CCM MKAMBARANI
JF-Expert Member
- Mar 15, 2017
- 2,031
- 1,514
atatuchallenge ccm 2025 si 2020
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kukanusha zile tuhuma za lissu kwa Magufuli ?
Unaposema huna chama maana yake wewe hushiriki chaguzi kuu za nchi hii?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla lilifanyika nini, kwa niaba ya wanasheria? Acha kukalili ndugu yetu.Mkuu Paskali, hata Tundu mwenyewe anajua kuwa ni mzuri sana kwenye nafasi ya kuongea hovyo na kukosoa lakini si utekelezaji. TLS sasa imeshamshinda,hakuna linalofanyika kwa manufaa ya wanasheria.
Duh, kwahiyo nani ana personality ya kuwa Rais?Hahahahaha,asimame tu,yaani CCM inashinda bila jasho.Huyo Lissu hana personality ya kumfanya awe Rais.
Mkuu ulitarajie afanye nini kwenye hicho chama tena muda wenyewe ni mwaka mmoja tu? Unadhani inatofauti gani na kuwa mwenyekiti wa kamati ya harusi?Mkuu Paskali, hata Tundu mwenyewe anajua kuwa ni mzuri sana kwenye nafasi ya kuongea hovyo na kukosoa lakini si utekelezaji. TLS sasa imeshamshinda,hakuna linalofanyika kwa manufaa ya wanasheria.