Nimemsikiliza Tundu Lissu kwa makini sana!
Nina sympathize naye kwa masaibu aliyopata lakini kwenye hili jambo kakurupuka sana!
Huwezi shinda vita yoyote ya maana bila mkakati wa maana!
(The Art of War by Sun Zu)!
Tundu Lissu angejipa muda kwanza na angefuatilia hiyo case ya Uingereza huku akikusanya ushahidi taratibu.
Angesubiri aone pia kama Judgement ingekuwa in favor ya huyo Whistle Blower wake Michael Clifford then angekuwa kwenye position nzuri ya kufanya well informed decision!
Kaonyesha weakness kubwa sana, sema tu watu wengi ni mediocres wanamsifia tu bila reasoning ya maana!
Sana sana nimemsikia akibeza Mahakama zetu za Profesa Juma.
Soma Pia:
Ameonyesha tamaa ya kulipwa mapesa mengi na Tigo!! Amedhihirisha pia siyo mzalendo na kumbe ni kweli Hayati Magufuli alikuwa sahihi kwamba anashirikuana na maadui zetu kukamata Ndege zetu.
Tundu Lissu ni mkurupukaji sana! Utulivu zero kabisa.