Tundu Lissu ni Fimbo ya Musa kwenye kulikomboa taifa teule la TZ

Tundu Lisu is a lost activist, puppet,
useless and nonsense politician ever. Full stop.
 
Mama D unaunwa Cognitive Dissonance

Wewe cheka tu

Tunqpigania kizazi chako na wajukuuu zako wakati huo upo Mavumbini unaliwa na Mchwa

Pole sana sababu hata mnachokipigania hamkijui
 
Reactions: UCD
Fikiria huyu ni PhD fellow anaandika ugoro kama huu. Ukiwa mfuasi wa Braza K Mapovu uwezo wa tafukuri unashuka kiasi hiki?
Itapendeza sana tukilinganisha na ya kwako.

Kwa vile ya kwako sijaiona, hii ya huyu inaonekana ni bora kuliko yako.
 
Mnacheza ngoma za wakenya kwa nyota ya Tanzania na mama inangara sana na Tumengara tena kimataifa naona sasa wanatuchafua kimataifa kupitia sisi wenyewe amka mtanzania usidanganyike.
 
Mnacheza ngoma za wakenya kwa nyota ya Tanzania na mama inangara sana na Tumengara tena kimataifa naona sasa wanatuchafua kimataifa kupitia sisi wenyewe amka mtanzania usidanganyike.
Ipi
 
Labda fimbo ya matako yako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…