Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!

Comrade paskal si unajuwa Prophecy zako hapa JF hazijawahi kwenda kinyume?

Kwa trend ya kampeni ilivyo Magufuli amefunikwa vibaya na Lissu, kilichobaki CHADEMA wajipange namna ya kulinda kura na kuhakikisha wanatangazwa washindi wa uchaguzi huu.

Naona msajili wa vyama ameshaona maji yapo shingoni imebidi ajitose ili kuwanusuru ni gharika la Lissu.
 
Bila ku- underestimate juhudi alizofanya Tundu ili walau momentum iliyopo kwenye kampeni kupatikana, nadiriki kusema fairly ni juhudi imefanyika. Ni kweli kabisa kushinda uchaguzi mkuu ni ngumu sana kwa mazingira ya sasa, lakini hata tunachokiona ni msingi wa baadaye. Changamoto ninayoona huko mbele ni kwamba, Upinzani haitakuwa na ruzuku au itakuwa na ruzuku kidogo sana, na kwa network ambayo Chama kama Chadema ilikwishajenga inaweza kuwa ndiyo mwisho wake haswa ukizingatia its unlikely kupata wafadhili wa ndani wa kukihudumia Chama.
 
Can you say this again?
[emoji23][emoji23] Watu vinyonga humu.

Ila pascal mayalla anaona mbali na ni mtu mwenye utashi mkubwa aliharibu kujisalimisha CCM.

Kiasi Fulani namkubali.

Lissu Ni kitu kingine aysee hutoba zake nasikiliza hadi mwisho kwa jinsi anavyomwaga madini bila kumuogopa jiwe.

Sijawahi kusikiliza hutoba yeyote ya jiwe kuanzia mwanzo hadi mwisho. HAVUTII KUMSIKILIZA.
 
Mkuu, nimefuta kauli, Ni Lissu kwenda mbele[emoji111]
Karibu..... kuna uwezekano mwanzo mwema wa tanzania ni sasa... maana tutakavyoondoa mfumo uliopo itatupa fursa ya kujiamini kwamba hata hawa wapya tutakaowaweka wakileta ujinga tunawatoa pia... hii itachochea wanaokuwa madarakani wasifanye maamuzi ya kimazoea... hivyo maendeleo yatashika kasi.

so, karibisha wengine kwa faida ya mama tanzania.
 
Shujaa Kamanda Tundu Lissu, karibu nyumbani.
Mungu ni mwema amekutendea muujiza, hivyo endelea kutimiza ndoto yako, Mungu aliyekuponya ni Mungu mwenye uwezo, anaweza kabisa kulifanya "Jiwe Walilolikataa Waashi, Likafanywa Jiwe Kuu la Pembeni"

I wish him all the best.
Paskali
Huu[emoji3516]ndio ukweli.
Tunalihisi joto la Tindu Lissu kisiasa, kuna nguvu kubwa ndani nyuma yake.
Mungu ametukumbuka Watanzania.
Kwa vyovyote vile Tanzania haitabski ksma ilivyo leo.
 
Shujaa Kamanda Tundu Lissu, karibu nyumbani.
Mungu ni mwema amekutendea muujiza, hivyo endelea kutimiza ndoto yako, Mungu aliyekuponya ni Mungu mwenye uwezo, anaweza kabisa kulifanya "Jiwe Walilolikataa Waashi, Likafanywa Jiwe Kuu la Pembeni"

I wish him all the best.
Paskali
Huu[emoji3516]ndio ukweli.
Tunalihisi joto la Tindu Lissu kisiasa, kuna nguvu kubwa ndani nyuma yake.
Mungu ametukumbuka Watanzania.
Kwa vyovyote vile Tanzania haitabski ksma ilivyo leo.
Mungu hakumponya Lissu ili aje kuwa bila faida. God had mission with Tundu.
 
Maoni ya P.Mayalla yalichukuliwa
Pascal Mayalla "Kwa maoni yangu, kwenye kambi nzima ya upinzani Tanzania, tuna watu wawili tu ndio wenye uwezo, wa ability na capabilities za kumkabili JPM na aka feel the heat ya uchaguzi. Hawa ni Zitto Zuberi Kabwe na Tundu Lissu." Mwisho wa kunukuu.

Ni juu yao kufanyia kazi, maana ndio ukweli wenyewe.
 
Huyu bwana nadhani hataki Lissu awe mgombea uraisi kupitia upinzani na ndio maana anajaribu kumzodoazodoa kiaina na huenda ana candidate wake mwingine anaeona atafaa kugombea kupitia upinzani.

Binafsi namshauri asome alama za nyakati na akubaliane na hali hali(aende na jinsi upepo unavyovuma).
Mkuu Salary Slip ,
Karibu!.
P
 
Mkuu Waberoya, maadam sasa ni Lissu kapitishwa Chadema, jee akipitishwa na NEC, ndie atakuwa rais?.
P

Hawezi kuwa rais, sitamani awe rais,nitaomba asiwe rais
Mkuu Waberoya , Duh...!. Why?! .
Nina maswali 6 haya
  1. Kwanini hawezi kuwa rais?
  2. Kwanini hautamani awe rais?
  3. Kwanini unaomba asiwe rais?.
  4. Katika hawa waliopo, nani anaweza kuwa rais?
  5. Nani unatamani awe rais na kwanini?
  6. Nani unaomba awe rais?
P
 
Mkuu Paskali, hata Tundu mwenyewe anajua kuwa ni mzuri sana kwenye nafasi ya kuongea hovyo na kukosoa lakini si utekelezaji.
Duh...!. Mkuu Wakudadavuwa , ili mtu uwe mzuri kwenye utekelezaji si mpaka uwe na dola!, jee kuna ubaya tukimjaribu kwa kumpa dola ili tuone utekelezaji wake, baada ya miaka mitano tukiona ameshindwa, then tuna mnyang'anya?.
P
 
Back
Top Bottom