BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Ikifanywa mizengwe ya kumnyima [HASHTAG]#lissuthegreat2020[/HASHTAG] nafasi yake anayostahili 2020 basi Chadema itakuwa imejimaliza yenyewe na kufanya kazi ile hawa wahuni na mafisadi wa MACCM wamejaribu kwa miaka chungu nzima sasa kuifanya ya kuimaliza Chadema lakini hawajafua dafu.
Lissu ana personality kubwa kushinda dikteta uchwara, hatakacha kusafiri nchi za nje kama huyu uchwara kwa sababu lugha ya kwa mama haipandi.
[HASHTAG]#lissuthegreat2020[/HASHTAG]
Lissu ana personality kubwa kushinda dikteta uchwara, hatakacha kusafiri nchi za nje kama huyu uchwara kwa sababu lugha ya kwa mama haipandi.
[HASHTAG]#lissuthegreat2020[/HASHTAG]
akipitishwa chadema atakuwa rais!!!
ila hawezi kamwe kupitishwa