Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!

Unaweza kukanusha zile tuhuma za lissu kwa Magufuli ?

Erythrocyte
Unaweza ukawa na hoja nzuri sana lakini ukaharibu hoja yako kwa kutumia vibaya ulimi wako mwenyewe. Adui hapigwi kwa kelele za dharau, kejeli na matusi. mbinu na akili zinahitajika katika awamu hii kuliko awamu zilizopita. lazima kuelewa mazingira ya siasa katika awamu hii si sawa na awamu zilizopita.

Kumbuka awamu hii inaongea sana lugha ile ile ambayo kwa miaka yote imeongelewa na upinzani, upinzani unapoonyesha dharau kwa yale yale ambayo waliyapigania kwa nguvu zao zote, unapoteza sifa ya uzalendo kwa nchi yao.

Raisi si Malaika, kuna maeneo anafanya vizuri na kuna maeneo hafanyi vizuri. haya maeneo ambayo hafanyi vizuri anahitaji ukosoaji au ushauri wenye staha.
 
Saharavoice,
Ule utukufu aliopewa Yesu kristo mnaotaka sisi wengine tumpe Magufuli hamtaupata hata mkitumia vifaru vyote vya nchi , sana mnaweza kuleta vita .
 
Kama kazi anayoifanya Magufuli ni nzuri kwa manufaa ya taifa then why uchaguzi wa 2020? Na kama ni itikadi inabidi ifuatiliwe, then what does Lissu have kuwaambia watz kuwa yeye ndiye anayetufaa ikiwa rais aliyepo madarakani anafanya yale yale ambayo Lissu anataka kufanya? I really doubt kama Lissu ana uwezo wa kufanya anayofanya Magufuli kwa hivi sasa, Isay NOT. Kumbuka kuwa na akili au kujifanya kukariri vitabu does NOT make you a great leader, mifano hai iko mingi sana hapa Afrika na duniani pia. Lissu hafai na ni mtu wa visasi kama wenzake kina Lowassa, Kabwe.....mwacheni kwa sasa anyee ndoo tu pengine akili itamjia.
 
Mkuu Paskali, hata Tundu mwenyewe anajua kuwa ni mzuri sana kwenye nafasi ya kuongea hovyo na kukosoa lakini si utekelezaji. TLS sasa imeshamshinda,hakuna linalofanyika kwa manufaa ya wanasheria.
Kabla lilifanyika nini, kwa niaba ya wanasheria? Acha kukalili ndugu yetu.
 
Mkuu Paskali, hata Tundu mwenyewe anajua kuwa ni mzuri sana kwenye nafasi ya kuongea hovyo na kukosoa lakini si utekelezaji. TLS sasa imeshamshinda,hakuna linalofanyika kwa manufaa ya wanasheria.
Mkuu ulitarajie afanye nini kwenye hicho chama tena muda wenyewe ni mwaka mmoja tu? Unadhani inatofauti gani na kuwa mwenyekiti wa kamati ya harusi?
 
, akisimama na Magufuli, you can never tell what will happen!, Magufuli naweza akaachwa mbali sana! , ila litabaki swali moja tuu ndogo, with reference ya kilichotokea Zanzibar, hata huku bara, jee akishinda atapewa?.
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] hapo chacha
 
Tetty,
Mkuu upo sahihi, tatizo linalokuja ni je TL atapitishwa na chama chake!! Kama anakumbuka majuzi hapa EL alinukuliwa akisema atagombea 2020. Sioni namna ambayo Chadema inaweza kumpitisha TL na kumwacha EL.
 
Back
Top Bottom