Nimeshahakikishiwa tutatumia ile njia yetu ya kawaida. Nafuu sasa.Huwezi kuwa mwanaCCM ukamuhofia lissu NEVER
Nyie komaeni tu na social media kuandika ujinga halafu baada ya oktoba 28 mje hapa tena mnalia
Umeona sasa😑😑 yani unazidi kutuhakikishia kwamba wewe sio mwanaCCM haya maandishi yako yanakushtakiNimeshahakikishiwa tutatumia ile njia yetu ya kawaida. Nafuu sasa.
Wewe ndio unanichanganya sasa, kama hujui tutashindaje basi wewe ndio sio mwenzetu. Miaka yote tunashindaga hivyohivyo. Tofauti na hiyo ni maumivu.Umeona sasa😑😑 yani unazidi kutuhakikishia kwamba wewe sio mwanaCCM haya maandishi yako yanakushtaki
Mtu kama kina Wakudadavua unamtegemea amuelewe mh Lissu?nadhani hukubaliani naye "vitu vingi" kwa vile hujatulia kumsikiliza na kumwelewa.
Lissu ana madini na ni madini yenye logic na majibu ya maswali mengi kwa nini nchi hii imeendelea kuwa masikini pamoja na kuwa among the top 3 kwenye utajiri wa mali asili barani.
wenye akili kubwa na hata ndogo pia wanamwelewa sana Lissu.... wasiomwelewa ni wale wenye maslahi na wakoloni weusi.
Mimi ni mkongwe hapa jamvini sioni haja ya kukimbia kisa chama kimekosa ushindi.Subiri oktoba!
Hii id yako usiikimbie tu
Tayari mungu amesha anza kuwapatia mapigoNina uhakika watu waliomfanyia Lissu ubaya huo popote walipo wana hali mbaya sana kisaikolojia na bado yatawakuta mambo mengi sana na bila kutubu watakuwa na hali mbaya sana. Mungu ni mwema na Mungu huyo aliyemponyesha Lissu ataponyesha taifa letu na kuwaondoa watawala wabaya na wenye mabavu.
Kumbe huwa "wanapelekwa"?Ikulu hapelekwi
Hakika ni miujiza tuLisu ni muujiza unaoishi na raisi ajaye
Nasikia mnajilaumu kwanini iwe October mnagaka iwe mwakaniOktoba siyo mbali
Nyie subirini kulia tu oktoba 28 2020 namba hazidanganyiWewe ndio unanichanganya sasa, kama hujui tutashindaje basi wewe ndio sio mwenzetu. Miaka yote tunashindaga hivyohivyo. Tofauti na hiyo ni maumivu.
Lissu analindwa na malaika wakati nyinyi mnategemea kalumanziraHili lazima limponde Lisu oktoba hii
...
Usishangae huyo naye yupo kwenye watu wasiyo julikanaUnaupeo mdogo kama jiwe! Kinachoongelewa ni kutaka kuuliwa kwa risasi 38, sio ajali!
Ok atapigiwa kura na malaika piaLissu analindwa na malaika wakati nyinyi mnategemea kalumanzira
AmeeenMUNGU ametaka kuwaonyesha Wanadamu ( Watanzania ) kwamba Yeye ndiye MUNGU muweza wa yote , Na mwisho wa kuishi kwa Mheshimiwa TUNDU ANTIPHAS LISSU ulikuwa haujafika ! Mfalme wa Wafalme Na BWANA wa MABWANA , anasema bado " nampenda Mtu huyu aendelee kuwepo duniani ! Muda wake haujafika ! Nani huyu mwanadamu anataka kumuwahisha Mtu wangu ?! Na alaaniwe mtu huyo aliyetaka kumuuwa Mheshimiwa Lissu Katika Jina la Yesu !!!!! Wote tuseme Amina !
Itategemea mafuta unapakwa wapi lakini.Mpakwa mafuta wa bwana huwa hana woga...
Wanatakiwa kufa,waliopanga na kubeba Bunduki na dereva.Tena vifo vyao viwe vya mateso wao na familia zao.Waliomshambulia Lissu hawapaswi kuishi.
Inaonekana wewe ni mmoja wa watu wasiyo julikanaWewe unawaza hilo tu? Watu wanapata ajali wanakufa na familia ni tegemezi, wengine wanakufa ghafla lakini maisha yataendelea tu kwa waliobaki.
kwani.hakuna watu wanajambaziwa wanakufa kwa mapanga na risasi
Na wanaacha familia? Au umeona ni Lisu tu?
Kama hii?Nimeipenda hii. Pata bia mkuu nitalipa.