Tundu Lissu ni clever but not Intelligent person. Ni Kiongozi mwenye papara sana na hana utulivu kabisa

👍👌🤝🙏
 
Kusemasema tu namna hiyo kwenye media tayari kwako kakurupuka na hana utulivu!

Point yako hapo kuonesha ukurupukaji wake iko wapi?
Jenga hoja yenye mantiki ili uweze kwenda na sisi.
 
Tusisahau zile chicken za ngambo zinajali sana maslahi ya uchumi ya kampuni zao na ushahidi unaweza potezwa.Lakini kwa maslahi ya kisiasa na propaganda ni kama amepakua supu bado ya moto ukifuatia hoja ya maandano yaliyozuiwa Jumatatu.
Wewe umeongea jambo kwa mizani nzuri.
Jamaa wa unyamwezini ng'ambo hawawezi kukubali kampuni yao kubwa MIC ipoteze pesa nyingi kirahisi hivyo.
Acha Lissu atumie fursa hii kisiasa atapata kitu flani kisiasa.
 
Nilikuwa najaribu kukutafutia series za documentary kuhusu ‘NSA’ kuvunja US 4th amendment.

Halafu uone kilichowapata wale waliokuwa wanajifanya wanaijua sana katiba ya US kuliko senior civil servant wa vyombo vya usalama. Kwa sasa nimechoka kutafuta Iła nitakuletea uone kulichowapata whistle blower, way before Snowden.

Seuse, Lissu; acheni kumjaza upepo mtu ambae ni msaliti wa taifa openly.
 
Kusemasema tu namna hiyo kwenye media tayari kwako kakurupuka na hana utulivu!

Point yako hapo kuonesha ukurupukaji wake iko wapi?
Jenga hoja yenye mantiki ili uweze kwenda na sisi.
Hoja yangu ni kwamba ,jambo bado lipo kwenye very early stage mno! Hakukuwa na sababu ya kuita Press badala yake angejipa muda wa kufuatilia suala Hilo kwa makini na utulivu bila kuwapa maadui zake nafasi ya kusoma mawazo yake!
Sasa hapo maadui zake washajua mawazo yake yote ( end game) na ni rahisi sana wao ku- interfere na kum fix Lissu!
Kwenye vita Kuna battle tactics ( concealment and camouflage), ili ushinde ubweki bweki hovyo kama mbwa mwenye kichaa,!
Wengi hapa sababu ya upeo mdogo wanadhani nina chuki na Mhe.Tundu Lissu!
Mimi shida yangu ni ukurupukaji na uropokaji wake tu!
Si mtu wa kujipa muda kutafakari mambo na kuchukua hatua makini!
Tundu Lissu ni attention Seeker tu!
 
Rubbish

Rubbish...sasa matokeo ya kesi yanahusika vipi na the fact Tigo walivujisha data zake kwa serikali? Kesi ya Lissu haihusiani na kwamba Clifford alikuwa terminated fairly or not....wewe ndiyo umekurupuka
Wewe hujaelewa hoja yangu!
Mimi sipangani na facts bali approach ya Mhe.Tundu Lissu katika jambo hili!
Bado liko kwenye very early stage mno ! Hakuwa na sababu ya kuita Press kwa sasa bali angekuwa mtu makini angejipa muda kwanza kufuatilia hiyo case ili kuweza kupata data za kutosha za kumwezesha ktk case yake endapo ataamua kumfungulia yeyote yule!
Sasa hapa Tundu Lissu anakurupuka mithili ya Mwajuma kandambili wa uswazi!
 
Uzalendo ndiyo upumbavu gani baada ya ku-survive sixteen bullets zilizoingia mwilini mwake, kwa kuwa yeye ni mwanasheria anaelewa exactly faida na hasara ya kila njia atakayotumia kwenye hili sakata.
Hawezi kumtaja Bashite bila ya kuwa na ushahid anaouamini kama Bashite ataamua kumshitaki.
Bashite anajua alichokifanya hivyo hawezi kufungua mashtaka kwani hana uhakika Lissu anajiamini kitu gani na ana ushahid kiasi gani.
 
Unapoandika ukurupukaji kwa jambo lililotokea miaka zaidi ya saba unamaanisha nini?Kwa akili yako unadhani taarifa ulizozisikia miezi miwili au mmoja uliopita ndiyo na yeye kazipata leo?Maumivu aliyapata yeye.Inakuaje umpangie namna ya kuitikia/react?Kama amekurupuka au ameenda kwa timings,aachwe.Ni jambo lake na maumivu yake.Wewe endelea na yako.
 

Na wewe ndo una busara, akili na huna papara ?
 
Inaonyesha una uelewa wa mambo!

Mimi Sina chuki eala ugomvi na Mhe. Tundu Lissu na ukinisoma vizuri nimesema nina sympathize naye ktk masaibu yaliyomkuta!

Hata wewe hapa umejenga hoja zako based on assumptions ( dhahania) tu! Bado case aliyofungua Michael Clifford judgement haijatoka!

Kama wewe ni Legal Brain kama mimi basi unajua wakati wowote kabla ya judgement haijatoka chochote chaweza kutokea.

Wewe kusema Waingereza wako hivi na Michael Clifford lazima atashinda case , mimi sipingi ila professionally hiyo siyo sawa,ni kama wewe ni mganga wa kienyeji na mpiga ramli tu!

Mahakama kupitia kwa Judge(s) ndio hutoa maamuzi ya case.Hivyo kuisoma Judgement ni muhimu sana!

Sasa kufuatia Press ya jana ,mawazo na mikakati yote ya Mhe.Tundu Lissu Iko wazi.Hiyo si healthy kwake na anawapa maadui zake ground ya kum counter na kum fix mapema!
 
Kusemasema tu namna hiyo kwenye media tayari kwako kakurupuka na hana utulivu!

Point yako hapo kuonesha ukurupukaji wake iko wapi?
Jenga hoja yenye mantiki ili uweze kwenda na sisi.
Hawa ni wale watu waliofundishwa nidhamu za woga, wakikutana na mtu anajiamini katika kujieleza bila hofu kwa sababu anajua anasimamia haki, wanamuona anakurupuka.

Kwao kusema mpaka uombe kibali cha mwenyekiti kwanza, uongee kwa fake modesty mwanzo mwisho, halafu kabla hujaanza lazima usiiiifu kichawachawa.
 
Wewe ni amateur through and through, umetumia term 'battle tactics' bila kuusoma mchezo kwa kina na kujiuliza kwamba hii strategy ya Lissu ina nini ndani yake? The dude is very calculative, kila step anayochukua ana mahesabu yake. Anajua pros and cons ya kila afanyacho/asemacho , the end justifies the means.
 
Huna hoja na wewe ni mkurupukaji na mropokaji tu kama Mhe.Tundu Lissu!
Mawazo na mikakati ya Lissu imeshajulikana!
Yeye ameshaona atashinda kesi ya mabilioni dhidi ya Tigo na Serikali na hatimaye kukamata Ndege zetu kwa ajili ya malipo yake! Very Stupid reasoning toka kwa mtu mwenye hadhi ya Lissu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…