Tundu Lissu ndiye mwanasiasa anayeongoza kwa wafuasi Tanzania kwa sasa; ni msema kweli na anafanya mindset reform ya wananchi

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Kwa sasa hivi Tundu Lissu ndiye mwanasiasa mwenye mvuto Tanzania. Hoja zake zinajadiliwa na kila mtu na zimepelekea hata vyuo kutunga mitihani kuhusu Muungano na hali ya siasa nchi ni.

Mwanafunzi wengi wanaofanya mitihani ya majaribio wameona reflection ya hoja za Lisu kwenye masomo na maswali.

Vijiwe vyote vinamjadili Lissu na kufanya viongozi kuweweseka kuhusu moto anaouwasha.

Watu kama Halima wanalipwa kupunguza makali ya Lissu lakini pia baadhi ya viongozi wa kisiasa wameonekana wazi kukerwa na idadi kubwa ya wananchi wanaomsikiliza.

Akiendelea kupiga mawe hivi wabunge watapata wakati mgumu sana majimboni 2025, wananchi watakuwa wamejaa chuki.
 
Jidanganyeni .

Mwenzenu si raia wa Tz na hata familia yake haipo Tanzania.

Lissu NI kibaraka wa mabeberu.
 
Kwenye suala la Rushwa za Uchaguzi Chadema kapiga kwenye mshono amefafanua vizuri rushwa ya CCM ilivyoathiri Chadems viongozi kununuliwa ie covid 19 na wengine kuunga mkono juhudi. hili ni kweli wacha akemee chadema ni wahanga
 
Tunataka watu wanaoongea ukweli hata kama haupendezi, sio ile mijinga kila siku mama mama mama katoa laki mbili na maharage, mama mama katoa mchuzi na hela, I hope hiki kizazi na kijacho tutaanza kumsikiliza Lisu, nchi yetu sote kwanini mijinga michache itutishie Maisha Kila siku na kutudanganya bila aibu
 
Kwa sasa hivi Tundu Lissu ndiye mwanasiasa mwenye mvuto Tanzania. Hoja zake zinajadiliwa na kila mtu na zimepelekea hata vyuo kutunga mitihani kuhusu Muungano na hali ya siasa nchi ni.

Mwanafunzi wengi wanaofanya mitihani ya majaribio wameona reflection ya hoja za Lisu kwenye masomo na maswali.

Vijiwe vyote vinamjadili Lissu na kufanya viongozi kuweweseka kuhusu moto anaouwasha.

Watu kama Halima wanalipwa kupunguza makali ya Lissu lakini pia baadhi ya viongozi wa kisiasa wameonekana wazi kukerwa na idadi kubwa ya wananchi wanaomsikiliza.

Akiendelea kupiga mawe hivi wabunge watapata wakati mgumu sana majimboni 2025, wananchi watakuwa wamejaa chuki.
Wafuasi wake wengi ukiwapima afya ya akili zao zina mushkeli!
 
Kwa nini asianzishe chama chake Ili tuone kama ana wafuasi maana anaweza kuwa anatembelea mgongo wa Chadema
 
Kwa sasa hivi Tundu Lissu ndiye mwanasiasa mwenye mvuto Tanzania. Hoja zake zinajadiliwa na kila mtu na zimepelekea hata vyuo kutunga mitihani kuhusu Muungano na hali ya siasa nchi ni.

Mwanafunzi wengi wanaofanya mitihani ya majaribio wameona reflection ya hoja za Lisu kwenye masomo na maswali.

Vijiwe vyote vinamjadili Lissu na kufanya viongozi kuweweseka kuhusu moto anaouwasha.

Watu kama Halima wanalipwa kupunguza makali ya Lissu lakini pia baadhi ya viongozi wa kisiasa wameonekana wazi kukerwa na idadi kubwa ya wananchi wanaomsikiliza.

Akiendelea kupiga mawe hivi wabunge watapata wakati mgumu sana majimboni 2025, wananchi watakuwa wamejaa chuki.
Sema ndiye mwanasiasa mwenye akili sana asiyepambania maslahi binafsi bali ya nchi yake bila unafiki wala uoga
 
Kama ana sifa hizi basi si mwanasiasa, ni mwanaharakati.
 
Lisu ni mharakati aliyobobea. Hilo apewe maua yake.

Walakin

Na kwa maoni yangu-Haitatokea hata siku moja, akawa Raisi wa Tanzania.

Itakuwa ni hatari kwa Usalama wa Muungano na Taifa letu.
 
Kwa sasa hivi Tundu Lissu ndiye mwanasiasa mwenye mvuto Tanzania. Hoja zake zinajadiliwa na kila mtu na zimepelekea hata vyuo kutunga mitihani kuhusu Muungano na hali ya siasa nchi ni.

Mwanafunzi wengi wanaofanya mitihani ya majaribio wameona reflection ya hoja za Lisu kwenye masomo na maswali.

Vijiwe vyote vinamjadili Lissu na kufanya viongozi kuweweseka kuhusu moto anaouwasha.

Watu kama Halima wanalipwa kupunguza makali ya Lissu lakini pia baadhi ya viongozi wa kisiasa wameonekana wazi kukerwa na idadi kubwa ya wananchi wanaomsikiliza.

Akiendelea kupiga mawe hivi wabunge watapata wakati mgumu sana majimboni 2025, wananchi watakuwa wamejaa chuki.
Jamaa yupo smart sana
 
Back
Top Bottom