nshala Urais TLS

Lissu we worship you...
Hii ni imani ya sisi wajua english na wenye akili sana😡😡
 
Urais wa JMT ungekua wa mwaka mmoja kama TLS ingekua raha sana. Hakuna stress
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anamsafisha leo, mbona kachelewa sana. Ilitakiwa amsafishe wakati uleule watu walipomsimanga kuwa kachelewesha pesa zilizochangwa.

Huku ni kujikomba akijua huyu msomi atakirudisha chama kwenye jukumu lake la kisheria, badala ya kufanywa JUKWA LA.KUJIJENGA KISIASA.

Lissu kugombea uraisi wa Tanzania.

Bi Fatuma Karume kugombea uraisi wa Zanzibar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Puzi sana hilo jamaa
 

No comments. I simply concur with you. You are "the gift" to Tanzania.
 
Ni upumbavu na ulimbukeni wa hali ya juu kudhani ukitumia Kiingereza ndio utaeleweka na watanzania wengi.

..acha CHUKI.

..zoezi la uchaguzi wa viongozi wa TLS linaendeshwa kwa lugha ya Kiingereza.

..kwa hiyo TL yuko sahihi kutumia Kiingereza kuwasiliana na mawakili watakaoshiriki uchaguzi wa TLS.
 
..acha CHUKI.

..zoezi la uchaguzi wa viongozi wa TLS linaendeshwa kwa lugha ya Kiingereza.

..kwa hiyo TL yuko sahihi kutumia Kiingereza kuwasiliana na mawakili watakaoshiriki uchaguzi wa TLS.
Hata usemeje huu utabaki kuwa ulimbukeni na upuuzi mtupu. Hayo ndio maoni yangu. Baki na maoni yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…