Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Leo umegoma kutumia akili zako tena, Lissu sie aliyeanzisha Hii issue, Lissu anakiri kuifahamu kwa muda mrefu Tu, mwana Sheria ww Lissu Ndio anayeifuatilia na ndie aliyedokezwa na marafiki zake before na yeye afuatilie kisha akamjulisha Lissu.Naunga mkono hoja!, tena mimi ni school mate wake Ilboru,
P
- Vurugu za Bungeni: Tundu Lissu, Anastahili Adhabu Kali?!. Ni Mtundu Toka Shule!.
- Hoja ya Udikteta wa Magufuli: Tundu Lissu isn't Right. Haupingwi kwa kupaza sauti kupiga tu Kelele!
- Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?
- Hongera ITV kumhoji Tundu Lissu. Hongera sana Tundu Lissu kuzungumza kistaarabu kwa lugha za staha. Ruksa kuhisi chochote, sio fair kutaja majina!
- Tundu Lissu kama JPM, ni mtu mkweli. Asema ukweli jinsi ukomo wa uongozi ulivyoyeyuka CHADEMA
- Kuna Uwezekano CHADEMA Inaelekea Kwishney? Zitto amebadili Online Trend...
Sasa Lissu kakukurupukaje? Tamaa ya Lissu Iko Wapi? Ukumbuke Huyu MTU alionja near death experience......sawa