Tundu Lissu ni clever but not Intelligent person. Ni Kiongozi mwenye papara sana na hana utulivu kabisa

Tundu Lissu ni clever but not Intelligent person. Ni Kiongozi mwenye papara sana na hana utulivu kabisa

Nimemsikiliza Tundu Lissu kwa makini sana!

Nina sympathize naye kwa masaibu aliyopata lakini kwenye hili jambo kakurupuka sana!

Huwezi shinda vita yoyote ya maana bila mkakati wa maana!
(The Art of War by Sun Zu)!

Tundu Lissu angejipa muda kwanza na angefuatilia hiyo case ya Uingereza huku akikusanya ushahidi taratibu.

Angesubiri aone pia kama Judgement ingekuwa in favor ya huyo Whistle Blower wake Michael Clifford then angekuwa kwenye position nzuri ya kufanya well informed decision!

Kaonyesha weakness kubwa sana, sema tu watu wengi ni mediocres wanamsifia tu bila reasoning ya maana!

Sana sana nimemsikia akibeza Mahakama zetu za Profesa Juma!!

Soma Pia:

Ameonyesha tamaa ya kulipwa mapesa mengi na Tigo!! Amedhihirisha pia siyo mzalendo na kumbe ni kweli Hayati Magufuli alikuwa sahihi kwamba anashirikuana na maadui zetu kukamata Ndege zetu!!

Tundu Lissu ni mkurupukaji sana! Utulivu zero kabisa!
Umesema neno!
 
Tatizo lako na Tundu Lissu ni moja!

Ukurupukaji! Hujasoma hata hoja yangu umeshakurupuka!
Mimi nimembeza Tundu Lissu anavyo approach mambo na hasa jambo kubwa kama hili!

Hapo juu nimesema Nina sympathize naye ktk masaibu yake lakini unanilaumu!

Najua hujui maana ya Sympathize na masaibu na kwa kifupi wewe ni mediocre au kilaza tu!
Wewe pia umekurupuka.
Na kwa kuwa umekurupuka, umeshindwa ku-'capture' hoja yenyewe.
Kesi iliyopo Uingereza siyo Kesi ya JINAI, ambayo yaliyomo yanasubiri Uamuzi wa mwisho.
Hii ni Kesi ya Madai, ambayo yaliyomo ni 'disclosures' ambazo zilikuwa zimefichwa Kabatini.
Swali hapa ni kwamba, hayo yaliyo wasilishwa Mahakamani na Bw. Michael Clifford yanatosha?
Katika kulijibu hili, Bw. Tundu Lissu amesema wataomba Bw. Clifford atoe taarifa za ziada kwa kuwa amesema Kampuni ya Tigo Tanzania iliwasiliana kwa WhatsApp na Watumishi wa Serikali walio iagiza (Tigo) kutoa taarifa za 'surveillance' za Simu za Lissu.
Kwa mara ya kwanza, taarifa sasa zipo hadharani kuhusu waliokuwa wanataka kujua mwenendo wa Bw. Tundu Lissu.
Watu wa Serikali.
Kwa miaka Saba, tulikuwa na hisia tu.
Sasa ushahidi uko hadharani.
Kumbuka, Mwanasheria wa Bw. Tundu Lissu, aitwae Bw. Bob Amsterdam, ametuma Wanasheria Mahakamani London kufuatilia Kesi hii ya Bw. Clifford.
Wamekwenda kuona na kusoma Nyaraka zilizowasilishwa.
Kampuni mama ya Tigo [Millicom] ilikwenda hadi "Court of Appeal of UK" ili Kesi isikilizwe "Faraghani" [Chambers], lakini Mahakama hiyo ya Rufaa ya Uingereza ikaamua kuwa hii Kesi ina Maslahi ya Umma, kwa hiyo isikilizwe katika Mahakama ya Wazi, "Open Court", lengo likiwa hata akina 'Kalimanzila' wajue kinachoendelea.
Kuna Kabila Nchini Tanzania wanao msemo usemao, "Umufa w'iMbwebwe wunyobwa wugishushe" yaani, 'Mchuzi wa Mbweha hunywewa ukingali wa moto.'
Nimeamini kwamba Damu ya Binadamu haimwagiki bure.
Hata kama ilimwagika Miaka Saba iliyopita.
Yajayo yanafurahisha.
 
Inaonyesha una uelewa wa mambo!

Mimi Sina chuki eala ugomvi na Mhe. Tundu Lissu na ukinisoma vizuri nimesema nina sympathize naye ktk masaibu yaliyomkuta!

Hata wewe hapa umejenga hoja zako based on assumptions ( dhahania) tu! Bado case aliyofungua Michael Clifford judgement haijatoka!

Kama wewe ni Legal Brain kama mimi basi unajua wakati wowote kabla ya judgement haijatoka chochote chaweza kutokea.

Wewe kusema Waingereza wako hivi na Michael Clifford lazima atashinda case , mimi sipingi ila professionally hiyo siyo sawa,ni kama wewe ni mganga wa kienyeji na mpiga ramli tu!

Mahakama kupitia kwa Judge(s) ndio hutoa maamuzi ya case.Hivyo kuisoma Judgement ni muhimu sana!

Sasa kufuatia Press ya jana ,mawazo na mikakati yote ya Mhe.Tundu Lissu Iko wazi.Hiyo si healthy kwake na anawapa maadui zake ground ya kum counter na kum fix mapema!
Nimekuelewa ndugu, niishie hapo Kwa sasa…
 
Wewe pia umekurupuka.
Na kwa kuwa umekurupuka, umeshindwa ku-'capture' hoja yenyewe.
Kesi iliyopo Uingereza siyo Kesi ya JINAI, ambayo yaliyomo yanasubiri Uamuzi wa mwisho.
Hii ni Kesi ya Madai, ambayo yaliyomo ni 'disclosures' ambazo zilikuwa zimefuchwa Kabatini.
Swali hapa ni kwamba, hayo yaliyowasilishwa Mahakamani na Bw. Michael Clifford yanatosha?
Katika kulijibu hili, Bw. Tundu Lissu amesema wataomba Bw. Clifford atoe taarifa za ziada kwa kuwa amesema Kampuni ya Tigo Tanzania iliwasiliana kwa WhatsApp na Watumishi wa Serikali walioiagiza (Tigo) kutoa taarifa za 'suveillance' za Simu za Lissu.
Kwa mara ya kwanza, taarifa sasa zipo hadharani kuhusu waliokuwa wanataka kujua muenendo wa Bw. Tundu Lissu.
Watu wa Serikali.
Kwa miaka Saba, tulikuwa na hisia tu.
Sasa ushahidi uko hadharani.
Kumbuka, Mwanasheria Bw. Bob Amsterdam, ametuma Wanasheria Mahakamani London kufuatilia Kesi hii ya Bw. Clifford.
Wamekwenda kuona na kusoma Nyaraka zilizowasikishwa.
Kampuni mama ya Tigo [Millicent] ilikwenda hadi "Court of Appeal of UK" ili Kesi isikilizwe "Faraghani" [Chambers], lakini Mahakama hiyo ya Rufaa ya Uingereza ikaamua kuwa hii Kesi ina Maslahi ya Umma, kwa hiyo isikilizwe katika Mahakama ya Wazi, "Open Court", lengo likiwa hata akina 'Kalimanzila' wajue kinachoendelea.
Kuna Kabila Nchini Tanzania wanao msemo usemao, "Umufa w'iMbwebwe wunyobwa wugishushe" yaani, 'Mchuzi wa Mbweha hunywewa ukingali wa moto.'
Nimeamini kwamba Damu ya Binadamu haimwagiki bure.
Hata kama ilimwagika Miaka Saba iliyopita.
Yajayo yanafurahisha.
Well said mkuu…bandiko kuntu
 
Nimemsikiliza Tundu Lissu kwa makini sana!

Nina sympathize naye kwa masaibu aliyopata lakini kwenye hili jambo kakurupuka sana!

Huwezi shinda vita yoyote ya maana bila mkakati wa maana!
(The Art of War by Sun Zu)!

Tundu Lissu angejipa muda kwanza na angefuatilia hiyo case ya Uingereza huku akikusanya ushahidi taratibu.

Angesubiri aone pia kama Judgement ingekuwa in favor ya huyo Whistle Blower wake Michael Clifford then angekuwa kwenye position nzuri ya kufanya well informed decision!

Kaonyesha weakness kubwa sana, sema tu watu wengi ni mediocres wanamsifia tu bila reasoning ya maana!

Sana sana nimemsikia akibeza Mahakama zetu za Profesa Juma.

Soma Pia:
Ameonyesha tamaa ya kulipwa mapesa mengi na Tigo!! Amedhihirisha pia siyo mzalendo na kumbe ni kweli Hayati Magufuli alikuwa sahihi kwamba anashirikuana na maadui zetu kukamata Ndege zetu.

Tundu Lissu ni mkurupukaji sana! Utulivu zero kabisa.
Pamoja na ukurupukaji wake... Sidhani kama wewe hapo ungevumilia.
Make inavoonekana umeleta post yako chap sana bila kujiuliza maswali mengi kuhusu details alizonazo Tundu Lisu na pengine amaekuwa nazo kwa muda mrefu!
This is between his life and death. Sidhani kama hajafanya yampasayo kufanya!
 
Na mimi nilijiuliza maswali kama uliyojiuliza, kama Tundu Lissu kakurupuka kutangaza mkakati wake sasa.

Tundu Lissu ni mwanasheria na mwanasiasa na hujui kasema alilosema kama sehemu ya mkakati wa kisheria au kisiasa.

Pia, kesi yake haitegemei kesi ya Michael Clifford, ingawa kesi ya Michael Clifford inaweza kutoa habari muhinu kuhusu kesi yake, ataanzisha kesi tofauti.

Mahakama zenu za Profesa Juma hajazibeza kwa uongo. Kazibeza kwa ukweli. Rostam Aziz alisema zinaamrishwa jinsi ya kutoa hukumu kwa simu.

Kutaka kulipwa mapesa mengi kama ni haki yake, ni sawa tu akisema hilo. Watanzania wengi wamezoea fake modesty, Tundu Lissu hana fake modesty.

Dhana ya uzalendo ni ndefu sana. Mtu aliyeionya serikali isiingie mikataba holela, isivunje mikataba kiholela, utamuita vipi si mzalendo?

Mwanasheria anasimamia haki, kama watawala wanafanya maamuzi yasiyo haki, akiwaambia hivyo, huko si kukosa uzalendo.

Usichanganye uzalendo na uchawa, Tundu Lissu si chawa, kutokuwa chawa hakumfanyi asiwe mzalendo.

Uzalendo ni kusimama na nchi yako muda wote na kusimama na serikali yako pale inapostahili tu.

Usichanganye mtu kutoikubali serikali na kutoikubali nchi.

Utulivu is overrated.

Tundu Lissu kapigwa risasi yeye, maisha yaliyoharibiwa ni yake. Usimpangie jinsi ya kuzungumza kuhusu hii kesi.

Usimuwekee censorship kumpangia vya kusema.

Muachie afanye anavyotaka, tutaona matokeo.
💯👊Watu wanajitoa sana ufahamu hapa!
 
Nimemsikiliza Tundu Lissu kwa makini sana!

Nina sympathize naye kwa masaibu aliyopata lakini kwenye hili jambo kakurupuka sana!

Huwezi shinda vita yoyote ya maana bila mkakati wa maana!
(The Art of War by Sun Zu)!

Tundu Lissu angejipa muda kwanza na angefuatilia hiyo case ya Uingereza huku akikusanya ushahidi taratibu.

Angesubiri aone pia kama Judgement ingekuwa in favor ya huyo Whistle Blower wake Michael Clifford then angekuwa kwenye position nzuri ya kufanya well informed decision!

Kaonyesha weakness kubwa sana, sema tu watu wengi ni mediocres wanamsifia tu bila reasoning ya maana!

Sana sana nimemsikia akibeza Mahakama zetu za Profesa Juma.

Soma Pia:
Ameonyesha tamaa ya kulipwa mapesa mengi na Tigo!! Amedhihirisha pia siyo mzalendo na kumbe ni kweli Hayati Magufuli alikuwa sahihi kwamba anashirikuana na maadui zetu kukamata Ndege zetu.

Tundu Lissu ni mkurupukaji sana! Utulivu zero kabisa.
Kwa ushahidi huu tundu lisu ataishitaki serekali yenu chovu na itamlipa hela nyingi kwa lazima nasema kwa lazima,

na ikibainika kwenye mahakama za kimataifa kwamba serekali ili m terrorise lisu mtawekwa kwenye black list

Kwa hiyo usilete mbwembwe za za ki uvccm tuendako siyo kuzuri
 
Nimemsikiliza Tundu Lissu kwa makini sana!

Nina sympathize naye kwa masaibu aliyopata lakini kwenye hili jambo kakurupuka sana!

Huwezi shinda vita yoyote ya maana bila mkakati wa maana!
(The Art of War by Sun Zu)!

Tundu Lissu angejipa muda kwanza na angefuatilia hiyo case ya Uingereza huku akikusanya ushahidi taratibu.

Angesubiri aone pia kama Judgement ingekuwa in favor ya huyo Whistle Blower wake Michael Clifford then angekuwa kwenye position nzuri ya kufanya well informed decision!

Kaonyesha weakness kubwa sana, sema tu watu wengi ni mediocres wanamsifia tu bila reasoning ya maana!

Sana sana nimemsikia akibeza Mahakama zetu za Profesa Juma.

Soma Pia:
Ameonyesha tamaa ya kulipwa mapesa mengi na Tigo!! Amedhihirisha pia siyo mzalendo na kumbe ni kweli Hayati Magufuli alikuwa sahihi kwamba anashirikuana na maadui zetu kukamata Ndege zetu.

Tundu Lissu ni mkurupukaji sana! Utulivu zero kabisa.
Unaongea hivi ukute huna jeraha hata la wembe mwilini mwako tulia mtoto mlaini wewe acha wanaume wajipambambanie.
 
Kesi bado inaendelea, hakuna judgement imetoka! Mimi ni Legal Brain najua ninachoongea!
Umechanganya Kesi za Madai na Kesi za JINAI.
Judgement itakayotoka itasema moja ya mawili;
Akishindwa, itasema Bw. Clifford alifukuzwa kwa haki kwa kosa la kuuliza kwa nini Tigo iliipa Serikali ya Tanzania taarifa za mwenendo wa Bw. Tundu Lissu.
Akishindwa, hukumu itasema Bw. Clifford hakutendewa haki kwa kufukuzwa kazi baada ya kuuliza kwa nini Tigo iliipa Serikali ya Tanzania taarifa za mwenendo wa Bw. Tundu Lissu.
Katika hali hii, kwa nini isubiriwe 'Judgement'?
Vyovyote itakavyotoka Hukumu, utambulisho wa waliotaka kufanya "Political Assassination" ya Bw. Tundu Lissu umeanza kuwa wazi.
 
Inaonyesha una uelewa wa mambo!

Mimi Sina chuki eala ugomvi na Mhe. Tundu Lissu na ukinisoma vizuri nimesema nina sympathize naye ktk masaibu yaliyomkuta!

Hata wewe hapa umejenga hoja zako based on assumptions ( dhahania) tu! Bado case aliyofungua Michael Clifford judgement haijatoka!

Kama wewe ni Legal Brain kama mimi basi unajua wakati wowote kabla ya judgement haijatoka chochote chaweza kutokea.

Wewe kusema Waingereza wako hivi na Michael Clifford lazima atashinda case , mimi sipingi ila professionally hiyo siyo sawa,ni kama wewe ni mganga wa kienyeji na mpiga ramli tu!

Mahakama kupitia kwa Judge(s) ndio hutoa maamuzi ya case.Hivyo kuisoma Judgement ni muhimu sana!

Sasa kufuatia Press ya jana ,mawazo na mikakati yote ya Mhe.Tundu Lissu Iko wazi.Hiyo si healthy kwake na anawapa maadui zake ground ya kum counter na kum fix mapema!
Nomefurahia kauli yako ya kujinasibu kwamba wewe ni Legal Brain.
Shirika la Habari, Reuters, jana muda wa 16:20GMT, iliandika ifuatavyo;
"In its own Court Filings this month, Millicom said it had learned in late August or early September 2017 of concerns 'about a local politician's mobile phone data being passed to a government agency.'
It said the individuals involved were disciplined and additional training was provided to Millicom subsidiaries about how to respond to requests for Company data.
The Company denied allegations in a Lawsuit filed by former employee, Michael Clifford, that Clifford had been dismissed for raising concerns about the tracking of Lissu's location data".
Hayo ni maelezo ya Millicom, ambayo ni Kampuni mama ya Tigo Tanzania, KWA MAANDISHI, katika Mahakama Nchini Uingereza.
Mimi ni Fundi Mchundo, na wala siyo Legal Brain, lakini najua kusoma, na kusikiliza kwa utulivu, bila kukurupuka.
Sasa jiulize; "NANI KATI YA WEWE NA Bw. TUNDU LISSU AMEKURUPUKA"?
 
Back
Top Bottom