Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ni aina ya binadamu ambao ukiwa nao lazima ufuate anachotaka, usipotaka utasumbuka


Kwanini wamdhibiti wakati na wao ni wagombea tu yaani mgombea unaanza kumdhibiti mwenzako badala kutangaza sera zako kwetu wananchi ili tuweze kuwapima na kuamuwa nani atuongoze. Subirini muziki kampeni zikianza ndo mtafahamu kuwa watu wachoka huu udicteta
 
Huwa najiuliza kama zile risasi zisingemuweka benchi kwa miaka mitatu sijui ingekuwa vipi,maana alianza kula sahani moja na mkuu kabla hata hajaizoea Ikulu.

Sasa karudi juzi tu lakini tayari disco limejaa vumbi watu wanatafutana kwa miluzi,Lissu ni mtu na nusu.
 
Huku ni Afrika mkuu, maoni yako ni ya Ulaya walikostaarabika
 
Mungu ni mwema, ndiye mtu pekee kwa sasa asiye na hofu na Magufuli
 
Shida siyo Lisu,shida ni sheria zilizotungwa na wabunge wa "ndiyoooooooo",ndo zinazo waadabisha!,Siku zote Lisu ni mtu ambaye anazielewa sheria zinataka nini na pia ni msimamia sheria,Tatizo lisu anaonekana mchungu kwasababu anasema ukweli!,na ukisema ukweli kwa serikali inayoongozwa na chama cha mapinduzi ni kama umewachokoza!,Siku zote mtu anapofanya mambo mabaya akiambiwa ukweli lazima achukie!

Mfano:

Kwa mfano hapo mtaani kwenu kama kuna mtu me/ke ambaye unafahamu kabisa atakuwa anajihusisha na mambo ya kishirina na ukamchana makavu lazima akuchukie,na haitaishia kukuchukia lazima akushughulikie kisawa sawa na wachawi wenzie!,usipokuwa na Mungu basi jua lazima utaenda na maji



Bila shaka nimeeleweka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani ifike wakati kila kitu kiende kwa matakwa ya sheria waache wagombea wote wapambane kwa hoja wao Tume wasimamie sheria zisivunjwe. Mambo ya kudhibitiana yawekwe pembeni.
 
Umeongea point lkn umekosea beti ya mwisho lkn usijali najua akili imekuingia kura utampa lisu
 
Nadhani ifike wakati kila kitu kiende kwa matakwa ya sheria waache wagombea wote wapambane kwa hoja wao Tume wasimamie sheria zisivunjwe. Mambo ya kudhibitiana yawekwe pembeni.
Kwahiyo majaliwa, Nape na ndugai jee
 
Ulipoanza ni sawa, Tundu ni mtu ambaye ana asili ya udikteta..anapenda watu wafuate anachotaka au anachopenda yeye..

Ukitofautiana nae wewe unakuwa adui yake. Mfano ni zitto kabwe, dr. Silaa na wengineo.

Magufuli na mahakama si kama inafata anachotaka. Kumbuka huyu jamaa kila anachofanya, mawasiliano yake na kila kitu serikali inakijua.

Kwa sasa ameonekana hana madhara yoyote. Kumbuka kabla hajatandikwa risasi huyu jamaa alikuwa anafanya mawasiliano na makampuni makubwa na watu waliokuwa na migogoro na serikali ili serikali ishindwe na mwishowe apige hela.
Kumbuka mawasiliano yake ya siri na acacia wakati serikali imeibana Acacia. Alijaribu hadi kuitishia serikali kushitakiwa MIGA.

Lakini ikitokea anafanya mawasiliano yoyote ya kutishia amani ya nchi au usalama basi hutaona anamaliza round. Kwa sasa amebaki kulalama na kumlaumu magufuli akitumia ujinga wa baadhi ya watanzania aliowaacha kipindi kile. Ila kwa sasa wengi wameamka na vyombo vya habari vimemuonya kuwa vitatangaza sera sio matusi na kejeli za kwenye vilabu vya komoni au chibuku.
 
Moja haikaiii,mbili haisimamiiii,tatu hairukiiii tumsubri refa maana kuna mchezaji alijifanya staa sasa kavuta jezi ndani ya 18 refa kafunika
 
Hapa umelitumia vibaya neno dikteta mkuu.
 
anatafuta attention ya kijinga anaishia kupigwa mawe, nashangaa kwann hakuna ata jiwe moja lilimpata kule kilimanjaro! ila mda bado tunao wakati wa kampeni kurusha mawe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…