Tundu Lissu ni jasiri sijapata kuona

Tundu Lissu ni jasiri sijapata kuona

Itategemea mafuta unapakwa wapi lakini.
We fanya mchezo.....mtaishia kufungia vyombo vyote vya habari kuzuia habari za Lissu zisisambae nchi nzima ila hamtaweza dadadeq...

Kama ni nyeti za kuku sasa upepo umeanza kupuliza!!
 
Kumbe game kuchange huwa ni dakika tu. Na jamaa ndio hata hapewi coverage ya kutosha na Media. Huu mziki ushakua mgumu. Na media wakiligeza tu basi biashara inamalizwa hasubuhi tu.
 
Yaani ukipata bundle wewe wengine tunakuwa mashakani tunatajwa hata kwenye mada tusizohusika!
Wewe kwa cheo ulicho nacho hapo lumumba ni lazima upigiwe mfano.
Kuwa mlinzi mkuu wa getini hapo siyo jambo la mchezo mchezo
FB_IMG_1595186692594.jpg
 
Kumbe game kuchange huwa ni dakika tu. Na jamaa ndio hata hapewi coverage ya kutosha na Media. Huu mziki ushakua mgumu. Na media wakiligeza tu basi biashara inamalizwa hasubuhi tu.
Hata media zote zikigoma...Lissu will go ....ni ushamba wa CCM eti ukimnyima mtu airtime unampunguzia kukubalika kwake.

Mbona watu wanachangishana bando vijijini kumsikiliza!!

Labda wakusanye na smartphone zote hadi uchaguzi upite.
 
Sijawahi kuona utawala wenye roho mbaya kama huu! Ukiacha Lissu, wengi sana wameuawa, wametekwa, wameumizwa, wamefilisiwa, wameshikiliwa mahakamani, wamedhulumiwa na wengine wamepotea mpaka leo
 
Waliomshambulia Lissu hawapaswi kuishi.
Bwana Yesu kwenye moja ya hotuba zake za mlimani kama inavyoripotiwa na Evangelist Matthew Sura 5:7 anasema: "Blessed are the merciful: they shall have mercy shown them." Hakuna kitu kizuri kama 'kusamehe waliotukosea'. Binafsi nikisamehe huwa najisikia amani rohoni kuliko kufikiria kulipiza kisasi au kufitini. Labda kwa wale wenye 'dead conscience' ndio wanaoweza kuishi kwa kisasi na fitina na wanaona ni sawa tu.
 
Mkuu hongera sana kwa kutupatia hilo neno, limeujaza au kuushibisha moyo wangu
 
Back
Top Bottom