Tundu Lissu ni clever but not Intelligent person. Ni Kiongozi mwenye papara sana na hana utulivu kabisa

Tundu Lissu ni clever but not Intelligent person. Ni Kiongozi mwenye papara sana na hana utulivu kabisa

Na mimi nilijiuliza maswali kama uliyojiuliza, kama Tundu Lissu kakurupuka kutangaza mkakati wake sasa.

Tundu Lissu ni mwanasheria na mwanasiasa na hujui kasema alilosema kama sehemu ya mkakati wa kisheria au kisiasa.

Pia, kesi yake haitegemei kesi ya Michael Clifford, ingawa kesi ya Michael Clifford inaweza kutoa habari muhinu kuhusu jesi yake, ataanzisha jesi tofauti.

Mahakama zenu za Profesa Juma hajazibeza kwa uongo. Kazibeza kwa ukweli. Rostam Aziz alisema zinaamrishwa jinsi ya kutoa hukumu kwa simu.

Kutaka kulipwa mapesa mengi kama ni haki yake, ni sawa tu akisema hilo. Watanzania wengi wamezoea fake modesty, Tundu Lissu hana fake modesty.

Dhana ya uzalendo ni ndefu sana. Mtu aliyeionya serikali isiingie mikataba holela, isivunje mikataba kiholela, utamuita vipi si mzalendo?

Mwanasheria anasimamia haki, kama watawala wanafanya maamuzi yasiyo haki, akiwaambia hivyo, huko si kukosa uzalendo.

Usichanganye uzalendo na uchawa, Tundu Lissu si chawa, kutokuwa chawa hakumfanyi asiwe mzalendo.

Uzalendo ni kusimama na nchi yako muda wote na kusimama na serikali yako pale inapostahili tu.

Usichanganye mtu kutoikubali serikali na kutoikubali nchi.

Utulivu is overrated.

Tundu Lissu kapigwa risasi yeye, maisha yaliyoharibiwa ni yake. Usimpangie jinsi ya kuzungumza kuhusu hii kesi.

Usimuwekee censorship kumpangia vya kusema.

Muachie afanye anavyotaka, tutaona matokeo.
👍👌🤝🙏
 
Nimemsikiliza Tundu Lissu kwa makini sana!

Nina sympathize naye kwa masaibu aliyopata lakini kwenye hili jambo kakurupuka sana!

Huwezi shinda vita yoyote ya maana bila mkakati wa maana!
(The Art of War by Sun Zu)!

Tundu Lissu angejipa muda kwanza na angefuatilia hiyo case ya Uingereza huku akikusanya ushahidi taratibu.

Angesubiri aone pia kama Judgement ingekuwa in favor ya huyo Whistle Blower wake Michael Clifford then angekuwa kwenye position nzuri ya kufanya well informed decision!

Kaonyesha weakness kubwa sana, sema tu watu wengi ni mediocres wanamsifia tu bila reasoning ya maana!

Sana sana nimemsikia akibeza Mahakama zetu za Profesa Juma!!

Soma Pia:

Ameonyesha tamaa ya kulipwa mapesa mengi na Tigo!! Amedhihirisha pia siyo mzalendo na kumbe ni kweli Hayati Magufuli alikuwa sahihi kwamba anashirikuana na maadui zetu kukamata Ndege zetu!!

Tundu Lissu ni mkurupukaji sana! Utulivu zero kabisa!
Kusemasema tu namna hiyo kwenye media tayari kwako kakurupuka na hana utulivu!

Point yako hapo kuonesha ukurupukaji wake iko wapi?
Jenga hoja yenye mantiki ili uweze kwenda na sisi.
 
Tusisahau zile chicken za ngambo zinajali sana maslahi ya uchumi ya kampuni zao na ushahidi unaweza potezwa.Lakini kwa maslahi ya kisiasa na propaganda ni kama amepakua supu bado ya moto ukifuatia hoja ya maandano yaliyozuiwa Jumatatu.
Wewe umeongea jambo kwa mizani nzuri.
Jamaa wa unyamwezini ng'ambo hawawezi kukubali kampuni yao kubwa MIC ipoteze pesa nyingi kirahisi hivyo.
Acha Lissu atumie fursa hii kisiasa atapata kitu flani kisiasa.
 
"Tulikuwa tunatrepu simu zake na tukaona alikuwa anamuomba Mwanyika leta document hii leta ducument ile ,vita ya kiuchumi ni mbaya sana maana adui haumuoni,ukiwa msaliti hautakiwi kusurvive" hayo maneno aliyaongea JPM baada ya 2hrs TAL akamiminiwa mvua ya risasi ,kwahiyo umeona relationship hapo ya sirikali via JIWE kutrepu simu zake(Kupata taarifa kutoka tigo na akamterm kama adui).

Hakuna ubishi kwamba sirikali ndiyo iliyofanya shambulizi la TAL dodoma 7 sept 2017 ,ndiyo maana siku hiyo ulinzi uliondolewa na pia hakuna jarada la uchunguzi lililofunguliwa katika kituo chochote cha polisi.

Lokuta eyaka na ascenseur Vérité eh yé n'escalier pé ekomi - Uongo unapanda na lift lakini ukweli unapanda ngazi lakini utafika tu.
Nilikuwa najaribu kukutafutia series za documentary kuhusu ‘NSA’ kuvunja US 4th amendment.

Halafu uone kilichowapata wale waliokuwa wanajifanya wanaijua sana katiba ya US kuliko senior civil servant wa vyombo vya usalama. Kwa sasa nimechoka kutafuta Iła nitakuletea uone kulichowapata whistle blower, way before Snowden.

Seuse, Lissu; acheni kumjaza upepo mtu ambae ni msaliti wa taifa openly.
 
Kusemasema tu namna hiyo kwenye media tayari kwako kakurupuka na hana utulivu!

Point yako hapo kuonesha ukurupukaji wake iko wapi?
Jenga hoja yenye mantiki ili uweze kwenda na sisi.
Hoja yangu ni kwamba ,jambo bado lipo kwenye very early stage mno! Hakukuwa na sababu ya kuita Press badala yake angejipa muda wa kufuatilia suala Hilo kwa makini na utulivu bila kuwapa maadui zake nafasi ya kusoma mawazo yake!
Sasa hapo maadui zake washajua mawazo yake yote ( end game) na ni rahisi sana wao ku- interfere na kum fix Lissu!
Kwenye vita Kuna battle tactics ( concealment and camouflage), ili ushinde ubweki bweki hovyo kama mbwa mwenye kichaa,!
Wengi hapa sababu ya upeo mdogo wanadhani nina chuki na Mhe.Tundu Lissu!
Mimi shida yangu ni ukurupukaji na uropokaji wake tu!
Si mtu wa kujipa muda kutafakari mambo na kuchukua hatua makini!
Tundu Lissu ni attention Seeker tu!
 
Rubbish

Rubbish...sasa matokeo ya kesi yanahusika vipi na the fact Tigo walivujisha data zake kwa serikali? Kesi ya Lissu haihusiani na kwamba Clifford alikuwa terminated fairly or not....wewe ndiyo umekurupuka
Wewe hujaelewa hoja yangu!
Mimi sipangani na facts bali approach ya Mhe.Tundu Lissu katika jambo hili!
Bado liko kwenye very early stage mno ! Hakuwa na sababu ya kuita Press kwa sasa bali angekuwa mtu makini angejipa muda kwanza kufuatilia hiyo case ili kuweza kupata data za kutosha za kumwezesha ktk case yake endapo ataamua kumfungulia yeyote yule!
Sasa hapa Tundu Lissu anakurupuka mithili ya Mwajuma kandambili wa uswazi!
 
Nimemsikiliza Tundu Lissu kwa makini sana!

Nina sympathize naye kwa masaibu aliyopata lakini kwenye hili jambo kakurupuka sana!

Huwezi shinda vita yoyote ya maana bila mkakati wa maana!
(The Art of War by Sun Zu)!

Tundu Lissu angejipa muda kwanza na angefuatilia hiyo case ya Uingereza huku akikusanya ushahidi taratibu.

Angesubiri aone pia kama Judgement ingekuwa in favor ya huyo Whistle Blower wake Michael Clifford then angekuwa kwenye position nzuri ya kufanya well informed decision!

Kaonyesha weakness kubwa sana, sema tu watu wengi ni mediocres wanamsifia tu bila reasoning ya maana!

Sana sana nimemsikia akibeza Mahakama zetu za Profesa Juma!!

Soma Pia:

Ameonyesha tamaa ya kulipwa mapesa mengi na Tigo!! Amedhihirisha pia siyo mzalendo na kumbe ni kweli Hayati Magufuli alikuwa sahihi kwamba anashirikuana na maadui zetu kukamata Ndege zetu!!

Tundu Lissu ni mkurupukaji sana! Utulivu zero kabisa!
Uzalendo ndiyo upumbavu gani baada ya ku-survive sixteen bullets zilizoingia mwilini mwake, kwa kuwa yeye ni mwanasheria anaelewa exactly faida na hasara ya kila njia atakayotumia kwenye hili sakata.
Hawezi kumtaja Bashite bila ya kuwa na ushahid anaouamini kama Bashite ataamua kumshitaki.
Bashite anajua alichokifanya hivyo hawezi kufungua mashtaka kwani hana uhakika Lissu anajiamini kitu gani na ana ushahid kiasi gani.
 
Tatizo lako na Tundu Lissu ni moja!

Ukurupukaji! Hujasoma hata hoja yangu umeshakurupuka!
Mimi nimembeza Tundu Lissu anavyo approach mambo na hasa jambo kubwa kama hili!

Hapo juu nimesema Nina sympathize naye ktk masaibu yake lakini unanilaumu!

Najua hujui maana ya Sympathize na masaibu na kwa kifupi wewe ni mediocre au kilaza tu!
Unapoandika ukurupukaji kwa jambo lililotokea miaka zaidi ya saba unamaanisha nini?Kwa akili yako unadhani taarifa ulizozisikia miezi miwili au mmoja uliopita ndiyo na yeye kazipata leo?Maumivu aliyapata yeye.Inakuaje umpangie namna ya kuitikia/react?Kama amekurupuka au ameenda kwa timings,aachwe.Ni jambo lake na maumivu yake.Wewe endelea na yako.
 
Nimemsikiliza Tundu Lissu kwa makini sana!

Nina sympathize naye kwa masaibu aliyopata lakini kwenye hili jambo kakurupuka sana!

Huwezi shinda vita yoyote ya maana bila mkakati wa maana!
(The Art of War by Sun Zu)!

Tundu Lissu angejipa muda kwanza na angefuatilia hiyo case ya Uingereza huku akikusanya ushahidi taratibu.

Angesubiri aone pia kama Judgement ingekuwa in favor ya huyo Whistle Blower wake Michael Clifford then angekuwa kwenye position nzuri ya kufanya well informed decision!

Kaonyesha weakness kubwa sana, sema tu watu wengi ni mediocres wanamsifia tu bila reasoning ya maana!

Sana sana nimemsikia akibeza Mahakama zetu za Profesa Juma!!

Soma Pia:

Ameonyesha tamaa ya kulipwa mapesa mengi na Tigo!! Amedhihirisha pia siyo mzalendo na kumbe ni kweli Hayati Magufuli alikuwa sahihi kwamba anashirikuana na maadui zetu kukamata Ndege zetu!!

Tundu Lissu ni mkurupukaji sana! Utulivu zero kabisa!

Na wewe ndo una busara, akili na huna papara ?
 
nafikiri umekosea kidogo ndugu yangu, kwa mimi ambaye nina practise sheria kwa mahakama za hawa ngozi nyeupe, kwenye Kampuni kubwa sana la kisheria ( bila kulitaja) nafikiri umekosea sana. Mahakamanini popote pale duniani humu ni mambo ya procedures tupu na rules of evidence. Siku ya kwanza unapelekwa kwa pilato, utaambiwa tu taja jina lako, confirm tarehe yako ya kuzaliwa na anuani yako. Baada ya hapo, utaambiwa njoo siku fulani uje usewe how do you wish to plead ( guilty or not guilty), siku ya tatu au kabla ya hapo mawakili watakuwa wamekubaliano mambo yafuatayo:

preliminary case management
date ya ku exchange mambo mfano- bundles,
issues in disputes ( which the judge needs to decide)- contentious issues
issues not disputable
process for case management
date for documents exchange
na mambo mengine mengi- lazima yakubaliwe before hand

sasa mpaka hapo hiyo case ya London ilipofikia- uelekeo ushajulikana nani ataibuka kidedea- sio haya mambo yetu ya bongo ya kupiga ramli pata potea - tatu mzuka.
Ndio maana hata sasa inatangazwa maana yake hii kesi ina public interest kama ilivyo kwisha amliwa. Ni wazi mleta maombi atawabwaga walalamikiwa if they do not opt to settle of court .
Kwa uingereza ni mara chase sana ktk employment tribunal mwajiri kuibuka kidedea. mara nyingi wanashindwa, maana kwa mfano, hiyo sheria yenyewe ya whistleblower, inaegemea sana upande wa watu wanao itumia in good faith. Ni sheria pana.

ifutiliew kesi ya London na kuna mawili:
1. out of court settlement
2. Au kesi iendelee, Tigo/kampuni mama apatikane na hatia

NB: Mlalamikaji ni ex-law enforcer- ex MET police officer ( Fatma karume anawajuwa) ( a person of good standing); wazungu wanawaamini sana mapolisi wao/ ex police officers kuliko sisi, sio kama kwetu wanarundikwa kule kwenye mabati chakavu. Maadam ni kesi ya ex police officer, Tigo wana mountain to climb just because mlalamika ni ex police- hiyo pekee inampa credibility ya kutosha kwa macho ya mahakama na mtu wao huwa hatupwi unless under extreme circumstances.
Inaonyesha una uelewa wa mambo!

Mimi Sina chuki eala ugomvi na Mhe. Tundu Lissu na ukinisoma vizuri nimesema nina sympathize naye ktk masaibu yaliyomkuta!

Hata wewe hapa umejenga hoja zako based on assumptions ( dhahania) tu! Bado case aliyofungua Michael Clifford judgement haijatoka!

Kama wewe ni Legal Brain kama mimi basi unajua wakati wowote kabla ya judgement haijatoka chochote chaweza kutokea.

Wewe kusema Waingereza wako hivi na Michael Clifford lazima atashinda case , mimi sipingi ila professionally hiyo siyo sawa,ni kama wewe ni mganga wa kienyeji na mpiga ramli tu!

Mahakama kupitia kwa Judge(s) ndio hutoa maamuzi ya case.Hivyo kuisoma Judgement ni muhimu sana!

Sasa kufuatia Press ya jana ,mawazo na mikakati yote ya Mhe.Tundu Lissu Iko wazi.Hiyo si healthy kwake na anawapa maadui zake ground ya kum counter na kum fix mapema!
 
Kusemasema tu namna hiyo kwenye media tayari kwako kakurupuka na hana utulivu!

Point yako hapo kuonesha ukurupukaji wake iko wapi?
Jenga hoja yenye mantiki ili uweze kwenda na sisi.
Hawa ni wale watu waliofundishwa nidhamu za woga, wakikutana na mtu anajiamini katika kujieleza bila hofu kwa sababu anajua anasimamia haki, wanamuona anakurupuka.

Kwao kusema mpaka uombe kibali cha mwenyekiti kwanza, uongee kwa fake modesty mwanzo mwisho, halafu kabla hujaanza lazima usiiiifu kichawachawa.
 
Hoja yangu ni kwamba ,jambo bado lipo kwenye very early stage mno! Hakukuwa na sababu ya kuita Press badala yake angejipa muda wa kufuatilia suala Hilo kwa makini na utulivu bila kuwapa maadui zake nafasi ya kusoma mawazo yake!
Sasa hapo maadui zake washajua mawazo yake yote ( end game) na ni rahisi sana wao ku- interfere na kum fix Lissu!
Kwenye vita Kuna battle tactics ( concealment and camouflage), ili ushinde ubweki bweki hovyo kama mbwa mwenye kichaa,!
Wengi hapa sababu ya upeo mdogo wanadhani nina chuki na Mhe.Tundu Lissu!
Mimi shida yangu ni ukurupukaji na uropokaji wake tu!
Si mtu wa kujipa muda kutafakari mambo na kuchukua hatua makini!
Tundu Lissu ni attention Seeker tu!
Wewe ni amateur through and through, umetumia term 'battle tactics' bila kuusoma mchezo kwa kina na kujiuliza kwamba hii strategy ya Lissu ina nini ndani yake? The dude is very calculative, kila step anayochukua ana mahesabu yake. Anajua pros and cons ya kila afanyacho/asemacho , the end justifies the means.
 
Huna hoja na wewe ni mkurupukaji na mropokaji tu kama Mhe.Tundu Lissu!
Mawazo na mikakati ya Lissu imeshajulikana!
Yeye ameshaona atashinda kesi ya mabilioni dhidi ya Tigo na Serikali na hatimaye kukamata Ndege zetu kwa ajili ya malipo yake! Very Stupid reasoning toka kwa mtu mwenye hadhi ya Lissu!
 
Back
Top Bottom