Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Hapa Paschal ulikuwa bado na akili timamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Can you say this again?Hahahahaha, asimame tu, yaani CCM inashinda bila jasho.Huyo Lissu hana personality ya kumfanya awe Rais.
[emoji23][emoji23] Watu vinyonga humu.Can you say this again?
Kwanini?Ha ha ha ha.. Lissu ni mzuri sana, ana akili sana, ni mpambanaji sana, na anaijua sheria sana.. Kwa kifupi yuko vizuri sana..
Ila kwa uraisi kwa maoni yangu hapana..
Mkuu, nimefuta kauli, Ni Lissu kwenda mbele[emoji111]Kwanini?
Karibu..... kuna uwezekano mwanzo mwema wa tanzania ni sasa... maana tutakavyoondoa mfumo uliopo itatupa fursa ya kujiamini kwamba hata hawa wapya tutakaowaweka wakileta ujinga tunawatoa pia... hii itachochea wanaokuwa madarakani wasifanye maamuzi ya kimazoea... hivyo maendeleo yatashika kasi.Mkuu, nimefuta kauli, Ni Lissu kwenda mbele[emoji111]
Only fools do not change their mind,even if they are going to hell. Note :Iam not one of them.Can you say this again?
Mungu hakumponya Lissu ili aje kuwa bila faida. God had mission with Tundu.Shujaa Kamanda Tundu Lissu, karibu nyumbani.
Mungu ni mwema amekutendea muujiza, hivyo endelea kutimiza ndoto yako, Mungu aliyekuponya ni Mungu mwenye uwezo, anaweza kabisa kulifanya "Jiwe Walilolikataa Waashi, Likafanywa Jiwe Kuu la Pembeni"
I wish him all the best.
Paskali
Huu[emoji3516]ndio ukweli.
Tunalihisi joto la Tindu Lissu kisiasa, kuna nguvu kubwa ndani nyuma yake.
Mungu ametukumbuka Watanzania.
Kwa vyovyote vile Tanzania haitabski ksma ilivyo leo.
Pascal Mayalla "Kwa maoni yangu, kwenye kambi nzima ya upinzani Tanzania, tuna watu wawili tu ndio wenye uwezo, wa ability na capabilities za kumkabili JPM na aka feel the heat ya uchaguzi. Hawa ni Zitto Zuberi Kabwe na Tundu Lissu." Mwisho wa kunukuu.
Ni juu yao kufanyia kazi, maana ndio ukweli wenyewe.
Mkuu Pythagoras mbona unanichomekea tena
Mkuu Salary Slip ,Huyu bwana nadhani hataki Lissu awe mgombea uraisi kupitia upinzani na ndio maana anajaribu kumzodoazodoa kiaina na huenda ana candidate wake mwingine anaeona atafaa kugombea kupitia upinzani.
Binafsi namshauri asome alama za nyakati na akubaliane na hali hali(aende na jinsi upepo unavyovuma).
Mkuu Waberoya, maadam sasa ni Lissu kapitishwa Chadema, jee akipitishwa na NEC, ndie atakuwa rais?.
P
Mkuu Waberoya , Duh...!. Why?! .Hawezi kuwa rais, sitamani awe rais,nitaomba asiwe rais
Duh...!. Mkuu Wakudadavuwa , ili mtu uwe mzuri kwenye utekelezaji si mpaka uwe na dola!, jee kuna ubaya tukimjaribu kwa kumpa dola ili tuone utekelezaji wake, baada ya miaka mitano tukiona ameshindwa, then tuna mnyang'anya?.Mkuu Paskali, hata Tundu mwenyewe anajua kuwa ni mzuri sana kwenye nafasi ya kuongea hovyo na kukosoa lakini si utekelezaji.
Mkuu Madam Mwajuma , maadam sasa kapitishwa, jee utampa?, au kwa vile wewe ni cha kijani, ni kijani tuu?,Tatizo la Lissu ni kupitishwa, Kikubwa tupate maendeleo sio mtu japo mimi nina chama cha kijani sio kama Pachal Mayalla.