kibunange
Senior Member
- Feb 18, 2015
- 165
- 148
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo kwel weka hoja....Lissu akitangazwa kugombea Urais,Magu atafuta uchaguzi. Anamuogopa sana.
Ha ha ha ha.. Lissu ni mzuri sana, ana akili sana, ni mpambanaji sana, na anaijua sheria sana.. Kwa kifupi yuko vizuri sana..
Ila kwa uraisi kwa maoni yangu hapana..
Hahahahaha,asimame tu,yaani CCM inashinda bila jasho.Huyo Lissu hana personality ya kumfanya awe Rais.
Kwa vile wewe unaongea kisukuma basi kabla ya hoja hii mwambie Magufuli aruhusu siasa halafu ndio uje na haya.
Mmewafunga watu midomo halafu mnakuja na propaganda za kichovu , wakati magufuli anaongea anavyotaka , huyu lissu unayemuandika kila akiongea mnatuma polisi wenu kumkamata !
Wekeni kwanza uwanja sawa , huyo ndugu yako kama anafanya vizuri hofu yake kwa hawa wapinzani wachovu ni nini ?
Kumshitaki Makonda?Unajua malengo waliyojiwekea? Au unabwabwaja!!!!
hili nalo ndio tatizo kuu la SIZONJESwala la ubinyaji wa democrasia na Uhuru wa raia kujieleza ni uchochezi wa fujo wenye kikomo cha uvumilivu.
Uchochezi wa namna hiyo unaweza sababisha tusifike 2020
WENGINE TUNAPIGA KIMYAKIMYA inatoshaYaani Tanzania nzima ni mtu mmoja tu amepata uwezo wa kusimama na kumbishia magyufury