Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,473
- 13,629
Endelea kuifariji nafsi yako huku ukiendelea kuzeeka kimwili na kimawazo.Hahahaha Sikia kijana, Chezea yote lkn usije chezea Suala la mtu linalomgusa moyo na uhuru wake kwa ujumla .
Unadhan ghadafi aliondolewa na mamilion ya watu?? Aluondolewa na kabila dogo sanaaaaaa ambalo alikua analidharau, kulionea na unyanyasaji.
Namaanisha ivi, hata mfanye nn, Mwisho wake upo tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tunahitaji Siasa safi, yenye usawa
Jipe moyo kiongozi.Watu wanamkejeli muumba sembuse binadamu mwezao? Tena mwanasiasa?!!
Kwani uchaguzi tayari,nishakuambia hatutaki utekaji,uuaji na unyanyasaji,tunasubiri tume itoe majibu majimboni ili tuione ina uhalali au lah,mwaka huu mtoto hatumwi dukani,ni bamper to bamper na mtalia sana.Huyo jamaa yenu pingamizi lake limetupiliwa mbali huko Dodoma.
Ataendelea ku-retire impress kwa njia nyingine sio hii ya mapingamizi.
Uwezo wa bamper to bamper ni humu mitandaoni lakini huko walipo wananchi msitegemee lolote la maana.Kwani uchaguzi tayari,nishakuambia hatutaki utekaji,uuaji na unyanyasaji,tunasubiri tume itoe majibu majimboni ili tuione ina uhalali au lah,mwaka huu mtoto hatumwi dukani,ni bamper to bamper na mtalia sana.
Acha kupotosha wewe wala nyerere hakusema anataka vijana kama lissu. Hakusema anataka vijana wanaotetea mabeberu na kupinga kila kitu. Hakutaka vijana wanaosema miradi ya maendeleo kama vile reli ya tazara aliyojenga yeye ni vitu wala haina uhusiano na maendeleo ya watu. Hakutatanga vijana wanaotumia ujuzi wao wa sheria kuungaunga hoja kuwapa fisadi haki. Ulaaniwe wewe unayeungaunga hoja kuonesha tundu lissu ndio kijana aliyemtaka nyerere.Mwalimu JK nyerere katika hotu a zake akiwa rais aliwahi kukemea tabia ya vijana wa ndio mzee Aina ya Mataga.
Mwalimu alitaka vijana wahoji why who when whose how which nk.
Mwalimu hakutaka vijana aina ya Mataga kila kitu Ni ndioooo hata upumbavu.
Nyerere alitaka vijana wahoji ndio hasa walewa vyuo vikuu.
Ndoto ya mwalimu imetimia kupitia lissu.lisu analichangamsha taifa Zima.
Lisu ni Kama myunani anawafundisha watu kufikiri.
Lissu Mungu akubariki Sana.
Unawaondolea vijana uogaa.
kumbe ni sawa kukubaliana na mleta mada ni kweli, lakini kizazi hicho japo alikihitaji ila ni kizazi cha vichaa.Nyerere hakuwa Malaika. Hivyo kukosolewa mbona kawaida tu. Yes hakupenda watu wampinge. Kina Kambona,Mohamed Babu waliishia wapi ?
Kwenda acha uongo alichosemaga Tundu ni kwamba hata Nyerere ni binadamu pia kuna sehemu alikoseaHuyo unaemsifia kwamba Nyerere alitaka watu wa aina yake,yeye anasema nyerere hajafanya kitu
Nyie msiojua sheria ndio mapumbavu,Magu amekosea akatweYaani mtasibiri sana kama mnaoaa na kuamini kuwa Tund atakuwa Rais wa nchi hii! Endeleeni kuota , huyo anachangamsha genge tu na kuwaokota watu kama ninyi ila ukweli anaujua, hawezu kuwa Rais ..!
Mbona hakuna uhusiano wa Nyerere kutaka watu aina yake na alichosema lisuHuyo unaemsifia kwamba Nyerere alitaka watu wa aina yake,yeye anasema nyerere hajafanya kitu
Kwani watu wa huku mtandaoni si ndiyo hao hao wanaoishi mitaani? Au wao wanaishi wapi?Uwezo wa bamper to bamper ni humu mitandaoni lakini huko walipo wananchi msitegemee lolote la maana.
Watu wa mitandaoni kelele nyingi siku ya kupiga kura wanavuta shuka mpaka saa saba mchana.Kwani watu wa huku mtandaoni si ndiyo hao hao wanaoishi mitaani? Au wao wanaishi wapi?
Rejea nyuzi za juu kuna jamaa kaongea kitu cha ajabu,na Mimi nikamjibu hivyoMbona hakuna uhusiano wa Nyerere kutaka watu aina yake na alichosema lisu
Alikihitaji alipostaafu. Ila kipindi chake kizazi hicho alikipinga na aliwawekea vikwazo na wengine mpaka walikimbia nchi. Umesahau mambo ya zidumu fikra za mwenyekiti wa chama cha mapinduzi ?kumbe ni sawa kukubaliana na mleta mada ni kweli, lakini kizazi hicho japo alikihitaji ila ni kizazi cha vichaa.
mzee nyerere alihitaji vijana wenye maono na mikakati ya kuikuza nchi yao kila nyanja, sio watu wa fursa za kisiasa na wapiga kelele.Alikihitaji alipostaafu. Ila kipindi chake kizazi hicho alikipinga na aliwawekea vikwazo na wengine mpaka walikimbia nchi. Umesahau mambo ya zidumu fikra za mwenyekiti wa chama cha mapinduzi ?
ni nusu mtu na nusu vyumaLissu ni MTU na NUSU......Akili TERABYTES.
Sawa Dada yake shehe yahaya,leteni uhuni muone shida itakavyokuwa,.Uwezo wa bamper to bamper ni humu mitandaoni lakini huko walipo wananchi msitegemee lolote la maana.
Ustaarabu umeshakuwa mdogo unaingiza matusi ya mtaani.Sawa Dada yake shehe yahaya,leteni uhuni muone shida itakavyokuwa,.
Acha uongoKwani kukosoa nyerere ni kosa,nyerere alitaka vijana kama hawa wasio waoga na wanaoweza kumkosoa hata yeye,tumia akili za ndani ya box ulilobeba(bichwa) kung'amua mambo,hata nyerere alipenda akosolewe.