Tundu Lissu ndiye mwanasiasa anayeongoza kwa wafuasi Tanzania kwa sasa; ni msema kweli na anafanya mindset reform ya wananchi

Kwa sasa hivi Tundu Lissu ndiye mwanasiasa mwenye mvuto Tanzania. Hoja zake zinajadiliwa na kila mtu na zimepelekea hata vyuo kutunga mitihani kuhusu Muungano na hali ya siasa nchi ni.

Mwanafunzi wengi wanaofanya mitihani ya majaribio wameona reflection ya hoja za Lisu kwenye masomo na maswali.

Vijiwe vyote vinamjadili Lissu na kufanya viongozi kuweweseka kuhusu moto anaouwasha.

Watu kama Halima wanalipwa kupunguza makali ya Lissu lakini pia baadhi ya viongozi wa kisiasa wameonekana wazi kukerwa na idadi kubwa ya wananchi wanaomsikiliza.

Akiendelea kupiga mawe hivi wabunge watapata wakati mgumu sana majimboni 2025, wananchi watakuwa wamejaa chuki.
Upo sahihi sn mkuu
 
Wenye akili tunamwelewa lisu
Yule dada muhuni na wenzie 18 hatuna muda wa kuwafuatilia
 
Jidanganyeni .

Mwenzenu si raia wa Tz na hata familia yake haipo Tanzania.

Lissu NI kibaraka wa mabeberu.
Mabeberu wanamtegemea Lisu, kwani ni kipi wanakikosa hadi sasa hapa nchini hadi wamtumie Lisu?

Hata Mimi ningepata nafasi ya kupeleka watoto wangu ulaya ningewapeleka hata Leo, mtabaki nyie mnaaona sifa kuitwa wanyonge huku viongozi wakisomesha watoto wao shule Bora.
 
Hatutaki mwanasiasa mwenye mvuto.
Tunataka mwanasiasa atakaeweza kuisukuma TANZANIA kimaendeleo.
Maendeleo yanaletwa na wananchi kwa kufanya Kazi, huku wakilipa kodi.
 
Lisu ni mharakati aliyobobea. Hilo apewe maua yake.

Walakin

Na kwa maoni yangu-Haitatokea hata siku moja, akawa Raisi wa Tanzania.

Itakuwa ni hatari kwa Usalama wa Muungano na Taifa letu.
Muungano wa matambiko ni WA kupigwa chini na watu wasioamini ushirikina.
 
nashkuru kwa kuelewa hilo kwamba maendeleo hayataletwa na lisu
Ni kweli,.ndio maana tunataka kiongozi mwenye mvuto kwa ajili ya hamasa kwa wananchi kuchapa kazi.
 
Wafuasi wake wengi ukiwapima afya ya akili zao zina mushkeli!
Nyani haoni kundule! Wenye afya ya akili mdororo ni ccm wanaogawa kanga na kofia kwa wapigakura maskini ambao nao akili zao zimeozeshwa na umaskini usiomithilika uliosababishwa na sera mbovu za ccm!
 
Kwa sasa hivi Tundu Lissu ndiye mwanasiasa mwenye mvuto Tanzania. Hoja zake zinajadiliwa na kila mtu na zimepelekea hata vyuo kutunga mitihani kuhusu Muungano na hali ya siasa nchi ni.

Mwanafunzi wengi wanaofanya mitihani ya majaribio wameona reflection ya hoja za Lisu kwenye masomo na maswali.

Vijiwe vyote vinamjadili Lissu na kufanya viongozi kuweweseka kuhusu moto anaouwasha.

Watu kama Halima wanalipwa kupunguza makali ya Lissu lakini pia baadhi ya viongozi wa kisiasa wameonekana wazi kukerwa na idadi kubwa ya wananchi wanaomsikiliza.

Akiendelea kupiga mawe hivi wabunge watapata wakati mgumu sana majimboni 2025, wananchi watakuwa wamejaa chuki.
Huyu TUNDU LISU mnayepigia debe na kumpamba sana humu,kiuhalisia alishapoteza sifa ya kuaminika muda mrefu sana.Ni kweli Lisu na washirika wake wamekuwa waibuaji wa madudu na maovu mengi ya utawala huu wa CCM, lakini alitushangaza na kutukatisha tamaa wengi wetu pale alipokinzana waziwazi na JPM alipoamua kuivunja mikataba iliyokuwa kero ya miaka mingi, matokeo yake Lisu aligeuka kuwa mtetezi wa hayo makampuni, kesi zilifunguliwa dhidi ya serikali na tulishuhudia ndege zetu zikishikiliwa huko nje ,hivyo alitufundisha wengi kuwa hatupaswi kumwamini mwanasiasa yeyote naye akiwemo.
 
Muungano wa matambiko ni WA
muungano.jpg
kupigwa chini na watu wasioamini ushirikina.
Kwa mtaji huo unadai yanayonekana kwenye picha👇🏿 ni matambiko ya ushirikina?
muungano.jpg

🤔 hatari aisee🤦🏾‍♂️
 
Haya ndio yalifanywa hadharani, nyuma ya pazia ulikuwa uchafu mtupu.
 
Back
Top Bottom