Tundu Lissu ni clever but not Intelligent person. Ni Kiongozi mwenye papara sana na hana utulivu kabisa

Tundu Lissu ni clever but not Intelligent person. Ni Kiongozi mwenye papara sana na hana utulivu kabisa

Sema ni mshamba sana mwenye akili ya darasani,
Miaka yote aliyokaa mjini lafudhi yake ni kama wale wanyaturu wauza mayai ya kienyeji huko singida vijijini
 
Bahati mbaya humjui vizuri lissu! Hushindi nae, huli nae, utembee nae, kwa hiyo usiseme kakarupuka! Anajua Kila kitu anachokifanya na kama ungekuwa na ufahamu mzuri ungejiuliza kwanini Sasa? Usimshambulie kwa maneno mtu aliyekuzidi maarifa (lissu)
 
Kitendo alichofanyiwa Tundu Lisu hakikubaliki lakini pia hakiharalishi mtu mwingine kufanyiwa ubaya kwakuwa ubaya ni ubaya.

Siyo ajabu kwa Lisu kutoa kauli nzito kwasababu hata ningekua mimi nadhani ningekuwa na hasira zaidi yake na mawazo ya kisasi hatahivyo sisi hatupaswi kufanya kama ambavyo Lisu anafanya na kwa lile tukio anatakiwa apewe kinga ya anasho sema au kupambana dhidi ya watuhumiwa anaodhani walitaka kumuua.

Tatizo ni kuweka wazi mipango yake ambayo kila mpenda haki anatamani kuwafahamu hawa jamaa wanaotutesa.
Hoja kwamba tutakamata ndege au kufanya jitihada nchi isipate nafasi ya kufanya maendeleo ili kuwasaidia wananchi wenye mahitaji mbalimbali hii naiona kama haijakaa vizuri maana hawa walalahoi hawahusiki kwa lolote na mbaya zaidi viongozi wote akiwemo yeye wataendelea kuishi vizuri mfano wa nchi zilizonyimwa misaada kama vile Zimbabwe nk mzigo ulihamia kwa walala hoi.
Chakufanya ni kuendeleza Siasa iliyo bora ili tuongeze watu wa kupiga kura na tufanye uchaguzi ulio huru.

Kosa kubwa lililofanywa na Ukawa lisirudiwe maana ile katiba waliyoisusiwa ilikuwa ni hatua moja kubwa ambayo ilipigwa na yaliyobakia yalikuwa yanaweza kufanyiwa marekebisho na kufikia ile Katiba ya Warioba.
 
Nimemsikiliza Tundu Lissu kwa makini sana!

Nina sympathize naye kwa masaibu aliyopata lakini kwenye hili jambo kakurupuka sana!

Huwezi shinda vita yoyote ya maana bila mkakati wa maana!
(The Art of War by Sun Zu)!

Tundu Lissu angejipa muda kwanza na angefuatilia hiyo case ya Uingereza huku akikusanya ushahidi taratibu.

Angesubiri aone pia kama Judgement ingekuwa in favor ya huyo Whistle Blower wake Michael Clifford then angekuwa kwenye position nzuri ya kufanya well informed decision!

Kaonyesha weakness kubwa sana, sema tu watu wengi ni mediocres wanamsifia tu bila reasoning ya maana!

Sana sana nimemsikia akibeza Mahakama zetu za Profesa Juma.

Soma Pia:
Ameonyesha tamaa ya kulipwa mapesa mengi na Tigo!! Amedhihirisha pia siyo mzalendo na kumbe ni kweli Hayati Magufuli alikuwa sahihi kwamba anashirikuana na maadui zetu kukamata Ndege zetu.

Tundu Lissu ni mkurupukaji sana! Utulivu zero kabisa.

Hayo ni mawazo yako Lissu ni special talent na anafikiria mara kumi zaidi yako. Wewe endelea kuandika pumba inaelekea haumjui Lissu vizuri
 
Mleta mada huna cha kumshauri Lissu.
Wewe nenda Lumumba kaombe hata kazi ya kusimamia wapiga kura.
Kuna wangese wengine wanasema Lissu mbona anaeudiarudia sana issue ya kupigwa kwake risasi.

Hawajui kadhia aliyopata na anayopata hadi kufa kwake.

Mwili wa Lissu umejaa vyuma hata kumla mkewe anamla kwa taiming halafu mbuzi wanaona ni jambo dogo.

Mwacheni aongee tena kwa herufi kubwa.
 
Hamna hoja ya maana,kunusurika Kifo namna hii sio uzombi kazungumzia, hata yeye muache ateme nyongo.

Ndio maana mtu akifiwa akilia muache alie mpaka achoke.ipo kisayansi
Tatizo haya mashetani yanapenda kuishi tu yenyewe lakini kuua kwao ni sawa ila wao hata kuwatumu tu ni kosa.

Yaani serikali ya CCM imejaa waovu kuliko shetani mwenyewe.
Wezi na majambazi siku zote hawana huruma wanapokuwa kwenye hatari ya kukamatwa au hata kupigiwa kelele ya Mwizi .

Lisu alewashika pabaya sana maana Dunia ni mali ya Mungu na sio Samia wala Magufuli wala Waarabu wala wazungu . Kila jambo likifika wakati wa Mungu hakuna mtu au kiumbe chochote kiwe ni shetani aliyejificha ndani ya Madaraka au nje ya madaraka .
Wazee wetu wa zamani katika Maandiko yao matakatifu walisema ' Hakuna marefu yasiyo na ncha'

Tundu Lisu, the Coming Bilionear and the 7th president of Tanzania .
 
Nimemsikiliza Tundu Lissu kwa makini sana!

Nina sympathize naye kwa masaibu aliyopata lakini kwenye hili jambo kakurupuka sana!

Huwezi shinda vita yoyote ya maana bila mkakati wa maana!
(The Art of War by Sun Zu)!

Tundu Lissu angejipa muda kwanza na angefuatilia hiyo case ya Uingereza huku akikusanya ushahidi taratibu.

Angesubiri aone pia kama Judgement ingekuwa in favor ya huyo Whistle Blower wake Michael Clifford then angekuwa kwenye position nzuri ya kufanya well informed decision!

Kaonyesha weakness kubwa sana, sema tu watu wengi ni mediocres wanamsifia tu bila reasoning ya maana!

Sana sana nimemsikia akibeza Mahakama zetu za Profesa Juma.

Soma Pia:
Ameonyesha tamaa ya kulipwa mapesa mengi na Tigo!! Amedhihirisha pia siyo mzalendo na kumbe ni kweli Hayati Magufuli alikuwa sahihi kwamba anashirikuana na maadui zetu kukamata Ndege zetu.

Tundu Lissu ni mkurupukaji sana! Utulivu zero kabisa.
Dah haya mambo yanafikirisha ila ni vyema tukaomba mwisho mwema.
 
Kesi bado inaendelea, hakuna judgement imetoka! Mimi ni Legal Brain najua ninachoongea!
Mpaka tunaingia mitamboni hakuna wakili anayemshinda Lissu na Kibatala ktk kucheza na loopholes za kisheria. Wewe hatujaona ukishinda kesi hata moja tutaaminije! Taja kesi zako tuzifuate mtandaoni tuone reasoning yako.
 
Nimemsikiliza Tundu Lissu kwa makini sana!

Nina sympathize naye kwa masaibu aliyopata lakini kwenye hili jambo kakurupuka sana!

Huwezi shinda vita yoyote ya maana bila mkakati wa maana!
(The Art of War by Sun Zu)!

Tundu Lissu angejipa muda kwanza na angefuatilia hiyo case ya Uingereza huku akikusanya ushahidi taratibu.

Angesubiri aone pia kama Judgement ingekuwa in favor ya huyo Whistle Blower wake Michael Clifford then angekuwa kwenye position nzuri ya kufanya well informed decision!

Kaonyesha weakness kubwa sana, sema tu watu wengi ni mediocres wanamsifia tu bila reasoning ya maana!

Sana sana nimemsikia akibeza Mahakama zetu za Profesa Juma.

Soma Pia:
Ameonyesha tamaa ya kulipwa mapesa mengi na Tigo!! Amedhihirisha pia siyo mzalendo na kumbe ni kweli Hayati Magufuli alikuwa sahihi kwamba anashirikuana na maadui zetu kukamata Ndege zetu.

Tundu Lissu ni mkurupukaji sana! Utulivu zero kabisa.
Wewe clever na intelligent tena mtulivu usokuwa na papara mbona hatuoni umeifanyia nini nchi?
 
Teknolojia katika field ya afya ni msingi katika muktadha wa afya ya kiumbe chochote kilicho hai hasa binadamu tutakaye mzungumzia zaidi.

HIV ni janga duniani lakini inapaswa tufahamu teknolojia ndio itayoleta mwanga wa kupambana na hiki kirusi, lakini kuna baadhi ya wanyama kirusi hakiwezi kuwaletea athari yoyote kutokana kinakuwa specific katika specific cell, kwa maana HIV anakuwa targeted, anatumia CCR5 receptor na CD4 receptor kwenda kuattack kinga za mwili, ili akaji multiply.

Now solution ni kumdhibiti afeli kutumia udhaifu wa CCR5 na CD4 receptor kama njia ya kushambulia kinga za mwili, eidha tubalishe shepu na muundo wa hizi receptor aweze kufeli kupita, na kama tunavyo fahamu genetic code inafanana kwa viumbe vyote, hapa tunasolution ya kutumia elimu ya biotechnology hasa katika field ya gene cloning.

Lakini itabidi tutafuta species ambaye hawezi kuwa infected with HIV,lakin kuna wanyama kama ng'ombe hawezi kuwa infected ,kwahiyo technically tutafanya gene extraction specifically kwa ile inayohusika na expression ya receptors za CCR5 na CD4,baada ya hapo itabidi tufanye gene cloning, baada ya hapo ,itabidi tucheze na genome ya binadamu,tufanye gene deletion tufute ile inayofanya expression ya receptor za CCR5 na CD4, then tuinsert gene tuliyo extract kwa ng'ombe kwenye DNA sequence ya binadamu,surely dunia lazima ishinde,tunaamini kile kinachaofanya huyu virus afeli kuleta infection kwa ng'ombe ni shepu na muundo wa receptor za CCR5 na CD4 kuwa tofauti kabisa na zile za binadamu kwa hiyo anakuwa hana uwezo wa kuweza kujibind kwenye hizo receptors
 
Nimemsikiliza Tundu Lissu kwa makini sana!

Nina sympathize naye kwa masaibu aliyopata lakini kwenye hili jambo kakurupuka sana!

Huwezi shinda vita yoyote ya maana bila mkakati wa maana!
(The Art of War by Sun Zu)!

Tundu Lissu angejipa muda kwanza na angefuatilia hiyo case ya Uingereza huku akikusanya ushahidi taratibu.

Angesubiri aone pia kama Judgement ingekuwa in favor ya huyo Whistle Blower wake Michael Clifford then angekuwa kwenye position nzuri ya kufanya well informed decision!

Kaonyesha weakness kubwa sana, sema tu watu wengi ni mediocres wanamsifia tu bila reasoning ya maana!

Sana sana nimemsikia akibeza Mahakama zetu za Profesa Juma.

Soma Pia:
Ameonyesha tamaa ya kulipwa mapesa mengi na Tigo!! Amedhihirisha pia siyo mzalendo na kumbe ni kweli Hayati Magufuli alikuwa sahihi kwamba anashirikuana na maadui zetu kukamata Ndege zetu.

Tundu Lissu ni mkurupukaji sana! Utulivu zero kabisa.
Wewe ambae ni mtulivu na hauna papara umelifanyia Nini 😇 taifa.

Mpaka umetuwekea nukuu za kitabu Cha ART OF WAR

Nauliza TU kwa Nia nzurii nieleweke ivo
 
Kampuni ya simu haiwezi kumdukua mtu hizo info zipo kwenye data base zao (kote duniani).

Serikali ikitaka hizo info uwezi zuia, kuna rules of engagement na sheria za nchi usika ambazo lazima wawe adhered too.

Msingi wa lawama zenu kwa TiGO is because Lissu told you so. Halikadhalika hakuna kampuni ya simu itatoa info za mteja wake bila ya shinikizo la serikali using specific laws.

Lissu angekuwa mteja wa Voda, Airtel, Halotel, TTCL or any other suppliers; serikali ingewafuata na ku-demand info ya track zake in the name of national security hakuna wakukataa given the law.

Lissu was too emotional kwenye speech yake, but not realistic.
Haijalishi, wewe kama umetoa info za mtu illegally akaishia kuumizwa lazima uwe liable , na utaratibu upo tunajua so acha kucheza na intelligence zetu, mkeka wote utawekwa mezani na your boy mtekaji AKA muuaji will be proven guilty beyond reasonable doubt, hata zile cctv zitaombwa ingawaje tunajua mlishazika chooni, mtaulizwa jukumu la ulinzi na matibabu ni la nani na kwa nini hamjamlipa pesa zake za matibabu mpaka leo, ni maswali ya kijinga utaona lakini ita prove nia yenu ovu ya hovyo na jinsi mlivyo wanyama, itakuwa embarrassment ya karne na mtaonekana msivyo na akili
 
Lissu hana credibility kivile.

Wakati mwingine huwa anadanganya.
 
Back
Top Bottom