akipitishwa chadema atakuwa rais!!!
ila hawezi kamwe kupitishwa
Unajua malengo waliyojiwekea? Au unabwabwaja!!!!Mkuu Paskali, hata Tundu mwenyewe anajua kuwa ni mzuri sana kwenye nafasi ya kuongea hovyo na kukosoa lakini si utekelezaji. TLS sasa imeshamshinda,hakuna linalofanyika kwa manufaa ya wanasheria.
I hope your advice is heeded by those it concerns....If i were CDM i would start grooming new candidates before its too late.
Wamezifikisha nchi zao hapo kwa kuwasikiliza wanasheria.....that's the differenceh
hakuna masomo wala profesional ya kusomea ili uwe rais:narudia tena hakuna masomo wala profesional ya kusomea ili uwe rais:kuna marais weng dunian hawakusoma sheria lakin wamezifikisha inch zao katika uchumi uliobora zaid:kiongoz bora hupimwa kwa matendo na uwezo wa kusimamia maendeleo na kuchochea ukuaj na ustawi wa jamii yake huku akitanguliza uzalendo kwanza kwa taifa lake
Tundu is a poor choice! Too biased to one corner., we need an all rounder president., either from CCM or opposition.
Zitto is toxic and Mbowe is old story, EL is too tainted.
Our oppositions in a bad state.
If i were CDM i would start grooming new candidates before its too late.
Mkuu Pascal
Nakushauri Kwa Upole Na Upendo Kwa Hili Bandiko Andaa Wadhamini Na Mali Zisizohamishika Maana Duh!!!
Kazi Kubwa Sana
Hata lile jengo la 3bn la TLS mkuu haujalisikia nini? DuuuuuMkuu Paskali, hata Tundu mwenyewe anajua kuwa ni mzuri sana kwenye nafasi ya kuongea hovyo na kukosoa lakini si utekelezaji. TLS sasa imeshamshinda,hakuna linalofanyika kwa manufaa ya wanasheria.
Wapo wa kutosha sana sana tuu. Uelewe kuwa kutokana na mwenendo wa siasa zetu wapo wengi uanachama wao wa vyama vya upinzani ni wa siri. Kuna maofisa waandamizi wa serikali (kama alivyokuwa Kitila) wengi tuu ambao ni wanachama wa vyama vya upinzani.Kwani serikali nzima itaendeshwa na Lissu? Vp RCs, DCs, mawaziri pamoja na nafasi zingine za kisiasa zinazopaswa kishikwa na wanachadema wenyewe are they elite enough to run the government?
Unamaanisha Chadema wanaangalia maslahi binafsi na sio mtu sahihiakipitishwa chadema atakuwa rais!!!
ila hawezi kamwe kupitishwa
Hahahahaha,asimame tu,yaani CCM inashinda bila jasho.Huyo Lissu hana personality ya kumfanya awe Rais.