Tundu Lissu ni jasiri sijapata kuona

Tundu Lissu ni jasiri sijapata kuona

Japokuwa sikubaliani na Tundu kwa vitu vingi lakini kitendo cha kushambuliwa kwake kilinisononesha sana

Shambulio lake halikuwa la kibinadamu- ulikuwa ni unyama tena unyama uliopitiliza.

Ingawa_pamoja na madhira yote hayo. Tundu ameendelea kuwa jasiri-haonyeshi hali ya kukata tamaa, majonzi wala masononeko. Sura yake imejawa na tabasamu muda wote. Hadi najiuliza:

Waliomshambulia

Wanajisikiaje kumwona akiwa ni mwenye kujawa na uso wa furaha?
Wanajisikiaje kumwona akiwa hai?
Waliwaza nini juu ya familia yake ambayo angeiacha?
Ungekuwa wewe ungejisikiaje endapo ni ndugu yako anapigwa risasi zote zile?
Wanajisikiaje kumwona akiwa anatembea kwa kuchechemea mguu mmoja huku wao wakitembea kwa miguu miwili?

Ndugu Watanzania wenzangu, tujitahidi kutenda kadri ya inavyompendeza Mungu ipo siku tutahukumiwa sawa sawa na matendo yetu.View attachment 1533168
Wao ndo wanaumia zaidi na kuteseka,
mtu civilizeda nd educated hawezi ua mtu,ni ule tu atokae koo zenye laana ya mauaji ya vikongwe ndo awezae muua binadamu mwenzake sababu ya tumbo lake
 
Anafaa kuwa amiri Jeshi Mkuu,anastahili kuwa Mkuu wa Nchi.
Ni Shupavu,Ni Jasiri ,anajiamini,amepita kwenye tanuru la Moto.
Ana sifa za Kielimu,Ufahamu,anajua kujieleza ,kusikiliza na Ana huruma.
Ni mkweli na mzalendo halisi.
Kwa kuaenzi hayo wote kwa pamoja bila kujali itikadi zetu,vyama vyetu,Dini zetu tumchague kwa kura za Ndio.
anafaa kuongoza kizazi cha sasa
 
Mkuu hongera sana kwa kutupatia hilo neno, limeujaza au kuushibisha moyo wangu
Asante mkuu. Ukitaka kuthibitisha ninachokisema mtu akikukosea msamehe na mwingine akikukosea usimsamehe (tunza kisasi) halafu utaniambie ni nani kati ya hao wawili ukikutana naye au familia yake 'you feel at ease with' na kwa nini au ikitokea kutoelewana kati yake na wife wake ni nani anayeweza kuishi naye vizuri zaidi: je, ni yule ambaye wote wawili wamesameheana au wote wawili kila mmoja ameamua kutosamehe (yaani amefunga mlango na madirisha ya moyo wake kwa mwenzake)? So, kusamehe kunaleta 'healing effect' na kutosamehe kunajenga 'hatred/revenge' katika maisha yetu.
 
Wewe unawaza hilo tu? Watu wanapata ajali wanakufa na familia ni tegemezi, wengine wanakufa ghafla lakini maisha yataendelea tu kwa waliobaki.
Achana na ajali kaka, pata picha mzee unainua bunduki na kumpiga risasi mwanadamu mwenzio, hebu vuta picha...
 
Wewe unawaza hilo tu? Watu wanapata ajali wanakufa na familia ni tegemezi, wengine wanakufa ghafla lakini maisha yataendelea tu kwa waliobaki.
Shambulizi la Tundu lilikuwa ni tukio la kukusudia kukatisha uhai wake ni tofauti na ajali inayotokea unexpectedly
 
Asante mkuu. Ukitaka kuthibitisha ninachokisema mtu akikukosea msamehe na mwingine akikukosea usimsamehe (tunza kisasi) halafu utaniambie ni nani kati ya hao wawili ukikutana naye au familia yake 'you feel at ease with' na kwa nini au ikitokea kutoelewana kati yake na wife wake ni nani anayeweza kuishi naye vizuri zaidi: je, ni yule ambaye wote wawili wamesameheana au wote wawili kila mmoja ameamua kutosamehe (yaani amefunga mlango na madirisha ya moyo wake kwa mwenzake)? So, kusamehe kunaleta 'healing effect' na kutosamehe kunajenga 'hatred/revenge' katika maisha yetu.
Ubarikiwe sana mkuu
 
Japokuwa sikubaliani na Tundu kwa vitu vingi lakini kitendo cha kushambuliwa kwake kilinisononesha sana

Shambulio lake halikuwa la kibinadamu- ulikuwa ni unyama tena unyama uliopitiliza.

Ingawa_pamoja na madhira yote hayo. Tundu ameendelea kuwa jasiri-haonyeshi hali ya kukata tamaa, majonzi wala masononeko. Sura yake imejawa na tabasamu muda wote. Hadi najiuliza:

Waliomshambulia

Wanajisikiaje kumwona akiwa ni mwenye kujawa na uso wa furaha?
Wanajisikiaje kumwona akiwa hai?
Waliwaza nini juu ya familia yake ambayo angeiacha?
Ungekuwa wewe ungejisikiaje endapo ni ndugu yako anapigwa risasi zote zile?
Wanajisikiaje kumwona akiwa anatembea kwa kuchechemea mguu mmoja huku wao wakitembea kwa miguu miwili?

Ndugu Watanzania wenzangu, tujitahidi kutenda kadri ya inavyompendeza Mungu ipo siku tutahukumiwa sawa sawa na matendo yetu.View attachment 1533168
Kanisa langu la Roma hapa tz linafungamana na waliotenda haya.
 
Kama waliotaka kumuua Lisu hawajafa ndani ya mwaka huu mpaka December basi nitaikana imani yangu.

Haiwezekani Mungu anayeweza kulipa kisasi akae kimya nami niendelee kumwabudu.
Watapotezwa milele na system ili kufunga fundo. Unamkumbuka "mbena m...."
 
Nadhani ingekuwa mimi ningeshasepa abroad kwasababu kuuwawa ni sure deal.
 
Japokuwa sikubaliani na Tundu kwa vitu vingi lakini kitendo cha kushambuliwa kwake kilinisononesha sana

Shambulio lake halikuwa la kibinadamu- ulikuwa ni unyama tena unyama uliopitiliza.

Ingawa_pamoja na madhira yote hayo. Tundu ameendelea kuwa jasiri-haonyeshi hali ya kukata tamaa, majonzi wala masononeko. Sura yake imejawa na tabasamu muda wote. Hadi najiuliza:

Waliomshambulia

Wanajisikiaje kumwona akiwa ni mwenye kujawa na uso wa furaha?
Wanajisikiaje kumwona akiwa hai?
Waliwaza nini juu ya familia yake ambayo angeiacha?
Ungekuwa wewe ungejisikiaje endapo ni ndugu yako anapigwa risasi zote zile?
Wanajisikiaje kumwona akiwa anatembea kwa kuchechemea mguu mmoja huku wao wakitembea kwa miguu miwili?

Ndugu Watanzania wenzangu, tujitahidi kutenda kadri ya inavyompendeza Mungu ipo siku tutahukumiwa sawa sawa na matendo yetu.View attachment 1533168
Tundu lisu alipoingia nchini alisema lau kama atatoa nguo alizo vaa unaweza ukakimbia ukiona majeraha aliyonayo. Hii picha imenipa hasira mbaya sana. Yaani kwa ugaidi huu lakini adi sasa hivi hakuna taarifa yoyote ya kiuchunguzi? Na mbaya zaidi raia wenzake walikatazwa hata kumuombea? Tena na kauli za kejeli kwamba amekwenda nje kuzurura? Haki ya mungu hili jambo linatia hasira kuliko ninavyo elezea hisia zangu.

Lakini kuna jambo hapa limenishangaza sana. Inasemekana pamoja nakushambuliwa vibaya sana Tundu Lissu hakupoteza fahamu pale katika eneo la tukio na aliweza kuzungumza na watu kwa ufasaha adi alipofikishwa hospitalini dodoma, aliondolewa TZ akiwa mahututi na kuzinduka baada ya siku 6 akiwa nairobi.
Kwa upande wa pili Ugonjwa wa corona uliingia TZ na kwa muda mfupi sana ulipotea bila kuonyesha athari kubwa sana ukilinganisha na nchi nyingi tangu kuripotiwa kwa mgonjwa wa kwanza. Hakuna ubishi kwamba TZ maisha yamerudi kuwa ya kawaida kama ilivyokuwa kabla ya corona.

Je kuna uhusiano wowote wa kuondoka kwa corona na ujio wa Tundu Lissu?
Naona mungu ameonyesha miujiza kusiwepo na corona ambayo ingesababisha lockdown ili kila jicho limuone Tundu Lissu akiingia nchini tena sio ndani ya jeneza bali kwa kutembea kwa miguu yake. Kweli mungu ni mwema.
 
Aisee nawaza Ni ndio kingenitokea Kama kilicmkuta Tundu Lissu, ningeshastaafu siasa na Tz nisingekanyaga, na pengine ningeishi kwa masononeko makubwa na matatizo mengine ya kisaijolojia.

Ila Lissu yupo vilevile, aisee huyu jamaa Ni inspiration kubwa kwangu, japo Sio kwenye siasa Ila kwenye struggle zangu za maisha
 
Wote wasiomkubali Lisu ni wale wenye maslahi na huu utawala lakini wengine wote wanamkubali sababu ni mtu mwema anayependa haki asiyependa watu kuonewa ndiyo maana alikuwa anapigania wachimba madini wanapoonewa na seriakli
 
Lissu ndiye Rais wetu. Watu watake wasitake watafungasha virago this time.
 
Tuwasamehe 7*70
AMEN
Tumwombe Mungu awasamehe pia waliyoshangilia shambulizi hili la kishetani, waliyomwombea asipone na waliyoshindana kumwongezea mateso kwa kuzuia waliopanga kumwombea na kumjulia hali, kumnyima stahili zake, kumvua ubunge na kumzushia tuhuma na kejeli.
Mungu awape maisha marefu ili wawepo kushuhudia mafanikio yake kama ilivyokuwa kwa ndugu zake Yusufu, wakati wa Farao wa Misri.
 
Back
Top Bottom