Tundu Lissu ndiye mwanasiasa anayeongoza kwa wafuasi Tanzania kwa sasa; ni msema kweli na anafanya mindset reform ya wananchi

Tundu Lissu ndiye mwanasiasa anayeongoza kwa wafuasi Tanzania kwa sasa; ni msema kweli na anafanya mindset reform ya wananchi

Kamati Kuu ya Chadema Tunaomba LISSU aongezewe nguvu na sisi Wazalendo huku ndani ndani Tutajitolea chochote tulicho nacho kwa hali na Mali

Mungu ibariki TANZANIA
 
Mabeberu wanamtegemea Lisu, kwani ni kipi wanakikosa hadi sasa hapa nchini hadi wamtumie Lisu?

Hata Mimi ningepata nafasi ya kupeleka watoto wangu ulaya ningewapeleka hata Leo, mtabaki nyie mnaaona sifa kuitwa wanyonge huku viongozi wakisomesha watoto wao shule Bora.

Elimu yetu yenyewe na gursa zenyewe kwa vijana hapa nchini ni za ubabaishaji, kama inawezekana kwa nini usiwapeleke mahali ambapo watapata elimu nzuri na fursa nzuri ya ajira.

Binafsi nimejitahidi, watoto wangu watatu, wote elimu ya chuo kikuu niliwapeleka nje. Na bahati nzuri wawili mara walipomaluza masomo yao, walipata ajira huko huko. Mmoja katika hao wawili, sahizi ameacha ajira, na kuanzisha kampuni yake binafsi, na kampuni yake inaendelea vizuri. Mmoja amerudi Tanzania na kupata ajira.

Wenye upeo mdogo wanaona mtu kusoma nje au kufanya kazi nje ni kukosa uzalendo. Nyerere alisoma UK. Rais wa Ghana, alisoma US, akaajiriwa huko, na leo analiongoza Taifa la Ghana vizuri.
 
Back
Top Bottom