Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 5,233
- 12,398
Guys , tumuheshimu sana tundu Lissu.
Jamaa UPINZANI wake anamaanisha… and for sure APEWE HESHIMA….wengi hatuwezi ijapokuwa tunataka mabadiliko….
It is wothless kuwa na UPINZANI wa bahasha za kaki huku watu wanakufa na kutekwa in a serious note . Mtu kama Ben Saanane ndio mazima….hatujapewa hata majivu yake tumzike kimila zetu …. What a world !!
Mtu kama Maalim Kibao haki yake imekwenda Madhuluma…..Kumuua mtu na kumchomachoma visu na kumtoboa macho ni mateso makubwa sana ndugu zangu, na unahitaji roho ya KISHETANI haswa kufanya matukio haya… As a medical specialist, kufanya hayo matukio unahitaji kwanza kuondoa ile HUMAN INNOCENCE ambayo kila mtu anayo….with all that kweli bado mtu ufanye upinzani wa bahasha za kaki?
Lissu apewe heshima kubwa….. he means the world, Ni moja ya Uzao Bora kabisa kutoka pale Kaanani ya Singida, what a great man !
Purukushani za sheikh Lissu ni manufaa ya watanzania wote trust it or not . Chochote kinachoongewa na CCM ni katika kulinda maslahi yao.
Nchi imekuwa very poor na haina muelekeo ni wapi tunaenda, National Resources are not evenly distributed na zinaliwa na wachache sana
Ili tuwe na Maendeleo kama Taifa, Mgombea wa CCM Lazima awe mpinzani wakati wa uchaguzi…. Wananchi ndio waamue ni nani awe Rais , maneno kuwa Tanzania ndio Taifa pekee halijaharibika ni maneno ya KISIASA hayana TIJA yenye kulinda UGALI.
Tunahitaji Tume ya Uchaguzi iwe ni INDEPENDENT COMMITEE……DG wa NEC awe appointed collaboratively bila ya Affiliation yoyote…. Hivyo hivyo kwa Wasimamizi wa Uchaguzi
Kamati itakayochagua DG na wasimamizi wa auchaguzi iwe Comprehensively as follows
1. Mwakilishi kutoka CCM
2. Mwakilishi kutoka Chadema
3. Mwakilishi kutoka vyama vingine vidogovidogo kama Chauma, ACT, CUF etc
4. Mwakilishi kutoka taaasisi za dini
5. Mwakilishi kutoka kwa Wanachi
6. Mwakilishi wa Bunge
7. Mwakilishi wa Wanasheria
Then Bunge ndio litaenda ku endorse hao watu after public interviewing na mchakato mzima uwe wazi ili wananchi wenye doubt watoe alert
Mgombea wa CCM ni Mpinzani kama wagombea wengine…. How come anapewa privilege ya kuchagua DG na wasimamizi wa uchaguzi huku wagombea wengine hawana hiyo privilege…??What special !?
.Tulikuwa tumelala sana Watanzania…. It is time to wake up . For sure No reform No Election is Inevitable….. It is useless kuingia kwa Uchaguzi ambao Mgombea 1 ndio Masterminder against others halafu anajiona yeye Mjanja.
Haki irudi kwa WANANCHI. It
Is now or never
Thank you Lissu for your Service….. Taifa litakukumbuka daima kwa Mchango…..,.It takes a touch of madness and you deserve !
Dr Megalodon Ndesaruo Mushi, PhD Fellow
University Ottawa
WHO Regional Office
Rue 52
Canada