Tundu Lissu ndio kizazi alichotaka Mwalimu Nyerere

Tundu Lissu ndio kizazi alichotaka Mwalimu Nyerere

Mwalimu JK nyerere katika hotu a zake akiwa rais aliwahi kukemea tabia ya vijana wa ndio mzee Aina ya Mataga. Mwalimu alitaka vijana wahoji why who when whose how which nk.

Mwalimu hakutaka vijana aina ya Mataga kila kitu Ni ndioooo hata upumbavu. Nyerere alitaka vijana wahoji ndio hasa walewa vyuo vikuu.

Ndoto ya mwalimu imetimia kupitia lissu.lisu analichangamsha taifa Zima. Lisu ni Kama myunani anawafundisha watu kufikiri.

Lissu Mungu akubariki sana. Unawaondolea vijana uogaa.
Watu wote wenye akili kwenye taifa hili wanamuunga mkono Tundu Lisu, wale wenye ubongo kisoda wanajuana na mgombea wao.
 
Hivi mleta mada una akili kweli!!? Yaani nyerere ampende kibaraka wa mabeberu...unachekesha kweli.
 
Back
Top Bottom