Mbona mimi hajanitukana? Katukana nchi nzima kivipi hapo sasa, tufafanulie bwana taga.Baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, muhimili pekee uliohakikisha uzi mwembamba uliokamata maisha ya Lissu usikatike ni Mbowe.
Mbowe katoa hela mfukoni, kachangisha, goodwill (hii chadema njaa kama Mdude hawataelewa) ikatumika kuhakikisha Lissu anatibiwa.
Lissu kapona, kafukuza mke, kaoa mzungu, sijui ni C.I.A huyo mama kapandikizwa, bado anatembea anatukana kila mtu nchi nzima, pamoja na Mbowe
Huyo mtu wenu ni looser , haiwezekani Toka anzaliwa anapinga Kila kitu,anampinga Nyerere,Mwinyi,Mkapa,Jakaya, Magufuli,Samia na Kila maendeleo ya Tzn anapinga. Toka kijana Hadi Leo anazeeka anapinga tuu Kila kitu.Baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, muhimili pekee uliohakikisha uzi mwembamba uliokamata maisha ya Lissu usikatike ni Mbowe.
Mbowe katoa hela mfukoni, kachangisha, goodwill (hii chadema njaa kama Mdude hawataelewa) ikatumika kuhakikisha Lissu anatibiwa.
Lissu kapona, kafukuza mke, kaoa mzungu, sijui ni C.I.A huyo mama kapandikizwa, bado anatembea anatukana kila mtu nchi nzima, pamoja na Mbowe
Baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, muhimili pekee uliohakikisha uzi mwembamba uliokamata maisha ya Lissu usikatike ni Mbowe.
Mbowe katoa hela mfukoni, kachangisha, goodwill (hii chadema njaa kama Mdude hawataelewa) ikatumika kuhakikisha Lissu anatibiwa.
Lissu kapona, kafukuza mke, kaoa mzungu, sijui ni C.I.A huyo mama kapandikizwa, bado anatembea anatukana kila mtu nchi nzima, pamoja na Mbowe
Hivi una akili timamu kweli wewe? Mbona unaropoka kama unakaribia kukata roho au sakaratul maut ?Baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, muhimili pekee uliohakikisha uzi mwembamba uliokamata maisha ya Lissu usikatike ni Mbowe.
Mbowe katoa hela mfukoni, kachangisha, goodwill (hii chadema njaa kama Mdude hawataelewa) ikatumika kuhakikisha Lissu anatibiwa.
Lissu kapona, kafukuza mke, kaoa mzungu, sijui ni C.I.A huyo mama kapandikizwa, bado anatembea anatukana kila mtu nchi nzima, pamoja na Mbowe
Lisu anawavuruga masisiemu mmeshajaa kwenye mfumo wake tayari na bado kampeni hazijaanza kuleni mshibe hicho chuma Mungu anasababu nacho ndio mana kimepita kwenye bonded la uvuli wa Mauti kifupi amekua resurrected na hakuna atakaepingana na uwezo wa Mungu ukibisha shauri yako yawakute ya ndugu yenuBaada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, muhimili pekee uliohakikisha uzi mwembamba uliokamata maisha ya Lissu usikatike ni Mbowe.
Mbowe katoa hela mfukoni, kachangisha, goodwill (hii chadema njaa kama Mdude hawataelewa) ikatumika kuhakikisha Lissu anatibiwa.
Lissu kapona, kafukuza mke, kaoa mzungu, sijui ni C.I.A huyo mama kapandikizwa, bado anatembea anatukana kila mtu nchi nzima, pamoja na Mbowe
Anaweza banwa nya akapinga vilevile kwenda chooni.Kila maendeleo ya Tzn anapinga. T
Akili za maccm zimejaa matope , hivi maccm wanafikiri adui yao ni chadema? Ccm kama mnaakili mgeilinda chadema kuliko hata ccm yenyewe. Kama chadema isingekuwepo kwa utawala huu wa CCM hakika Tanzania sasa hivi ingekuwa kwenye list ya nchi kama sieraleon, liberia,Sudan, Rwanda nkMama Abdul ana akili kweli eti kauza bandari
Hapo sasa ndio umeongea ukweli, yani watanzania kuambiwa facts kwao ni tusi.Mm sijatukanwa na Lissu,poleni nyie mliotukanwa naye.
Tatizo la watz wengi wakiambiwa ukweli wao wanaita matusi.
Mkapa = MboweBaada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, muhimili pekee uliohakikisha uzi mwembamba uliokamata maisha ya Lissu usikatike ni Mbowe.
Mbowe katoa hela mfukoni, kachangisha, goodwill (hii chadema njaa kama Mdude hawataelewa) ikatumika kuhakikisha Lissu anatibiwa.
Lissu kapona, kafukuza mke, kaoa mzungu, sijui ni C.I.A huyo mama kapandikizwa, bado anatembea anatukana kila mtu nchi nzima, pamoja na Mbowe.
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Lissu: Aliyeshika chupa ya damu nikipelekwa Nairobi ni Msigwa sio Mbowe
Nani tena kateuliwa?..Mama Abdul kachanganyikiwa.
..leo kufanya maajabu kwa kumteua marehemu.
..only in Tanganyika.