Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,265
- 98,318
Jamaa kajitofautisha na wale kina kipara kipyaNa Mungu akubariki

Hata kabla hajaingia kwenye mambo ya siasaLissu haonewi huruma amekuwa mwiba kwa sisiem tangu hapo zamani za kale.
Subiri oktoba!Umechelewa sana maana tayari Watanzania washafanya maamuzi yao tayari na 28.10.2020 wanenda kutimiza tu.
Msukuma original hataki mambo ya kuramba viatuHahahha... Ni kawaida mbulula kama mimi niwepo ili mwerevu kama wewe uwepo pia!
Lakini hilo haliondoi ukweli kwamba Lisu atapigwa kipigo kikali sana hapo oktoba
Nina uhakika watu waliomfanyia Lissu ubaya huo popote walipo wana hali mbaya sana kisaikolojia na bado yatawakuta mambo mengi sana na bila kutubu watakuwa na hali mbaya sana. Mungu ni mwema na Mungu huyo aliyemponyesha Lissu ataponyesha taifa letu na kuwaondoa watawala wabaya na wenye mabavu.Japokuwa sikubaliani na Tundu kwa vitu vingi lakini kitendo cha kushambuliwa kwake kilinisononesha sana
Shambulio lake halikuwa la kibinadamu- ulikuwa ni unyama tena unyama uliopitiliza.
Ingawa_pamoja na madhira yote hayo. Tundu ameendelea kuwa jasiri-haonyeshi hali ya kukata tamaa, majonzi wala masononeko. Sura yake imejawa na tabasamu muda wote. Hadi najiuliza:
Waliomshambulia
Wanajisikiaje kumwona akiwa ni mwenye kujawa na uso wa furaha?
Wanajisikiaje kumwona akiwa hai?
Waliwaza nini juu ya familia yake ambayo angeiacha?
Ungekuwa wewe ungejisikiaje endapo ni ndugu yako anapigwa risasi zote zile?
Wanajisikiaje kumwona akiwa anatembea kwa kuchechemea mguu mmoja huku wao wakitembea kwa miguu miwili?
Ndugu Watanzania wenzangu, tujitahidi kutenda kadri ya inavyompendeza Mungu ipo siku tutahukumiwa sawa sawa na matendo yetu.
Lisu ni muujiza unaoishi na raisi ajayeJapokuwa sikubaliani na Tundu kwa vitu vingi lakini kitendo cha kushambuliwa kwake kilinisononesha sana
Shambulio lake halikuwa la kibinadamu- ulikuwa ni unyama tena unyama uliopitiliza.
Ingawa_pamoja na madhira yote hayo. Tundu ameendelea kuwa jasiri-haonyeshi hali ya kukata tamaa, majonzi wala masononeko. Sura yake imejawa na tabasamu muda wote. Hadi najiuliza:
Waliomshambulia
Wanajisikiaje kumwona akiwa ni mwenye kujawa na uso wa furaha?
Wanajisikiaje kumwona akiwa hai?
Waliwaza nini juu ya familia yake ambayo angeiacha?
Ungekuwa wewe ungejisikiaje endapo ni ndugu yako anapigwa risasi zote zile?
Wanajisikiaje kumwona akiwa anatembea kwa kuchechemea mguu mmoja huku wao wakitembea kwa miguu miwili?
Ndugu Watanzania wenzangu, tujitahidi kutenda kadri ya inavyompendeza Mungu ipo siku tutahukumiwa sawa sawa na matendo yetu.
Oktoba siyo mbaliMsukuma original hataki mambo ya kuramba viatu
Hili lazima limponde Lisu oktoba hii
Unaupeo mdogo kama jiwe! Kinachoongelewa ni kutaka kuuliwa kwa risasi 38, sio ajali!Wewe unawaza hilo tu? Watu wanapata ajali wanakufa na familia ni tegemezi, wengine wanakufa ghafla lakini maisha yataendelea tu kwa waliobaki.
MUNGU ametaka kuwaonyesha Wanadamu ( Watanzania ) kwamba Yeye ndiye MUNGU muweza wa yote , Na mwisho wa kuishi kwa Mheshimiwa TUNDU ANTIPHAS LISSU ulikuwa haujafika ! Mfalme wa Wafalme Na BWANA wa MABWANA , anasema bado " nampenda Mtu huyu aendelee kuwepo duniani ! Muda wake haujafika ! Nani huyu mwanadamu anataka kumuwahisha Mtu wangu ?! Na alaaniwe mtu huyo aliyetaka kumuuwa Mheshimiwa Lissu Katika Jina la Yesu !!!!! Wote tuseme Amina !Japokuwa sikubaliani na Tundu kwa vitu vingi lakini kitendo cha kushambuliwa kwake kilinisononesha sana
Shambulio lake halikuwa la kibinadamu- ulikuwa ni unyama tena unyama uliopitiliza.
Ingawa_pamoja na madhira yote hayo. Tundu ameendelea kuwa jasiri-haonyeshi hali ya kukata tamaa, majonzi wala masononeko. Sura yake imejawa na tabasamu muda wote. Hadi najiuliza:
Waliomshambulia
Wanajisikiaje kumwona akiwa ni mwenye kujawa na uso wa furaha?
Wanajisikiaje kumwona akiwa hai?
Waliwaza nini juu ya familia yake ambayo angeiacha?
Ungekuwa wewe ungejisikiaje endapo ni ndugu yako anapigwa risasi zote zile?
Wanajisikiaje kumwona akiwa anatembea kwa kuchechemea mguu mmoja huku wao wakitembea kwa miguu miwili?
Ndugu Watanzania wenzangu, tujitahidi kutenda kadri ya inavyompendeza Mungu ipo siku tutahukumiwa sawa sawa na matendo yetu.
Wewe unawaza hilo tu? Watu wanapata ajali wanakufa na familia ni tegemezi, wengine wanakufa ghafla lakini maisha yataendelea tu kwa waliobaki.Japokuwa sikubaliani na Tundu kwa vitu vingi lakini kitendo cha kushambuliwa kwake kilinisononesha sana
Shambulio lake halikuwa la kibinadamu- ulikuwa ni unyama tena unyama uliopitiliza.
Ingawa_pamoja na madhira yote hayo. Tundu ameendelea kuwa jasiri-haonyeshi hali ya kukata tamaa, majonzi wala masononeko. Sura yake imejawa na tabasamu muda wote. Hadi najiuliza:
Waliomshambulia
Wanajisikiaje kumwona akiwa ni mwenye kujawa na uso wa furaha?
Wanajisikiaje kumwona akiwa hai?
Waliwaza nini juu ya familia yake ambayo angeiacha?
Ungekuwa wewe ungejisikiaje endapo ni ndugu yako anapigwa risasi zote zile?
Wanajisikiaje kumwona akiwa anatembea kwa kuchechemea mguu mmoja huku wao wakitembea kwa miguu miwili?
Ndugu Watanzania wenzangu, tujitahidi kutenda kadri ya inavyompendeza Mungu ipo siku tutahukumiwa sawa sawa na matendo yetu.
kwani.hakuna watu wanajambaziwa wanakufa kwa mapanga na risasiUnaupeo mdogo kama jiwe! Kinachoongelewa ni kutaka kuuliwa kwa risasi 38, sio ajali!
Nimeipenda hii. Pata bia mkuu nitalipa.Singida awali nilijua kuna warembo pekee kumbe na vidume wa shoka wapo.Kaza buti kamanda Lissu.
JPM katili sana, ndiye aliyebariki shambulio la Lissu kuchapwa zile mvua za risasi. Muda ukifika tutaweka wazi kila kitu.Pamoja na kwamba alichofanyiwa si kuchekea lakini asahau kura za huruma eti kisa alishambuliwa!
Ikulu hapelekwi mtu kwa kuonewa huruma.
Kwenye suala la urais apambane na hali yake
Natamani niwajue tu, hilo tu kisha nitawauliza, Walijisikiaje baada ya tukio!!Waliomshambulia Lissu hawapaswi kuishi.
Hawawezi kujaribu tena!Awe makini sana
Mungu mbariki Tundu Lissu!Malipo ni hapa hapa
Najua popote walipo dhamira zao zina wasuta kutokana na ukatili waliomfanyia na endapo hawatotubu, M/Mungu atawalipa sawa sawa na matendo yaoWaliomshambulia Lissu hawapaswi kuishi.
Mkuu adui yako mwombee aishi miaka mingi ili ashuhudie jinsi Mungu wako anavyokuinua.,...Waliomshambulia Lissu hawapaswi kuishi.