Tundu Lissu ndiye mtu Jasiri zaidi Tanzania tangu tupate Uhuru

..serikali na jeshi la polisi ndio wenye mamlaka ya kufungua kesi hiyo.

..ndio maana ulishuhudia serikali imemshtaki askari aliyemuua muandishi wa habari daudi mwangosi badala ya familia au ndugu za marehemu kufungua kesi dhidi ya askari.
Kwani serikali na polisi ndio walioshambuliwa??
 
Kwani serikali na polisi ndio walioshambuliwa??

..naelewa kwanini unafikiri hivyo.

..lakini sheria zetu ndio zimeipa Jamhuri mamlaka ya kushitaki makosa ya jinai.

..kwa suala la Lissu, jamhuri / serikali ndio yenye mamlaka ya kuchunguza, kuwakamata, na kuwashitaki, waliomshambulia.

..hata mimi au wewe tukishambuliwa --MUNGU atuepushe-- polisi watachunguza na kuwakamata watuhumiwa, na serikali itawashtaki mahakamani.
 
Mh mkuu we Mzima Kweli
 
Mwambie jamaaa yenu akafuatilie kesi yake mahakamani kama anaujasirii
 
M
..serikali na jeshi la polisi ndio wenye mamlaka ya kufungua kesi hiyo.

..ndio maana ulishuhudia serikali imemshtaki askari aliyemuua muandishi wa habari daudi mwangosi badala ya familia au ndugu za marehemu kufungua kesi dhidi ya askari.
Nachekesa saaanaaa.
 
Mwambie jamaaa yenu akafuatilie kesi yake mahakamani kama anaujasirii

..Lissu ni Mtz hivyo ni jamaa yetu sote.

..Unakosea unaposema " jamaa yenu. "

..hili lililomtokea linapaswa lituguse sote, na tulilaani kwa pamoja.

..fikiria kama wewe ungeshambuliwa, halafu atokee mtu mwingine akwambie kama una ujasiri kafuatilie kesi mahakamani.

..jamhuri inatakiwa iongeze juhudi kuwasaka waliojaribu kumuua Tundu Lissu.
 
Dikiteita Mungu akamfyekelea kwa mbali
 
Hizi ni zile zile ibada za kuabudu binadamu. Walikuwepo akina Rev. Mtikila bwana.
 
Jamaa aliambiwa kivuko kibovu hakujali akapanda mtumbwi [emoji3][emoji3]

Kweli Lissu ni Jemedari. [emoji123]

Maana si kwa vita ile ya risasi kama zote.

Matendo ya Mungu yatisha kama nini?!
 
Wewe unauelewa wa masuala ya sheria. Na hapo unazungumzia makosa ya jinsi ambapo hilo la kumhamanikia kwa Lisu ni miongoni mwayo. Kwa makosa ya jinai, Jamhuri ndiyo yenye wajibu na dhamana ya kushitaki. Hilo ni suala la sheria. Kwa anayekupinga, ni katika kudhihirisha kauli kwamba asiye na ufahamu mpana wa jambo ndiyo huwa mwongeaji sana mwenye kujifanya mjuvi.
 
Hizi ni zile zile ibada za kuabudu binadamu. Walikuwepo akina Rev. Mtikila bwana.
Mtikila kiboko yake alikua fisadi Rostam Aziz.
Alienda kukopa kwa Rostam sh milioni tatu.
Rostam akamwandikisha maelezo.
Mtikila akasahau akaanza kuwaponda mafisadi pamoja na Rostam.
Rostam akatoa barua ya mkopo ya Mtikila.
Pamoja na Ombi la msaada ya fedha za kwaya ya kanisa la Mtikila.
Mtikila akaona aibu.
Rostam mafia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…