Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,411
Mkuu upo sahihi, tatizo linalokuja ni je TL atapitishwa na chama chake!! Kama anakumbuka majuzi hapa EL alinukuliwa akisema atagombea 2020. Sioni namna ambayo Chadema inaweza kumpitisha TL na kumwacha EL.
Shida Mazingira ya uchaguzi yapo huru??Kumbuka Lissu anahitajika sana bungeni hii ya urais siyo ya kuipigia kwanja maana jamaa zetu kwa bao la mkono huwawezi