Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,472
- 7,276
Sasa nenendeni mkalilenge jiwe lenu, kama mnaona kawaida! Kwa alivyo na roho ya kishetani...risasi moja tu parapanda limelia! Hata risasi ikigusa pua tu!Wewe unawaza hilo tu? Watu wanapata ajali wanakufa na familia ni tegemezi, wengine wanakufa ghafla lakini maisha yataendelea tu kwa waliobaki.
kwani.hakuna watu wanajambaziwa wanakufa kwa mapanga na risasi
Na wanaacha familia? Au umeona ni Lisu tu?