Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ni aina ya binadamu ambao ukiwa nao lazima ufuate anachotaka, usipotaka utasumbuka

Mi nangoja kampeni kwa maana mpaka sasa hivi nje ya ku attack kwa njia ya kukukasirisha ambayo ni moja ya mbinu mpizani wako mahakamni sio jipya.
Ukimya Jpm utam contain Lisu
Akitaka abugi jpm aje kwenye style za Lisu asubh tu anaoshwa

Hii ndio mbinu kama za soka tu kama timu pinzani inamiliki mpira zaidi kwa mfumo wa wachezaji wao cheza butua piga moja halafu mbio kuelelea kwao pasi moja ya pili piga beswla. Ujerumani style.

Lisu ni mwerevu anajua niki mu attack ata attack pia nammaliza.
Sasa ukimya wa jpm na ccm hautawaacha salama.
Ni kama draft tu ukiona unapewa kete kula ujue unaenda kuuawa.

Nijualo atakuwa na kesi za uchaguzi by Novemba nyingi lkn pia yeye za uchochezi na kuendelea na fani yake ya kuwa mahakamani.

Ni mtazamo tu msirushe ngumi
 
anatafuta attention ya kijinga anaishia kupigwa mawe, nashangaa kwann hakuna ata jiwe moja lilimpata kule kilimanjaro! ila mda bado tunao wakati wa kampeni kurusha mawe
Ndiyo tabia zenu mafisi mkiishiwa hoja
Tulien mpigwe miti halafu hadi jogoo atawapiga miti mwaka Huu mtanyooka tuu
 
sasa umpanikishe nan, uyo tutamamalizia sisi wenyewe wananchi, ngja si atakuja kufanya kampeni tutamuonyesha: ya juzi si aliponea halikumpata safari hii hatufanyi makosa tena
Naona munanitokeza mmoja mmoja wale muliompiga risasi dodoma
 
S
Atamaliza kopo zima Kisha atajipiga local anaesthesia, maumivu ya Tundu Lissu ni makali aisee
Subiri Tundu atakaa chini muda sio mrefu vile vyuma vinatakiwa girisi kila wiki sijui itakuwaje maana girisi aliyokuja nayo imeanza kwisha sabau ya kuzunguka sana bila mpangilio. Amezunguka nchi nzima anatafuta saini wenzake wote wamekaa nyumbani alafu mnasema mtu hutu ana akili sana badala ya kusema ni mpumbavu sana
 
Aisee hivi mpo serious bado mnataka kumpopoa? Siasa ni hoja mbona kuna adhina ya watu CCM. Mkijibu maneno kwa bunduki ni uendawazimu na ukosefu wa uvumilivu.

dogo anazingua tushasema hatumtaki, sasa inabidi tutumie mawe kwenye kampeni ya juzi tulimkosa
 
Nimesoma huku machozi yakinilenga lenga.

Go go go lissu2020!
 
Wewe jinga, kumdhibiti Lisu ndiyo kumfanyaje!!? Magufuli na CCM ndio wanatakiwa kudhibitiwa tena kwa mapigo ya dhoruba. Maana wamezidi uhuni. Hakuna siasa ya kistaarabu Magufuli na CCM wanajua isipokuwa kuteka,kujeruhi na kupotezwa watu
Yaani Ni uhuni mtupu. Ilipofikia CCM yaMagufuli inatakiwa itokomezwe na kufutiliwa mbali kabla haijatuletea Watanzania madhara makubwa.
 
Kumbe nia yenu ni kumdhibiti siyo kupambana nae kwa hoja ?
 
Hahaha kumbe ukubwa wa sindano una matter, ccm kwa sasa wanasikia maumivu.

Huwa wanajidai hawasikii ila naona wako mguu sawa kwa sasa, tulii, Lisu sio mchezo.
Me hata waseme Magu kesho asepe nitaenda hadi kutambika,udikteta tu
 
Namuona Lissu kama mtu aliyeamua kuonesha kama hizi sheria au taratibu za tume ni kwa kila mtu au chama au ni kwa baadhi ya watu!!

Hapa ndio uhuru wa Tume utaonekana. Je Tume itafuata taratibu ilizoziweka yenyewe. Itamuita Rais ambaye ndio mteuzi wa nafasi zao?? Isipofuata itaonekana wazi hakuna level playing field. Hakuna haki. Kuna upendeleo. Lissu kaamua kushindwa but “leaving with a bang”!! Atarekebisha au ataathiri siasa za nchi kutoka sasa kwenda mbele!! Mgombea wa uRais CCM hakuwahi kupimwa kiasi hiki.

Tarehe 27/09 ni siku ngumu sana kwa taasisi na watu wanaoshighulika na uchaguzi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…