Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
Kampuni ya simu haiwezi kumdukua mtu hizo info zipo kwenye data base zao (kote duniani).
Serikali ikitaka hizo info uwezi zuia, kuna rules of engagement na sheria za nchi usika ambazo lazima wawe adhered too.
Msingi wa lawama zenu kwa TiGO is because Lissu told you so. Halikadhalika hakuna kampuni ya simu itatoa info za mteja wake bila ya shinikizo la serikali using specific laws.
Lissu angekuwa mteja wa Voda, Airtel, Halotel, TTCL or any other suppliers; serikali ingewafuata na ku-demand info ya track zake in the name of national security hakuna wakukataa given the law.
Lissu was too emotional kwenye speech yake, but not realistic.
Sijamshambulia bali nimeonyesha weakness yake ya ukurupukaji!
Tundu Lissu huyu si ndo hivi karibuni alituhumu Chama Chake (CHADEMA,) kimehongwa pesa! Alipotakiwa kuthibitisha kwenye Kamati Kuu yao akaruka kimanga!
Kwenye Press yake ameonyesha jinsi alivyo na uzoefu wa kukamata Ndege zetu huko Nje!
Mtu Intelligent hasemi hadharani Kila kitu anachojua!
TL nimkurupukaji wa kiwango cha lami.
Kumuelewa inabidi uwe empty set.
Sheria ipi inakataza Tigo isitoe taarifa za Lisu kwa Serikali?
Taarifa inayopelekea mtu kupigwa risasi, huo ni ugaidi , TIGO na aliyetumia hizo information (serikali na kibaka mtekaji/muuaji Makonda) Wana kesi kubwa ya kujibuSheria ipi inakataza Tigo isitoe taarifa za Lisu kwa Serikali?
Sheria ipi inakataza Tigo isitoe taarifa za Lisu kwa Serikali?
Nikukumbushe tu kuwa Lissu ni miongoni mwa mawakili au wanasheria walioshinda keai nyingi sana.Nimemsikiliza Tundu Lissu kwa makini sana!
Nina sympathize naye kwa masaibu aliyopata lakini kwenye hili jambo kakurupuka sana!
Huwezi shinda vita yoyote ya maana bila mkakati wa maana!
(The Art of War by Sun Zu)!
Tundu Lissu angejipa muda kwanza na angefuatilia hiyo case ya Uingereza huku akikusanya ushahidi taratibu.
Angesubiri aone pia kama Judgement ingekuwa in favor ya huyo Whistle Blower wake Michael Clifford then angekuwa kwenye position nzuri ya kufanya well informed decision!
Kaonyesha weakness kubwa sana, sema tu watu wengi ni mediocres wanamsifia tu bila reasoning ya maana!
Sana sana nimemsikia akibeza Mahakama zetu za Profesa Juma!!
Soma Pia:
- Tundu Lissu kuiburuza Tigo mahakamani
- Kupigwa risasi kwa Tundu Lissu: Kampuni ya simu ya Tigo yadaiwa ilivujisha mawasiliano yake kwa mamlaka
- Tundu Lissu: Aliyeongoza Kikosi cha wauaji walioagizwa kuniua ni Paul Makonda, ndio maana Marekani ilimzuia
Ameonyesha tamaa ya kulipwa mapesa mengi na Tigo!! Amedhihirisha pia siyo mzalendo na kumbe ni kweli Hayati Magufuli alikuwa sahihi kwamba anashirikuana na maadui zetu kukamata Ndege zetu!!
Tundu Lissu ni mkurupukaji sana! Utulivu zero kabisa!
Mzee, pamoja na mambo mengine huu ni mtaji wa siasa pia na lazima utumike kubadilisha upepo wakati huu CCM wanajiona wameweza kuzima maandamano yaoWewe hujaelewa hoja yangu!
Mimi sipangani na facts bali approach ya Mhe.Tundu Lissu katika jambo hili!
Bado liko kwenye very early stage mno ! Hakuwa na sababu ya kuita Press kwa sasa bali angekuwa mtu makini angejipa muda kwanza kufuatilia hiyo case ili kuweza kupata data za kutosha za kumwezesha ktk case yake endapo ataamua kumfungulia yeyote yule!
Sasa hapa Tundu Lissu anakurupuka mithili ya Mwajuma kandambili wa uswazi!
Unfortunately that’s just your opinion of me, but that doesn’t define me.Wewe hakuna unalojua. Tangu ushindwe kujua tofauti ya AU Chairperson na AU Commission Chairperson huwa nakuona Kama mjuaji asiyejua kitu.
Kisheria, ili serikali ivhukue taarifa za mteja ni lazima iombe kibali mahakamani.
(Alichoongea ni sehemu ndogo ya ushahidi uliopo na mengine ameyaongea kwa makusudi kwa lengo la kuwa trigger ili wa react)Tatizo wewe ndiye diyo intelligent halafu unawaona wenzako kuwa mediocre wakati in reality ni kinyume chake.
Ameeleza vizuri kuhusu ni wakati gani alitaarifiwa kuhusu uwepo wa hiyo kesi, akatulia akisubiri na wote mlikuwa hamjui kinachoendelea.
Pili, hajakurupuka, mpaka amekwenda public ameshashauriana na Wakili wake.
Kwa kilichopatikana kinatosha kabisa kufanya alichofanya na zuri zaidi inapofanyika hiyo kesi serikali haina uwezo wa kuingilia, na atakapoenda kuifungulia hiyo kesi nako serikali haitakuwa na uwezo wa ku influence maamuzi.
Hapo kukurupuka kupo wapi? Maana kama ushahidi wanao wa kutosha na wanaendelea kukusanya.
Alichoongea ni sehemu ndogo ya ushahidi uliopo na mengine ameyaongea kwa makusudi kwa lengo la kuwa trigger ili wa react
Legal brain ya Kibongo bongo 😂😂Kesi bado inaendelea, hakuna judgement imetoka! Mimi ni Legal Brain najua ninachoongea!
Hata mimi niliwaza hivyo lakini kaamua, (kukinukisha mapema), kuchafua hali ya hewa kutokana hali ya siasa ilivyo kwasasa, ushahidi anao ila ana jaribu kutahadhalisha upande mwingine kwamtindo wa jamba jambaNimemsikiliza Tundu Lissu kwa makini sana!
Nina sympathize naye kwa masaibu aliyopata lakini kwenye hili jambo kakurupuka sana!
Huwezi shinda vita yoyote ya maana bila mkakati wa maana!
(The Art of War by Sun Zu)!
Tundu Lissu angejipa muda kwanza na angefuatilia hiyo case ya Uingereza huku akikusanya ushahidi taratibu.
Angesubiri aone pia kama Judgement ingekuwa in favor ya huyo Whistle Blower wake Michael Clifford then angekuwa kwenye position nzuri ya kufanya well informed decision!
Kaonyesha weakness kubwa sana, sema tu watu wengi ni mediocres wanamsifia tu bila reasoning ya maana!
Sana sana nimemsikia akibeza Mahakama zetu za Profesa Juma!!
Soma Pia:
- Tundu Lissu kuiburuza Tigo mahakamani
- Kupigwa risasi kwa Tundu Lissu: Kampuni ya simu ya Tigo yadaiwa ilivujisha mawasiliano yake kwa mamlaka
- Tundu Lissu: Aliyeongoza Kikosi cha wauaji walioagizwa kuniua ni Paul Makonda, ndio maana Marekani ilimzuia
Ameonyesha tamaa ya kulipwa mapesa mengi na Tigo!! Amedhihirisha pia siyo mzalendo na kumbe ni kweli Hayati Magufuli alikuwa sahihi kwamba anashirikuana na maadui zetu kukamata Ndege zetu!!
Tundu Lissu ni mkurupukaji sana! Utulivu zero kabisa!
Kuna relation gani ya serikali kuomba info za Lissu kutoka TiGO na maamuzi ya kushambuliwa (kama based on that info).
Seriously watanzania mnaitaji kunyooshwa the reasoning of you people is way below developed nations.
Magufuli alikuwa soft anahitajika mtu wa kuwapa life perspective, mnaishi kwenye dunia moja ambayo mambo ni rahisi sana.
Wapinzani wa Bongo wengi ni wachumia Tumbo
Huna hoja na wewe ni mkurupukaji na mropokaji tu kama Mhe.Tundu Lissu!
Mawazo na mikakati ya Lissu imeshajulikana!
Yeye ameshaona atashinda kesi ya mabilioni dhidi ya Tigo na Serikali na hatimaye kukamata Ndege zetu kwa ajili ya malipo yake! Very Stupid reasoning toka kwa mtu mwenye hadhi ya Lissu!A
Let's wait and see.Ndio maana Lissu anawapeleka Tigo mahakamani ili wawataje waliopewa taarifa. Halafu hapo ndipo kesi ya msingi itaanza. Hata mashushu hustakiwa.
Ndio maana Lissu anawapeleka Tigo mahakamani ili wawataje waliopewa taarifa. Halafu hapo ndipo kesi ya msingi itaanza. Hata mashushu hustakiwa.
Watanzania tumejaliwa kukosoa Tuu,, Wewe Hujui lolote. Msimpangie aongelee Nini Mbona hamkumpangia mlipotaka kumuua Acha apumue. Takataka nyieNimemsikiliza Tundu Lissu kwa makini sana!