Baba Mtakatifu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2017
- 1,332
- 2,465
Mkuu naona unaongea kinyumenyume, Lissu ni jembe na mzalendo wa damu na ukweli kuliko hao wazalendo wako.Hahahahaha,asimame tu,yaani CCM inashinda bila jasho.Huyo Lissu hana personality ya kumfanya awe Rais.
Lakini sasa mbona hamtulii kila anapotokea anawaumiza vichwa?Kama kuna mtu hana uwezo tu hata wa kuwa balozi wa nyumna kumi ni Tundu Lisu. Hana hata uwezo wa kumiliki familia ni basi tu.
I disagree na wewe mkuu, the way hili jambo linavyokuwa treated mpaka sasa hamna hata washukiwa ni wazi walijaribu kufanya hilo tukio la kumuondoa ni watu untouchable. Ila wangekuwa sio wao!!!! mbona ungeona watu wanapatikana kesho yake na silaha zinaoneshwa laivu kweny presi konferesi. Acha niishie hapa mwaka 2018 haujaisha bado, nisije nikaulia segedansiHili neno "lazima" naona kama lina ukakasi fulani!. Kwa nini ni lazima awe Lissu?. Ulazima wake ni upi na ulazima wa nini?. Isije kuwa hata zile pyu pyu ni friendly fires ili kuondoa huo ulazima?.
P
Ha ha ha ha.. Lissu ni mzuri sana, ana akili sana, ni mpambanaji sana, na anaijua sheria sana.. Kwa kifupi yuko vizuri sana..
Ila kwa uraisi kwa maoni yangu hapana..
U Rais ni taasisi kwa tabia na hulka za Waziri was ujenzi ungetegemea awe Rais?Ha ha ha ha.. Lissu ni mzuri sana, ana akili sana, ni mpambanaji sana, na anaijua sheria sana.. Kwa kifupi yuko vizuri sana..
Ila kwa uraisi kwa maoni yangu hapana..
Uraisi ni taasisi pale katiba na sheria za nchi zinafuatwa.. Lakini anapopatikana raisi dikteta, dhana ya uraisi taasisi inakufa.. kwa serikali hii ya awamu ya tano, uraisi sio taasisi, uraisi ni mtu, Jiwe..U Rais ni taasisi kwa tabia na hulka za Waziri was ujenzi ungetegemea awe Rais?
Victoria ulisemaHahahahaha,asimame tu,yaani CCM inashinda bila jasho.Huyo Lissu hana personality ya kumfanya awe Rais.