Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina mawasiliano naye. Nitumie ili nimwambie.Mwambie aende Mtwara akafanye kampeni
Nlikuwa naipenda CHADEMA from the heartTatizo la Chadema ni Mbowe,
Shida yenu tukianza kumsema humu kinazuka kile kikundi chake cha kikabila kumtetea...
Mbowe ni pro maslahi sana, hua namshauri Lissu atengeneze Chama kipya...
Najua kitachukua mda mrefu, lakini by 2030 kitakua tishio na tunaweza kuchukua nchi...
Kuendelea kuing'ang'ania Chadema, kuna siku watamshinda nguvu na kumzushia propaganda itakayochukua mda kuisafisha.
jamaa huwa akikosa mgao au akipunjwa anakuaga mkali sanaLisu akomae hapo hapo, jamaa wanamzunguka hao
CHADEMA HAWAPENDI KUSEMWA NGOJA WAJE WAKUTOLEE MATUSI HAPO UTAONA MWENYEWE SISI HATUKUSAIDIIIMimi The Palm Beach si mwanachama wa CHADEMA ila ni mpenzi na mfuasi wake na nakiunga mkono kwelikweli chama hiki...
Ni wazi kuwa Kuna mgogoro mkubwa kati ya Mwenyekiti Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti wake Tundu Lissu ndani ya CHADEMA
Nitasikitika na kuumia sana kama chama hiki cha siasa kilicho tegemeo pekee la Watanganyika nacho kitafuata njia ya CUF, TLP na NCCR - MAGEUZI kujidhoofisha na kisha kwenda kujifia zake huko.
Na naona wazi kabisa, kazi hii ya kukisambaratisha chama hiki inafanywa na viongozi wenyewe kwa kujua au kutojua.
Mpaka hatua hii, haina shaka kuwa iko shida ndani ya CHADEMA hususani kwa viongozi wakuu wa chama. Ili kukiokoa chama hiki na kuhifadhi moto wake uliowashwa kwa miaka takribani 30 sasa usizimike ni lazima ifanyike intervention ya haraka kuzuia hali hii isifikie point of no return.
Press Conference ya Tundu Lissu huko Singida leo imethibitisha shaka yangu hii.
Kila alichoki - address kule Singida mbele ya waandishi wa habari kuhusu uchaguzi wa serikali za vijiji na mitaa hakina shida, ni kizuri na ni kweli hali ndivyo ilivyo
Lakini mwishoni alipoulizwa swali na waandishi wa habari kama hiyo ni kauli ya chama ama la na yeye kujibu kuwa, kila alichokisema hapo ni cha yeye Tundu Lissu na sio kauli ya chama na kwamba baadaye ndio atapeleka hoja hizo ndani ya chama na kushinikiza ziwe ni kauli rasmi ya chama, nikawa shocked kidogo na kuliona tatizo hili ninalolisema hapa kwa uwazi kabisa...
Hii ya Singida ni mwendelezo wa tukio na kauli nyingine aliyoitoa kule Same - Kilimanjaro. Hii ya Same ilimshambulia Mwenyekiti wake Freeman Mbowe moja kwa moja bila kificho....
Kauli ya Tundu Lissu kule Same - Kilimanjaro aliitoa baada ya kusambaa kwa tuhuma kuwa, ule mkutano uliokuwa uhututubiwe na yeye huko Same, eti ulizuiliwa na Mwenyekiti wake Freeman Mbowe kwa kushirikiana na CCM kwa kutumia Polisi...
Ieleweke kuwa hoja hapa si kuzuiliwa kwa mkutano huo iwe ni kwa sababu hiy kweli au nyingine....
Tatizo ni namna Tundu Lissu alivyoshughulikia tuhuma hizo zilizomuhusisha Mwenyekiti wake...
Kauli yake kule Same Kilimanjaro ilikuwa hii, nanukuu;
"........Kama ni kweli, basi nyie ndiyo wenye chama, ndio wanachama wa chama hiki. mnapaswa kujiuliza Je, kila anayevaa makombati haya ni mwenzetu kwa kiasi gani kama anaweza kushirikiana na wabaya wetu kutuhujumu. Ila kama tuhuma hizi sio za kweli, basi mtanisamehe.."
Hii statement ni tata sana. Ni kama vile Makamu Mwenyekiti alishajiridhisha kuwa ni kweli Mwenyekiti wake ametenda hivyo na akaisema indirectly ili kupeleka ujumbe mahususi kwake...
Kwa kawaida, mimi nilifikiri kuwa, kabla ya kusema lolote, basi Makamu Mwenyekiti alipaswa kutumia hekima kidogo ya kuwasiliana na Mwenyekiti wake na kupata kauli yake juu ya tuhuma hizo zilizoelekezwa kwake. Na majibu ya Mwenyekiti ndiyo yalipaswa kuwa mwongozo wake kujibu hoja hiyo hadharani mbele ya umma...
Lakini kwa kauli yake hii, moja kwa moja inaonesha kuwa hakuwa amewasiliana na Mwenyekiti wake.
Na kama ni hivyo, napata shaka kuelewa kama hata Mwenyekiti na ofisi kuu ya chama (katibu mkuu na mtendaji mkuu wa chama) kama walikuwa wanajua kuwa Makamu Mwenyekiti wao atakuwa ziarani Same - Kilimanjaro siku hizo.
USHAURI:
CHADEMA kaeni chini, malizeni tofauti zenu amicably. Na kama kuna mambo yanayokwanza wengine, basi yashughulikiwe haraka ndani ya chama kwa taratibu za wazi za kichama....
Kuonesha tofauti zenu waziwazi huku nje ni hatari sana na wapinzani wenu wakuu CCM watatumia mwanya na udhaifu huu kuwamaliza kabisa na kusambaratika Moja kwa moja...
Hiki (Anguko la CHADEMA) ndicho CCM wanachokisubiri kukiona kikitokea Ili waweze kupumua....
Na hili la kuisambaratisha CHADEMA likitokea mikononi mwenu wewe Freeman Mbowe, Tundu Lissu, John Mnyika na Kamati kuu kwa ujumla fahamuni leo kuwa, mtalipa gharama kubwa sana Ili Watanganyika wawasamehe...!!!
CC: Erythrocyte
Good insights....Umenena vema Mkuu
CDM wanayumba kutokana na mambo kadhaa:
CDM wameshindwa kuhimili kishindo cha chnagmoto za Ukubwa wa Taasisi.
Taasisi inapokuwa kubwa sana huwa ni desturi kwa migongano na changamoto kubwa kuibuka kwa kasi. Njia ya kuhimili hili ni kujenga na kufanya maamuzi kwa kuzingatia kanunu, sheria na vikao halali. dosari hii imesababisha washindwe kutofautisha kati ya adui wa kiongozi na adui wa chama. Wamewapoteza makamanda wao muhimu ambao waliwalea na kuwakuza kwa jasho na damu kwa sababu nyepesi nyepesi tu. Yaani una Messi, Iniesta na Xavi alafu mwenyekiti wa club unwapoteza kirahisi tu bila kujari hatma ya club yako. Ukiwa club kubwa lazima uwe na uwezo wa ku handle ma stars. Ukiona wanaanza kukufunika usiwaondoe kubaliana na hali kwa maslahi ya club, cha msingi club ishamiri. Ukiona kiongozi anapenda kuzungukwa na mambumbumbu na kuwageuza watu wenye upeo mkubwa kuwa maadui, ujue Taasisi husika lazima ipoteze mweleko.
Leadership crisis;
Waanzilishi waliwaamini vijana, wakawajenga na kuwalea vema kwa ajili ya kukiongoza chama hicho. Baadaye wakaamua kwa ridhaa yao kukabidhi uongozi wa CDM kwa vijana hao. Lakini vijana hao ambao sasa ni wazee wameshindwa kurithisha weledi, uzoefu kwa kizazi kingine. Viongozi wana vikundi ndani ya chama kwa ajili kutetea uwepo wao ndani ya chama badala ya kuwaandaa vijana kwa ajili ya kukipambania chama. Miaka ya nyuma ilikuwa kawaida kwa vijana kupelekwa Europe kwa ajili ya mafunzo na kuwajengea uwezo, Myika, Zitto n.k ni mifano ya vijana waliolelewa na chama. Udhaifu wa uongozi umesababisha kutamalaki kwa sera ya zidumu fikra za kiongozi na yeyote atakayepishana na kiongozi anaoneka msaliti na hafai kwenye chama. Udhaifu huo umesababisha CDM ikose mipango na mikakati ya muda mrefu na muda mfupi. Kundi la wasomi lililoongozwa na kina Baregu limeyeyuka kwa sababu uongozi unajiona miungu watu, hauitaji fact zinazotokana na utafiti bali fikra na matamanio binafsi ya viongozi. Udhaifu huo umesababisha uongozi ufanye makosa makubwa kimaamuzi ambayo yamenyong'onyesha matumaini ya wafuasi hasa ambao siyo wanachama CDM lakini walikuwa na imani na kuiunga mkono CDM. Laiti kama wangekuwa na washauri na watafiti wazuri baadhi ya mitego ya kisiasa wangeiruka. Kwa sasa kila kiongozi ni speaker anasema chochoto na popote bila kupima athari za kisiasa za sasa na muda mrefu za matendo yao.
Maslahi binafsi;
viongozi wameanza kuweka mbele maslahi binafsi kama Mrema alivyokuwa anafanya NCCR. Kutokana na msukumo wa maslahi binafsi kuna kiongozi nadhani wa club ya simbaa aliwahi wakabidhi umoja wa wanawake na vijana wa club yake kwa mpinzania wake mkuu mwenyeki wa Tanzania Young Afrcn. Kadhalika akaingia kwenye negotiation ambayo hata mjinga alijua kuwa ulikuwa mtego ambao ulilenga kumweka ndege tunduni, ambapo hatma yake imepelekea yeye binafsi kuwa wakala wa timu pinzani.
Delegation of power kwa ngazi ya Mkoa, wilaya, kata na vijiji imefeli na hakuna mtu anayejisumbua.
Hauwezi kushinda vita kama hauna last mile warriors. lazima uwe na watu wenye mamlaka ya kufanya maamuzi haraka katika mazingira waliyopo (kata, vijiji, wilaya) badala ya kusubiri kamati kuu na baraza kuu.
CDM imeshindwa kuukamata mfumo
Badala ya kuukamata mfumo wao wanapambana na mfumo. hata pale mfumo unapotaka kujenga ukaribu nao wao wanaupiga mishare huku wakijua fikra kuwa siku ya mwisho hatma yao kimkakati itahitaji ushirikiano na mfumo. wana fursa ya kuukamata mfumo lakini hawaitumii. Maalimu Seif RIP alipopata fursa hii, aliitumia ipasavyo kule katika kisiwa cha karafuu Ukerewee naaliweza kupindue meza, sema ndio hivyo mambo mengine hayaelezeki.
Jambo ambao CDM wanapaswa kulijua na kulifanyia kazi kwa sasa; watu wengi ambao siyo wanachama wao wakiwemo baadhi ya the green team wanatamani wawe imara ili wawakabidhi jahazi. wimbi hilo halitokani na jitihada za viongozi wa CDM bali ni matokeo ya kuumizwa na kuwachoka the green team. endapo CDM wakiendelea kulegalega, ataibuka mtu kutoka the green team ataunda chama kimpya na wao watakuwa kama NCCR na TLP.
Hapana..CHADEMA HAWAPENDI KUSEMWA NGOJA WAJE WAKUTOLEE MATUSI HAPO UTAONA MWENYEWE SISI HATUKUSAIDIII
I think Hekima na busara ya Tundu Lissu kwa kiwango hicho ilipo kwa sasa is far better than the entire CCM...Tangu lini watu dizaini ya kina Lisu wakawa na hekima? Umewahi ona wapi?
Jibu swali,watu dizaini ya Lisu wamewahi kuwa na hekima wapi? Wanaefanana nae Gachagua katimuliwa,the likes ya Magufuli hao Huwa hawajui neno hakimaI think Hekima na busara ya Tundu Lissu kwa kiwango hicho ilipo kwa sasa is far better than the entire CCM...
Ndani ya CCM (huko kwenu) na ndani ya viongozi wenu wote na wanachama na wapenzi wake ndiko kuliko na hekima ya kijinga na kipumbavu ya kiwango cha tope la mtoni...!!
Kabisa mkuu, huko CDM tatizo ni Mbowe tu. Anatakiwa achague kuwa MOTO ili akinusuru chama au awe BARIDI ili akiue chama mara moja tupate mbadala wa upinzani wa kweli mwingine, hii hali yake ya sasa ya kuwa VUGUVUGU sio sawa...Lissu akomae humo humo.
..huyu bwana akisafiri, au akipumzika kidogo tu, Ccm wanajisahau kabisa.
..hata Samia alikuwa haonekani maana Lissu alikuwa hayupo nchini.
..hata haya mazonge ya kuenguana bila Lissu kuyapigia kelele, Ccm wangetia pamba kwenye masikio, na kuendelea na hujuma zao.
Absolutely, YES..Kuwa na mitazamo tofauti siyo kosa kwenye chama cha siasa. Siyo kikundi cha kwaya kile kwamba kila mtu lazima acheze sawa na mwenzie
Sasa chama ambacho mwenyekiti ni wa kudumu, na fikira zake za wizi zitadumu.Mimi The Palm Beach si mwanachama wa CHADEMA ila ni mpenzi na mfuasi wake na nakiunga mkono kwelikweli chama hiki...
Ni wazi kuwa Kuna mgogoro mkubwa kati ya Mwenyekiti Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti wake Tundu Lissu ndani ya CHADEMA
Nitasikitika na kuumia sana kama chama hiki cha siasa kilicho tegemeo pekee la Watanganyika nacho kitafuata njia ya CUF, TLP na NCCR - MAGEUZI kujidhoofisha na kisha kwenda kujifia zake huko.
Na naona wazi kabisa, kazi hii ya kukisambaratisha chama hiki inafanywa na viongozi wenyewe kwa kujua au kutojua.
Mpaka hatua hii, haina shaka kuwa iko shida ndani ya CHADEMA hususani kwa viongozi wakuu wa chama. Ili kukiokoa chama hiki na kuhifadhi moto wake uliowashwa kwa miaka takribani 30 sasa usizimike ni lazima ifanyike intervention ya haraka kuzuia hali hii isifikie point of no return.
Press Conference ya Tundu Lissu huko Singida leo imethibitisha shaka yangu hii.
Kila alichoki - address kule Singida mbele ya waandishi wa habari kuhusu uchaguzi wa serikali za vijiji na mitaa hakina shida, ni kizuri na ni kweli hali ndivyo ilivyo
Lakini mwishoni alipoulizwa swali na waandishi wa habari kama hiyo ni kauli ya chama ama la na yeye kujibu kuwa, kila alichokisema hapo ni cha yeye Tundu Lissu na sio kauli ya chama na kwamba baadaye ndio atapeleka hoja hizo ndani ya chama na kushinikiza ziwe ni kauli rasmi ya chama, nikawa shocked kidogo na kuliona tatizo hili ninalolisema hapa kwa uwazi kabisa...
Hii ya Singida ni mwendelezo wa tukio na kauli nyingine aliyoitoa kule Same - Kilimanjaro. Hii ya Same ilimshambulia Mwenyekiti wake Freeman Mbowe moja kwa moja bila kificho....
Kauli ya Tundu Lissu kule Same - Kilimanjaro aliitoa baada ya kusambaa kwa tuhuma kuwa, ule mkutano uliokuwa uhututubiwe na yeye huko Same, eti ulizuiliwa na Mwenyekiti wake Freeman Mbowe kwa kushirikiana na CCM kwa kutumia Polisi...
Ieleweke kuwa hoja hapa si kuzuiliwa kwa mkutano huo iwe ni kwa sababu hiy kweli au nyingine....
Tatizo ni namna Tundu Lissu alivyoshughulikia tuhuma hizo zilizomuhusisha Mwenyekiti wake...
Kauli yake kule Same Kilimanjaro ilikuwa hii, nanukuu;
"........Kama ni kweli, basi nyie ndiyo wenye chama, ndio wanachama wa chama hiki. mnapaswa kujiuliza Je, kila anayevaa makombati haya ni mwenzetu kwa kiasi gani kama anaweza kushirikiana na wabaya wetu kutuhujumu. Ila kama tuhuma hizi sio za kweli, basi mtanisamehe.."
Hii statement ni tata sana. Ni kama vile Makamu Mwenyekiti alishajiridhisha kuwa ni kweli Mwenyekiti wake ametenda hivyo na akaisema indirectly ili kupeleka ujumbe mahususi kwake...
Kwa kawaida, mimi nilifikiri kuwa, kabla ya kusema lolote, basi Makamu Mwenyekiti alipaswa kutumia hekima kidogo ya kuwasiliana na Mwenyekiti wake na kupata kauli yake juu ya tuhuma hizo zilizoelekezwa kwake. Na majibu ya Mwenyekiti ndiyo yalipaswa kuwa mwongozo wake kujibu hoja hiyo hadharani mbele ya umma...
Lakini kwa kauli yake hii, moja kwa moja inaonesha kuwa hakuwa amewasiliana na Mwenyekiti wake.
Na kama ni hivyo, napata shaka kuelewa kama hata Mwenyekiti na ofisi kuu ya chama (katibu mkuu na mtendaji mkuu wa chama) kama walikuwa wanajua kuwa Makamu Mwenyekiti wao atakuwa ziarani Same - Kilimanjaro siku hizo.
USHAURI:
CHADEMA kaeni chini, malizeni tofauti zenu amicably. Na kama kuna mambo yanayokwanza wengine, basi yashughulikiwe haraka ndani ya chama kwa taratibu za wazi za kichama....
Kuonesha tofauti zenu waziwazi huku nje ni hatari sana na wapinzani wenu wakuu CCM watatumia mwanya na udhaifu huu kuwamaliza kabisa na kusambaratika Moja kwa moja...
Hiki (Anguko la CHADEMA) ndicho CCM wanachokisubiri kukiona kikitokea Ili waweze kupumua....
Na hili la kuisambaratisha CHADEMA likitokea mikononi mwenu wewe Freeman Mbowe, Tundu Lissu, John Mnyika na Kamati kuu kwa ujumla fahamuni leo kuwa, mtalipa gharama kubwa sana Ili Watanganyika wawasamehe...!!!
CC: Erythrocyte
Ulilolisoma hapo juu ndilo jibu langu kwako...Jibu swali,watu dizaini ya Lisu wamewahi kuwa na hekima wapi?
Chadema ingekuwa imekufa msingewaengua wagombea wao ili kipimo iwe sanduku la kura. CCM ndiyo imekufa imebakia kuwa genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola tu kuendelea kutawala.Chadema ife mara ngapi? By the way Watanzania ni kama wamegoma kuisapoti imebakia wanaharakati tuu.
Kina Heche wako wapi? 😂😂 Tangu lini watu dizaini ya kina Lisu wakawa na hekima? Umewahi ona wapi?
Kila mtu apambane kivyake.
Shukrani kwa appreciation MkuuGood insights....
Asante kwa maoni na mtazamo wako mzuri...
Natumaini CHADEMA wameuchukua na wataufanyia kazi...
Leo ndo nimejua jina lako Aiylan wasalan unamaanisha Ahlan wa SahlanAcha kife ili tupate chama kipya na imara zaidi….
Mimi The Palm Beach si mwanachama wa CHADEMA ila ni mpenzi na mfuasi wake na nakiunga mkono kwelikweli chama hiki...