Tundu Lissu ndiye mtu Jasiri zaidi Tanzania tangu tupate Uhuru

Jasiri anayeufyata na kukimbia kulelewa na wazungu
Tukisemaga Watetezi wa CCm hamnaga akili ndo kama wewe,
Tundu Lisu kakimbia au kwenda kutibiwa?

Hivi waliompiga risasi wamekamatwa?

Hivi Yule kibushuti wenu Ndugai hakwenda kutibiwa India?

Hivi yule Marehemu wanu Mataga alipowekewaga sumu hakwenda kutibiwa kwa wazungu?

Kikwete alipoumwa tezi dime hakwenda USA kutibiwa?

Shujaa wa Afrika wa UKWELI mwenye hero JK Nyerere hakwenda kutibiwa UK?

Nyie akili zenu hamuelewi mambo kama Yule marehemu wenu.hakujua chochote zaidi ya kusema Uongo.
 
Tundu Lissu Mungu amuweka. Heka heka zake zimepeleka ujumbe mzito hadi Mama Samia ameamua tu kuwa muungwana.
 
Crap
 
Kama nijasiri akafungue au akafuatilie kesi yake ya kushambuliwa mahakamani. Ilitujue mbivu na mbichi.

..serikali na jeshi la polisi ndio wenye mamlaka ya kufungua kesi hiyo.

..ndio maana ulishuhudia serikali imemshtaki askari aliyemuua muandishi wa habari daudi mwangosi badala ya familia au ndugu za marehemu kufungua kesi dhidi ya askari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…