Mdaiwa-Sugu
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 284
- 912
Lissu analindwa na dua za WatanzaniaSingida awali nilijua kuna warembo pekee kumbe na vidume wa shika wapo.Kaza buti kamanda Lissu.
Ili dhahabu iwe bora ni lazima ipitie kwenye tanuru la moto mkali sana.Ni kawaida kwa watu waliokwisha kiona kifo au watu waliopitia shuruba za kufa. Unakuwa huna cha kuhofia tena, ndo mana unamuona hata ujasiri wae umeongezeka maradufu
Tuwasamehe 7*70Waliomshambulia Lissu hawapaswi kuishi.
Inawezekana ukawa ndiyo mwanzo wa kuyaona yale aliyo sema yesuLissu ni kama yesu alivyofufuka kudhihirisha ukuu wa Mungu.
Asante sana kwa kutulisha nenoRudisha upanga wako alani, maana yeyote anayeutumia upanga, atakufa kwa upanga" Auaye kwa upanga atakufa kwa upanga mungu ndio anapanga kila kitu kwa kila mtu dunia siyo mbaya ila walimwengu ndio wabaya.
Mkuu msukuma hongera sana kwa kujitambua sanaWaliomshambulia Lissu hawapaswi kuishi.
Malipo ni hapa hapaWaliomshambulia Lissu hawapaswi kuishi.
safi sana !Anafaa kuwa amiri Jeshi Mkuu,anastahili kuwa Mkuu wa Nchi.
Ni Shupavu,Ni Jasiri ,anajiamini,amepita kwenye tanuru la Moto.
Ana sifa za Kielimu,Ufahamu,anajua kujieleza ,kusikiliza na Ana huruma.
Ni mkweli na mzalendo halisi.
Kwa kuaenzi hayo wote kwa pamoja bila kujali itikadi zetu,vyama vyetu,Dini zetu tumchague kwa kura za Ndio.