Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!

Mikutano mmeruhusiwa majimboni kwenu , sasa hivi sio wakati wa siasa ni muda wa kazi tu.mmekosa hoja nyaaambaf zenu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mmezoea kutukana kama Mwenyekiti wenu sikushangai ndivyo Chama Cha Makinikia mlivyokuzwa matusi kwenu ni chakula.Huyo Mwenyekiti wenu badala ya kufanya kazi yuko busy kufanya kampeni ati mimi ndiyo rais nani kamwambia yeye mbunge??
 
Jamaa mbona unachanganya mada hapa...mara Tundu Lissu anaweza kumkabili Magu hapo hapo tena unasema Tundu ni zaidi ya Magu mara Tundu na Magu..hebu toka huko ulipo kaa Sebuleni ufungue na Madirisha na milango upepo upite ndio uandike vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NDOTO NJEMA WEWE ULIYELALA USINGIZI MZITO. CHADEMA HAIWEZI KUSHINDA URAIS NA 2020 HAWAPATI HATA 3,000,000 MAANA HUYO LOWASSA WATU WAMESHAGUNDUA ASINGEFANYA LA MAANA.
Sasa kwanini mnajificha kwenye kwapa la polisi ?
 
I hope madhara ya vita unayajua, and this will never happen in Tanzania. na kuprove hilo anza kuandamana kwenye awamu hii halafu uone kitakachotokea.

Upinzani mkiendelea kumfuata Lissu, msahau habari ya kuiondoa CCM madarakani.
Watakaoing'oa ccm ni wananchi , sisi tunaonyesha njia tu , na nakuhakikishia kwamba ccm itang'olewa kwa UDI ba UVUMBA , jiandae kisaikolojia .
 
Ha ha ha ha.. Lissu ni mzuri sana, ana akili sana, ni mpambanaji sana, na anaijua sheria sana.. Kwa kifupi yuko vizuri sana..
Ila kwa uraisi kwa maoni yangu hapana..


Mbona Trump kawa Rais na watu walikuwa hawamtaki ?🙂

wakimuweka Lissu mie nitampigia kura kiroho safi
 
Watakaoing'oa ccm ni wananchi , sisi tunaonyesha njia tu , na nakuhakikishia kwamba ccm itang'olewa kwa UDI ba UVUMBA , jiandae kisaikolojia .

CCM itaondoka madarakani pale tu marefa wa mechi watakapokuwa neutral, huwezi kwenda uwanjani huku refa ni wao, vibendera ni wao kamisaa wao, no way my friend. Uchaguzi Tanzania ni kukamilisha ratiba tu na kuunyesha ulimwengu kwamba tuna chaguzi za kidemokrasia.

Naomba niwe wa mwisho kuamini kwamba CCM itaondolewa madarakani kwa mazingira haya tuliyo nayo. Sina hakika kama unafahamu kwamba baadhi ya hao waliovianzisha hivyo vyama ni kutoka ile idara nyeti
 
Anatosha kwa nafasi aliyopo...... Tatizo letu watanzania tunapenda mtu muongeaji saana.... PASKALI usitishwe na maneno ya mtu Hana lolote Hana chochote zaidi ya uropokaji...... LISU acha awe chumvi ndani ya mboga mambo yatanyooka [emoji23][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msimdanganye atakosa hata kuingia Bungeni kwake uraisi hawezi kwa kasi ya Dr. Magufuli anayoifanya ktk nchi hii angalia hao waisani wanazidi kutoa pesa hata na makelele ya wapinzani. Kumbukeni la Zanzibar na wakasema hivyo Rais akusikiliza mtu anachokifanya kwa kitendo ndio maana wanazidi kumpa pesa kwani wanaona pesa wanayotoa inafanya kazi tofauti na mwanzo. Na hivi karibuni wametoa pesa ya kuongeza gati bandarini ni BANK YA DUNIA kama sitakosea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mr Mayala nakushauri wakati mwingine unapoleta maoni mazuri kama hayo tumia maneno ya kiwsahili ili hata yule Masanja, masalu, shija pamoja na mazengo, matonya wakuelewe vizuri. Nashukuru kwa udadaguzi kwa hili jambo ambalo naamini hayo ni maoni yako,na yanaweza yakawa pia mawazo ya watanzania wengine kwa sababu mwenye macho haambiwi tazama na usipotazama hiyo ni hiari yako.

Ukweli utabaki kuwa ukweli Rais wetu amekidhi matarajio ya wananchi wa Tanzania, Mikoa yote Vumbi linatimuka kwa matengenezo ya barabara kwa kiwango cha lami ni nani asiye juwa?

Mheshimiwa Rais tunakuunga mkono sana kwa kazi yako nzuri unayoifanya, maneno na dhihaki wanazozitoa achana nayo songa mbele ili waendelee kuisoma namba.
 
Nimeona wajermani wametoa pesa kwa ajili ya mradi wa maji toka victoria mpaka simiyu. Lisu angejiuliza kelele zake azimzuii Rais kufanya kazi na ndio maana wazungu wanatoa msaada sio mkopo. Kwa hiyo lisu awezi kasi ya Rais Magufuli anatakiwa kusoma alama za nyakati. Ushauri mnaompa hautamzaidia zaidi ya kumuua kisiasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeona TBS usa na uk wametoa pesa ya msaada kujenga bara bara ya mikumi ifakara
. Je unafikiri kelele za lisu zinasaidia? Mie napenda kukupa ushauri lisu kaa chini ujiangalie speed ya Rais Magufuli ni kali utaumia kama ukisikia wanapendekeza eti unafaa kugombea uraisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Paskali, si vema kumlinganisha mtu ambaye ana matatizo ya akili na Dkt Magufuli. Lisu ana matatizo yake binafsi kiakili. ACCACIA wamemkomalia anatafuta kiki pahala pa kutokea
Wote ni wagonjwa hao, tofauti tu mwingine yupo wodini na mwingine yupo mtaani
 
Back
Top Bottom