Isayalussy11
JF-Expert Member
- Mar 8, 2019
- 695
- 1,058
Hatuwezi kujibizana na huyo mtafuta Kiki! kwa JpmKwanza kabisa hoja haipigwi Rungu jibuni pingamizi sio kelele kelele tu na kusingizia mabeberu tatizo vijana wa Mataga ukitoa kujua kusifia hakuna mnachoweza kwenye ujengaji hoja
Mpaka sasa hivi ccm 22 chadema 0,jiwe kapatikana ametuonea sana
Mleta mada huyo Lissu alimkejeli Mwalimu Nyerere ndani ya ukumbi wa bunge maalum la katiba hivyo hawezi kuwa ni aina ya vijana aliowategemea Mwalimu.
Marehemu Nyerere asingeweza kukubaliana na fikra za mtu rahisi kununulika na fedha za wazungu, vibaraka hawakuwa ni aina ya vijana waliokuwa kwenye fikra za muasisi wa taifa hili.
26 Aug 2020
Dodoma, Tanzania
DAKIKA 30 ZENYE UFAFANUZI ZA SABABU YA WAGOMBEA WAWILI WA URAIS CCM NA CUF KUWEKEWA PINGAMIZI
Mgombea wa urais kwa tiketi ya chama cha upinzani cha CHADEMA, Tundu Lissu, mbele ya waandishi wa habari afafanua sababu zito sana zilizomfanya amuwekee mapingamizi mgombea mwenzake wa CCM, John Magufuli, na wa chama cha CUF, Ibrahim Lipumba.
Source : weyani tv
Mpaka sasa hivi ccm 22 chadema 0,
Haya nani kapatikana hapo.
Kesho tume itakuja na majibu haya: kwam mba maoingamizi ya Lisu hayana maaana. Basi mchezo unaishia hapo mnasubiri kipigo
[/Q
sababu wanajua washindi majimbo hayo thus wameleta figisu
Kasome history ya Mwaikambo ndio utajua Nyerere alitaka niniMleta mada huyo Lissu alimkejeli Mwalimu Nyerere ndani ya ukumbi wa bunge maalum la katiba hivyo hawezi kuwa ni aina ya vijana aliowategemea Mwalimu.
Marehemu Nyerere asingeweza kukubaliana na fikra za mtu rahisi kununulika na fedha za wazungu, vibaraka hawakuwa ni aina ya vijana waliokuwa kwenye fikra za muasisi wa taifa hili.
Kwani nyerere Ni maraika au yesu? Kwamba hakuwa na makosa?Mleta mada huyo Lissu alimkejeli Mwalimu Nyerere ndani ya ukumbi wa bunge maalum la katiba hivyo hawezi kuwa ni aina ya vijana aliowategemea Mwalimu.
Marehemu Nyerere asingeweza kukubaliana na fikra za mtu rahisi kununulika na fedha za wazungu, vibaraka hawakuwa ni aina ya vijana waliokuwa kwenye fikra za muasisi wa taifa hili.
JK mwenyewe Alimanusura kupinduliwa na vijana wa Jeshi, Kakosolewa mara ngapi????Mleta mada huyo Lissu alimkejeli Mwalimu Nyerere ndani ya ukumbi wa bunge maalum la katiba hivyo hawezi kuwa ni aina ya vijana aliowategemea Mwalimu.
Marehemu Nyerere asingeweza kukubaliana na fikra za mtu rahisi kununulika na fedha za wazungu, vibaraka hawakuwa ni aina ya vijana waliokuwa kwenye fikra za muasisi wa taifa hili.
Kwa sasa ni mwendo wa kupiga sipana na hutakiwi kulialia vumilia tu simmemchokoza wenyeweMagufuli hataki changamoto, anatamani wote tuwe misukule, tumuabudu na kumsifu yeye siku zote.
Hataki tumkosoe, hataki tumrekebishe akikosea, hataki kufuata kanuni na taratibu.
Dawa ya watu wa aina hi ni kuwachoma sindano kali iitwayo Tundu Lissu, itamponya
πππππππ Lissu anawafanya watu wakeshe miguu kwenye maji leo. Huyo ndo Lissu kama Lissu !!!Kwa Taarifa za uhakika. Unaambiwa Kuanzia Mwanasheria mkuu wa serikali na watu wake, Jaji wa NEC wameambiwa mpaka kufika asubuhi wawe na suluhisho...Hamna kulala[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lissi noma aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Meko hataki kukutana na T.Lissu.
Tatizo mleta mada kajaribu kujenga hoja nyepesi ambayo kwa wale wasiotazama masuala inaweza kuonekana ni nzito.Nyerere hakuwa Malaika. Hivyo kukosolewa mbona kawaida tu. Yes hakupenda watu wampinge. Kina Kambona,Mohamed Babu waliishia wapi ?
Hakika, jamaa kanielimisha sana, nadhani hata Tume na CCM pia wamejiona walivo maamuma wa sheria...Mwalimu JK nyerere katika hotu a zake akiwa rais aliwahi kukemea tabia ya vijana wa ndio mzee Aina ya Mataga.
Mwalimu alitaka vijana wahoji why who when whose how which nk.
Mwalimu hakutaka vijana aina ya Mataga kila kitu Ni ndioooo hata upumbavu.
Nyerere alitaka vijana wahoji ndio hasa walewa vyuo vikuu.
Ndoto ya mwalimu imetimia kupitia lissu.lisu analichangamsha taifa Zima.
Lisu ni Kama myunani anawafundisha watu kufikiri.
Lissu Mungu akubariki Sana.
Unawaondolea vijana uogaa.
fedha zao ndizo zinazokulisha kwa kuchangia karibu bajeti yetu nzima
Mleta mada alijaribu kumpandisha chati Lissu kwa kutumia vigezo vya Nyerere ambaye ni binadamu wa kawaida tu ingawa hakuwa na sifa ya umamluki wala hakuwa na maringo ya kukunja midomo huku akijiona anajua kila kitu.Kwani nyerere Ni maraika au yesu? Kwamba hakuwa na makosa?
Watu walimtukana Mohamad sembuse Nyerere?.