Tundu Lissu nenda taratibu, tumia hekima na busara kumaliza tofauti zako na Freeman Mbowe. Vinginevyo mnaiua CHADEMA

Tanzania ya Samia imeifunika CHADEMA vibaya Sana. Urafiki wa Tundu Lissu na Mbowe hauta ifufua. Uchaguzi wa mwaka ujao utakuwa msema kweli
 
Nlikuwa naipenda CHADEMA from the heart
Shida kubwa wanafeli kuwa na leadership succession plan.
Kisingizio ooh bado tunamhitaji Mbowe ina maana siku huyo Mbowe akaunga juhudi itakuwa ndo mwisho wa CHADEMA?
Mm nlitegemea awe amewandaa akina Mbowe wengine wakuchukua mikoba yake mwisho wa siku huku down watu hawawezi kuwaelewa km Wana dhamiri Safi ya kushika dola.
Sitaki kuandika gazeti nyumbu watanipopoa na mawe kila kitu ndyo mwenyekiti nonsense!
 
Nilisema tangu mwanzo kuwa Chadema sio chama cha upinzani, ni geresha tu ili kuonekana Tz kuna upinzani. Mbowe ni kama Mrema tu!
 
CHADEMA HAWAPENDI KUSEMWA NGOJA WAJE WAKUTOLEE MATUSI HAPO UTAONA MWENYEWE SISI HATUKUSAIDIII
 
Good insights....

Asante kwa maoni na mtazamo wako mzuri...

Natumaini CHADEMA wameuchukua na wataufanyia kazi...
 
CHADEMA HAWAPENDI KUSEMWA NGOJA WAJE WAKUTOLEE MATUSI HAPO UTAONA MWENYEWE SISI HATUKUSAIDIII
Hapana..

Wanasikiliza, wanaelewa na wanafanyia kazi maoni ya watu...

Usihofu, toa maoni yako...
 
Tangu lini watu dizaini ya kina Lisu wakawa na hekima? Umewahi ona wapi?
I think Hekima na busara ya Tundu Lissu kwa kiwango hicho ilipo kwa sasa is far better than the entire CCM...

Ndani ya CCM (huko kwenu) na ndani ya viongozi wenu wote na wanachama na wapenzi wake ndiko kuliko na hekima ya kijinga na kipumbavu ya kiwango cha tope la mtoni...!!
 
Jibu swali,watu dizaini ya Lisu wamewahi kuwa na hekima wapi? Wanaefanana nae Gachagua katimuliwa,the likes ya Magufuli hao Huwa hawajui neno hakima
 
Kabisa mkuu, huko CDM tatizo ni Mbowe tu. Anatakiwa achague kuwa MOTO ili akinusuru chama au awe BARIDI ili akiue chama mara moja tupate mbadala wa upinzani wa kweli mwingine, hii hali yake ya sasa ya kuwa VUGUVUGU sio sawa.
 
Kuwa na mitazamo tofauti siyo kosa kwenye chama cha siasa. Siyo kikundi cha kwaya kile kwamba kila mtu lazima acheze sawa na mwenzie
Absolutely, YES..

Lakini kuna tofauti zinapaswa kumalizwa ndani ya kuta za pembe nne za ofisi zetu bila kumulikwa na camera za TVs..

Hawa CCM mnaowaona, wanatofautiana sana kiasi cha kuuana kwa sababu ya nafasi na madaraka...

Lakini nyongi ya tofauti zao huzimaliza huko ndani...

Ndiyo maana hayapendwi na wananchi lakini kwa kuwa yana maslahi binafsi kupitia chama chao, yanahakikisha yanaukumbatia uozo huo hivyo hivyo...
 
Sasa chama ambacho mwenyekiti ni wa kudumu, na fikira zake za wizi zitadumu.
 
Jibu swali,watu dizaini ya Lisu wamewahi kuwa na hekima wapi?
Ulilolisoma hapo juu ndilo jibu langu kwako...

Lakini kama unataka nirudie, basi narudia kusema kuwa👇🏻👇🏻

Upumbavu (the opposite of "hekima") wa Tundu Lissu is one million times better than hekima ya CCM yote ukiwemo wewe ChoiceVariable...!!

Kama unabisha nioneshe hekima yako kwanza kisha tulinganishe na upumbavu wa TL na mwisho utaona kuwa upumbavu wa TL uta exceed ujinga na upumbavu wako wa kiwango kikubwa sana ambao kwako ni "hekima" yako..!
 
Chadema ife mara ngapi? By the way Watanzania ni kama wamegoma kuisapoti imebakia wanaharakati tuu.

Kina Heche wako wapi? 😂😂 Tangu lini watu dizaini ya kina Lisu wakawa na hekima? Umewahi ona wapi?

Kila mtu apambane kivyake.
Chadema ingekuwa imekufa msingewaengua wagombea wao ili kipimo iwe sanduku la kura. CCM ndiyo imekufa imebakia kuwa genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola tu kuendelea kutawala.
 

Attachments

  • IMG-20200726-WA0000.jpg
    43.7 KB · Views: 4
  • Screenshot_2024-09-25-20-18-05-1.png
    589.7 KB · Views: 4
  • JamiiForums-979014263.jpeg
    63 KB · Views: 4
  • FB_IMG_1727624526218.jpg
    42.8 KB · Views: 5
  • FB_IMG_1727185842688.jpg
    37.8 KB · Views: 4
  • FB_IMG_1727158232732.jpg
    48 KB · Views: 3
  • FB_IMG_1727158226330.jpg
    48.9 KB · Views: 3
  • FB_IMG_1727145615769.jpg
    88.5 KB · Views: 4
Ili Chadema ipige hatua mbowe anatakiwa akae pembeni
 


Mbona tofauti ziko kwenye mitandao tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…