Tundu Lissu ndio kizazi alichotaka Mwalimu Nyerere

Kwani kukosoa nyerere ni kosa,nyerere alitaka vijana kama hawa wasio waoga na wanaoweza kumkosoa hata yeye,tumia akili za ndani ya box ulilobeba(bichwa) kung'amua mambo,hata nyerere alipenda akosolewe.
Kukosolewa sio kosa tatizo ni pale mkosoaji anapokuwa na utayari wa kuiuza nchi ya Baba na Mama yake kwa vipande vya fedha.
 
Je, system imeambiwa istand down? Anahujumiwa? Is he going down? Will he be saved by the bell?

Kwenye military affairs hasa za kimarekani, ukisikia amri ya kustand down huwa ni amri ya kuweka silaha chini. Ni amri inayotolewa pale inapoonekana nguvu rafiki inakaribia kuingia eneo lenu la kujihami.

Kuna matukio mengi makubwa yanayotokea mfululizo kuashiria kuwa kuna mtu anazingirwa. Watu muhimu kwake wanaondoka kwa njia mbalimbali na hili la sasa, hili!!

Kwa haya yanayoendelea, sitashangaa kukuta kuna ‘powerful channels’ zimewasiliana zenyewe kwa zenyewe, na amri imetolewa ya kustand down. Yule bwana anaweza kuishia kama ...... Kwa sababu mission yenyewe ni critical sana, muhusika huwa hatakiwi kutambua kinachoendelea hadi sekunde ya mwisho.
 
Hakuna anayepinga kukosolewa tumia lugha ya ustaarabu na ukosoaji wako utapokelewa vyema.
Mimi siwezi hata siku moja kutumia lugha nyepesi kwa watu wanaojitoa ufahamu kwa makusudi.


Kwa maana mnafanyaga mtu atafute maneno sahihi yakuwaambia lkn anaona lililo bora ni hilo kuwaambia ACHENI UPUMBAVU.


wewe kwann ujifanye kabisa kua hujui??? Kwann uwe mnafiki???

Ukweli ni kua mtu mnafiki hafai hata kua Rafiki.
 
Kukosolewa sio kosa tatizo ni pale mkosoaji anapokuwa na utayari wa kuiuza nchi ya Baba na Mama yake kwa vipande vya fedha.
Acha akili za kushikiwa,ni nchi gani ya kiafrica imeshauzwa?hivi mtu mwenye akili zake unaweza amini propaganda za kijinga kama hizp,nchi haiuzwi ila tunataka utekaji,uuaji,na udikteta ukome hapa Tanzania.
 
Acha akili za kushikiwa,ni nchi gani ya kiafrica imeshauzwa?hivi mtu mwenye akili zake unaweza amini propaganda za kijinga kama hizp,nchi haiuzwi ila tunataka utekaji,uuaji,na udikteta ukome hapa Tanzania.
Huyo jamaa yenu pingamizi lake limetupiliwa mbali huko Dodoma.

Ataendelea ku-retire impress kwa njia nyingine sio hii ya mapingamizi.
 
Ukijifanya kichwa ngumu utashughulikiwa tu pasipo shaka yoyote.
 
Hahahahahaha Nyinyi Mmeishia kuua na kuwaumiza watu..lkn HAMUWEZI KAMWE HATA SIKU MOJA KUUA MAONO NA FIKIRA.


njooo nikushugulikie.
Fikra zenye maono ni baraka kwa taifa lakini zile za kiuchochezi na zenye matusi na dhihaka ni lazima zimuumize mwenye kuziweka hadharani.
 
Fikra zenye maono ni baraka kwa taifa lakini zile za kiuchochezi na zenye matusi na dhihaka ni lazima zimuumize mwenye kuziweka hadharani.
Hahahaha Sikia kijana, Chezea yote lkn usije chezea Suala la mtu linalomgusa moyo na uhuru wake kwa ujumla .


Unadhan ghadafi aliondolewa na mamilion ya watu?? Aluondolewa na kabila dogo sanaaaaaa ambalo alikua analidharau, kulionea na unyanyasaji.


Namaanisha ivi, hata mfanye nn, Mwisho wake upo tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Tunahitaji Siasa safi, yenye usawa
 

Huyu aliyemtusi nyerere hadharani au mwingine. Shida yenu Vijana Ni usahaulifu. Huwa mnamajibu then mnaforce maswali yafanane na majibu yenu. Tabuuuu tupu. Mkuu Leo tarehe 26. huko kwenu 27 tayari kama upo tz. Rudi hapa tarehe 31.10-02.11.2020. utajua kuwa JF Ni sehemu ya kupiga tu Kelele wapiga Kura wapo insta na Fb.
 
Mungu ambariki san
 
Mwl alitaka watetea ushoga? Angali utakuwa umepandisha maruhani wewe ya jini David Fursish.
Hakutaka watu wanaotekana na kua na kunawa damu za binadamu. Mwl hakutaka kafara za damu za binadamu ili kubaki madarakani.
 
Watu wanamkejeli muumba sembuse binadamu mwezao? Tena mwanasiasa?!!
 
COMRADE KAMA KUNA DUKA HAPO KARIBU AGIZA SODA NAKUJA LIPIA, UBARIKIWE SANA.
GREAT POST.
 
Yaani mtasibiri sana kama mnaoaa na kuamini kuwa Tund atakuwa Rais wa nchi hii! Endeleeni kuota , huyo anachangamsha genge tu na kuwaokota watu kama ninyi ila ukweli anaujua, hawezu kuwa Rais ..!
Wala hushangazi mkuu , haya maneno yalitamkwa Sana happy awali kuwa hawezi rudi na akirudi atakamatwa pale airport na asipokamatwa hawezi kugombea na akigombea hawezi teuliwa ..Sasa wee endelea kuota ndoto zako za kipumbavu huku ukiwa umeshiba ugali maharagwe na kisamvu Cha mkeo ...maana kwa sasa ndoto iliyobakia ni hawezi kutangazwa na akitangazwa mtasema hawezi kuapishwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] matanga poleni sana sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…