babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Nimemsikiliza Tundu Lissu kwa makini sana!
Nina sympathize naye kwa masaibu aliyopata lakini kwenye hili jambo kakurupuka sana!
Huwezi shinda vita yoyote ya maana bila mkakati wa maana!
(The Art of War by Sun Zu)!
Tundu Lissu angejipa muda kwanza na angefuatilia hiyo case ya Uingereza huku akikusanya ushahidi taratibu.
Angesubiri aone pia kama Judgement ingekuwa in favor ya huyo Whistle Blower wake Michael Clifford then angekuwa kwenye position nzuri ya kufanya well informed decision!
Kaonyesha weakness kubwa sana, sema tu watu wengi ni mediocres wanamsifia tu bila reasoning ya maana!
Sana sana nimemsikia akibeza Mahakama zetu za Profesa Juma.
Soma Pia:
Ameonyesha tamaa ya kulipwa mapesa mengi na Tigo!! Amedhihirisha pia siyo mzalendo na kumbe ni kweli Hayati Magufuli alikuwa sahihi kwamba anashirikuana na maadui zetu kukamata Ndege zetu.
- Tundu Lissu kuiburuza Tigo mahakamani
- Kupigwa risasi kwa Tundu Lissu: Kampuni ya simu ya Tigo yadaiwa ilivujisha mawasiliano yake kwa mamlaka
- Tundu Lissu: Aliyeongoza Kikosi cha wauaji walioagizwa kuniua ni Paul Makonda, ndio maana Marekani ilimzuia
Tundu Lissu ni mkurupukaji sana! Utulivu zero kabisa.
Tatizo haya mashetani yanapenda kuishi tu yenyewe lakini kuua kwao ni sawa ila wao hata kuwatumu tu ni kosa.Hamna hoja ya maana,kunusurika Kifo namna hii sio uzombi kazungumzia, hata yeye muache ateme nyongo.
Ndio maana mtu akifiwa akilia muache alie mpaka achoke.ipo kisayansi
Dah haya mambo yanafikirisha ila ni vyema tukaomba mwisho mwema.Nimemsikiliza Tundu Lissu kwa makini sana!
Nina sympathize naye kwa masaibu aliyopata lakini kwenye hili jambo kakurupuka sana!
Huwezi shinda vita yoyote ya maana bila mkakati wa maana!
(The Art of War by Sun Zu)!
Tundu Lissu angejipa muda kwanza na angefuatilia hiyo case ya Uingereza huku akikusanya ushahidi taratibu.
Angesubiri aone pia kama Judgement ingekuwa in favor ya huyo Whistle Blower wake Michael Clifford then angekuwa kwenye position nzuri ya kufanya well informed decision!
Kaonyesha weakness kubwa sana, sema tu watu wengi ni mediocres wanamsifia tu bila reasoning ya maana!
Sana sana nimemsikia akibeza Mahakama zetu za Profesa Juma.
Soma Pia:
Ameonyesha tamaa ya kulipwa mapesa mengi na Tigo!! Amedhihirisha pia siyo mzalendo na kumbe ni kweli Hayati Magufuli alikuwa sahihi kwamba anashirikuana na maadui zetu kukamata Ndege zetu.
- Tundu Lissu kuiburuza Tigo mahakamani
- Kupigwa risasi kwa Tundu Lissu: Kampuni ya simu ya Tigo yadaiwa ilivujisha mawasiliano yake kwa mamlaka
- Tundu Lissu: Aliyeongoza Kikosi cha wauaji walioagizwa kuniua ni Paul Makonda, ndio maana Marekani ilimzuia
Tundu Lissu ni mkurupukaji sana! Utulivu zero kabisa.
Mpaka tunaingia mitamboni hakuna wakili anayemshinda Lissu na Kibatala ktk kucheza na loopholes za kisheria. Wewe hatujaona ukishinda kesi hata moja tutaaminije! Taja kesi zako tuzifuate mtandaoni tuone reasoning yako.Kesi bado inaendelea, hakuna judgement imetoka! Mimi ni Legal Brain najua ninachoongea!
Wewe clever na intelligent tena mtulivu usokuwa na papara mbona hatuoni umeifanyia nini nchi?Nimemsikiliza Tundu Lissu kwa makini sana!
Nina sympathize naye kwa masaibu aliyopata lakini kwenye hili jambo kakurupuka sana!
Huwezi shinda vita yoyote ya maana bila mkakati wa maana!
(The Art of War by Sun Zu)!
Tundu Lissu angejipa muda kwanza na angefuatilia hiyo case ya Uingereza huku akikusanya ushahidi taratibu.
Angesubiri aone pia kama Judgement ingekuwa in favor ya huyo Whistle Blower wake Michael Clifford then angekuwa kwenye position nzuri ya kufanya well informed decision!
Kaonyesha weakness kubwa sana, sema tu watu wengi ni mediocres wanamsifia tu bila reasoning ya maana!
Sana sana nimemsikia akibeza Mahakama zetu za Profesa Juma.
Soma Pia:
Ameonyesha tamaa ya kulipwa mapesa mengi na Tigo!! Amedhihirisha pia siyo mzalendo na kumbe ni kweli Hayati Magufuli alikuwa sahihi kwamba anashirikuana na maadui zetu kukamata Ndege zetu.
- Tundu Lissu kuiburuza Tigo mahakamani
- Kupigwa risasi kwa Tundu Lissu: Kampuni ya simu ya Tigo yadaiwa ilivujisha mawasiliano yake kwa mamlaka
- Tundu Lissu: Aliyeongoza Kikosi cha wauaji walioagizwa kuniua ni Paul Makonda, ndio maana Marekani ilimzuia
Tundu Lissu ni mkurupukaji sana! Utulivu zero kabisa.
Wewe ambae ni mtulivu na hauna papara umelifanyia Nini 😇 taifa.Nimemsikiliza Tundu Lissu kwa makini sana!

Akikujibu ni TAG.Wewe clever na intelligent tena mtulivu usokuwa na papara mbona hatuoni umeifanyia nini nchi?
Wewe ndo unakurupuka hujui lolote.Tundu Lissu angejipa muda kwanza na angefuatilia hiyo case ya Uingereza huku akikusanya ushahidi taratibu.
Haijalishi, wewe kama umetoa info za mtu illegally akaishia kuumizwa lazima uwe liable , na utaratibu upo tunajua so acha kucheza na intelligence zetu, mkeka wote utawekwa mezani na your boy mtekaji AKA muuaji will be proven guilty beyond reasonable doubt, hata zile cctv zitaombwa ingawaje tunajua mlishazika chooni, mtaulizwa jukumu la ulinzi na matibabu ni la nani na kwa nini hamjamlipa pesa zake za matibabu mpaka leo, ni maswali ya kijinga utaona lakini ita prove nia yenu ovu ya hovyo na jinsi mlivyo wanyama, itakuwa embarrassment ya karne na mtaonekana msivyo na akiliKampuni ya simu haiwezi kumdukua mtu hizo info zipo kwenye data base zao (kote duniani).
Serikali ikitaka hizo info uwezi zuia, kuna rules of engagement na sheria za nchi usika ambazo lazima wawe adhered too.
Msingi wa lawama zenu kwa TiGO is because Lissu told you so. Halikadhalika hakuna kampuni ya simu itatoa info za mteja wake bila ya shinikizo la serikali using specific laws.
Lissu angekuwa mteja wa Voda, Airtel, Halotel, TTCL or any other suppliers; serikali ingewafuata na ku-demand info ya track zake in the name of national security hakuna wakukataa given the law.
Lissu was too emotional kwenye speech yake, but not realistic.
Jamaa kajiona yuko smart sana 😀Tatizo wewe ndiye diyo intelligent halafu unawaona wenzako kuwa mediocre wakati in reality ni kinyume chake.
Makonda ndio mwenye credibilityLissu hana credibility kivile.
Wakati mwingine huwa anadanganya.
Kwenye hayo maelezo alisema anataka kulipwa sh? Halafu mbona una hasira nini kinakuuma akipoteza, naona umepanic isivyo kawaida nini tatizo??Ameonyesha tamaa ya kulipwa mapesa mengi na Tigo
Nah.Makonda ndio mwenye credibility