Tundu Lissu ndio kizazi alichotaka Mwalimu Nyerere

Tundu Lissu ndio kizazi alichotaka Mwalimu Nyerere

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
16,583
Reaction score
42,992
Mwalimu JK nyerere katika hotu a zake akiwa rais aliwahi kukemea tabia ya vijana wa ndio mzee Aina ya Mataga. Mwalimu alitaka vijana wahoji why who when whose how which nk.

Mwalimu hakutaka vijana aina ya Mataga kila kitu Ni ndioooo hata upumbavu. Nyerere alitaka vijana wahoji ndio hasa walewa vyuo vikuu.

Ndoto ya mwalimu imetimia kupitia lissu.lisu analichangamsha taifa Zima. Lisu ni Kama myunani anawafundisha watu kufikiri.

Lissu Mungu akubariki sana. Unawaondolea vijana uogaa.
 
Mleta mada huyo Lissu alimkejeli Mwalimu Nyerere ndani ya ukumbi wa bunge maalum la katiba hivyo hawezi kuwa ni aina ya vijana aliowategemea Mwalimu.

Marehemu Nyerere asingeweza kukubaliana na fikra za mtu rahisi kununulika na fedha za wazungu, vibaraka hawakuwa ni aina ya vijana waliokuwa kwenye fikra za muasisi wa taifa hili.
 
Nyerere hakuwa Malaika. Hivyo kukosolewa mbona kawaida tu. Yes hakupenda watu wampinge. Kina Kambona,Mohamed Babu waliishia wapi ?
 
Mleta mada huyo Lissu alimkejeli Mwalimu Nyerere ndani ya ukumbi wa bunge maalum la katiba hivyo hawezi kuwa ni aina ya vijana aliowategemea Mwalimu.

Marehemu Nyerere asingeweza kukubaliana na fikra za mtu rahisi kununulika na fedha za wazungu, vibaraka hawakuwa ni aina ya vijana waliokuwa kwenye fikra za muasisi wa taifa hili.
fedha zao ndizo zinazokulisha kwa kuchangia karibu bajeti yetu nzima
 
Yaani mtasibiri sana kama mnaoaa na kuamini kuwa Tund atakuwa Rais wa nchi hii! Endeleeni kuota , huyo anachangamsha genge tu na kuwaokota watu kama ninyi ila ukweli anaujua, hawezu kuwa Rais ..!
Kwanza kabisa hoja haipigwi Rungu jibuni pingamizi sio kelele kelele tu na kusingizia mabeberu tatizo vijana wa Mataga ukitoa kujua kusifia hakuna mnachoweza kwenye ujengaji hoja
 
Lisu akiona anajifaragua alafu ccm wamekaa kimya basi anajiona ameshashinda, huyu hadi oktoba atakuwa kichaa kabisa nyie subirini
 
Lissu ni MTU na NUSU......Akili TERABYTES.
Hapa amekosekana Christoper Mtikilia tu huku Lisu kule Mtikila mbona mambo ya kihuni yangekoma kabisa nchini.
yaani watz wote tumevalishwa sidiria na mtu mmoja tunayemlisha kwa kodi zetu anatugeuza kama chapati atakavyo hii nchi gani sasa,wengine wanafia jela kwa kosa la tu la kutokuabudu sanamu
 
Back
Top Bottom