Utasubiri sana ndugu! Endelea kuota.Magufuli akatwe, hana sifa kwa mujibu wa sheria
Wasipomuengua itabidi tume iwarudishe wagombea wote wa ubunge na udiwani wenye makosa Kama ya magufuli,Tupo hapa dodoma tunasubiri mgombea wao aenguliwe kama walivyofanya kuwaengua wagombea wetu, hii ni introduction movie haijaanza
Nyerere hakuwa Malaika. Hivyo kukosolewa mbona kawaida tu. Yes hakupenda watu wampinge. Kina Kambona,Mohamed Babu waliishia wapi ?Mleta mada huyo Lissu alimkejeli Mwalimu Nyerere ndani ya ukumbi wa bunge maalum la katiba hivyo hawezi kuwa ni aina ya vijana aliowategemea Mwalimu.
Marehemu Nyerere asingeweza kukubaliana na fikra za mtu rahisi kununulika na fedha za wazungu, vibaraka hawakuwa ni aina ya vijana waliokuwa kwenye fikra za muasisi wa taifa hili.
fedha zao ndizo zinazokulisha kwa kuchangia karibu bajeti yetu nzimaMleta mada huyo Lissu alimkejeli Mwalimu Nyerere ndani ya ukumbi wa bunge maalum la katiba hivyo hawezi kuwa ni aina ya vijana aliowategemea Mwalimu.
Marehemu Nyerere asingeweza kukubaliana na fikra za mtu rahisi kununulika na fedha za wazungu, vibaraka hawakuwa ni aina ya vijana waliokuwa kwenye fikra za muasisi wa taifa hili.
Kwanza kabisa hoja haipigwi Rungu jibuni pingamizi sio kelele kelele tu na kusingizia mabeberu tatizo vijana wa Mataga ukitoa kujua kusifia hakuna mnachoweza kwenye ujengaji hojaYaani mtasibiri sana kama mnaoaa na kuamini kuwa Tund atakuwa Rais wa nchi hii! Endeleeni kuota , huyo anachangamsha genge tu na kuwaokota watu kama ninyi ila ukweli anaujua, hawezu kuwa Rais ..!
wamkate tu ili nchi iwe salama akirudi tu tumekwisha atalipiza sana visasi mpenda ligi huyuAmewapa ujasiri NEC, wanaweza kumkata jina jiwe kimasihara
Sasa kuna mahusiano gani hapo ndugu yangu??? Huko shule mlienda kusomea ujinga !?Huyo unaemsifia kwamba Nyerere alitaka watu wa aina yake,yeye anasema nyerere hajafanya kitu
Hapa amekosekana Christoper Mtikilia tu huku Lisu kule Mtikila mbona mambo ya kihuni yangekoma kabisa nchini.Lissu ni MTU na NUSU......Akili TERABYTES.
jiwe kapatikana ametuonea sanaLisu akiona anajifaragua alafu ccm wamekaa kimya basi anajiona ameshashinda, huyu hadi oktoba atakuwa kichaa kabisa nyie subirini